#Security #Intelligence, #HPV, Kwa ufupi tu ni kwamba haya magari yanatengenezwa maalumu kwa ajili ya kuzuia mawasiliano ya aina yoyote 'controlled' yanayozunguka eneo ambalo mtu anayelindwa atakuwapo.
Ni teknolojia yenye gharama kubwa duniani na hutumiwa na Viongozi wakuu wa Serikali na wafanyabiashara wenye ukwasi mkubwa.
Ni magari yanayotumia teknolojia ya 'HPV' na yenye vifaa maalumu kwa ajili ya kufanya kitu kinaitwa "Communication Jamming''. Yaani unaingilia mawasiliano na kuyafanya kutokweza kuwasilishwa sehemu husika kwa kutumia vifaa vyenye uwezo wa teknolojia ya JAMMING.
Mfano ukiwa eneo hilo ambalo gari hilo lipo na ukawaza kupanga njama za shambulio kwa kutuma ujumbe wa maandishi au wa kupiga simu, hautapata mtandao na wala hutafanya mawasiliano. 'Unaweza kupiga simu zisitoke' 'jamming'
Mawasiliano yanazuiwa kupitia Frequencies. Zinauwezo wa kugundua Frequency za Mabomu yaliyotegwa ardhini kutoka umbali usio mrefu sana na kuyazuia yasiripuke iwapo yatakuwa yametegwa katika njia ambamo msafara unapita.
Ni magari maalumu kama yanatumiwa na kiongozi mkuu wa nchi yanakuwa na Mawasiliano ya moja kwa moja na Vyombo vingine vya Ulinzi na usalama, kama makao makuu ya Jeshi, Makao mkuu ya Idara ya Ujasusi, Kitengo Maalumu cha Ulinzi wa Rais na kitengo maalumu cha Ulinzi wa Familia yake na vifaa vingine kama helkopta za kiusalama.
Magari 'kama' haya pia yanaonekana katika misafara ya RAISI hasa anapokuwa katika ziara za mikoani, na yametengenezwa maalumu kwa ajili ya safari za umbali mrefu.
Musa makongoro
Nueve, China.

·76 Ansichten