• "Nilifungua mlango na kushangaa nimemwagiwa kitu Usoni. Nilipiga kelele na sikuweza kupumua! Mke wangu alipiga namba ya dharura na wakaniambia niende bafuni nkaoshe uso wangu na maji ya Shower. Nilipokwenda Hospit, walinambia kuwa macho yangu yameungua. Mtu alikuwa akija kila baada ya saa moja kuja kuyaosha macho yangu "

    "Limekuwa balaa tangu siku hiyo. Tangu siku hiyo uwa nashtuka ninaposkia kelele na kitu ambacho kinanipa moyo wa kuendelea ni kuwa wanangu wapo salama. Nilifanyiwa upasuaji kwenye macho yangu yote na daktari akaniambia kuwa nitakuwa natumia dawa ya macho(Eye Drop) kwenye maisha yangu yote.

    "Nilikuwa kipofu kwa miezi 6 kabla niliporudi kuona vizuri. Siku hizo zilikuwa za kutisha sana na tangu siku hiyo sipendi kuketi na watu nisiowajua" - Yoane Wissa, Mchezaji wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na klabu ya Brentford ya England via RMC Sport.

    "Nilifungua mlango na kushangaa nimemwagiwa kitu Usoni. Nilipiga kelele na sikuweza kupumua! Mke wangu alipiga namba ya dharura na wakaniambia niende bafuni nkaoshe uso wangu na maji ya Shower. Nilipokwenda Hospit, walinambia kuwa macho yangu yameungua. Mtu alikuwa akija kila baada ya saa moja kuja kuyaosha macho yangu " "Limekuwa balaa tangu siku hiyo. Tangu siku hiyo uwa nashtuka ninaposkia kelele na kitu ambacho kinanipa moyo wa kuendelea ni kuwa wanangu wapo salama. Nilifanyiwa upasuaji kwenye macho yangu yote na daktari akaniambia kuwa nitakuwa natumia dawa ya macho(Eye Drop) kwenye maisha yangu yote. "Nilikuwa kipofu kwa miezi 6 kabla niliporudi kuona vizuri. Siku hizo zilikuwa za kutisha sana na tangu siku hiyo sipendi kuketi na watu nisiowajua" - Yoane Wissa, Mchezaji wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na klabu ya Brentford ya England via RMC Sport.
    0 Comments ·0 Shares ·17 Views
  • JJ Okocha akikumbusha enzi. 2020
    JJ Okocha akikumbusha enzi. 2020
    Like
    Love
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·23 Views
  • Mtandao wa Threads unaomilikiwa na META (Facebook, Instagram, WhatsApp, ...) ambao ni mshindani wa X(Twitter) umefanya mabadiliko kwenye Wasifu (profile) wa Watumiaji wake. Kwa sasa Threads imefika Watumiaji zaidi ya milioni (300) kwa mwezi.

    Threads imeongeza "tab" mpya ya “Media” ambayo itakuwa ni maalum kwa kuona picha na video ambazo zimepostiwa na akaunti. Pia Threas imeanza kuweka mfumo wa matangazo kwa baadhi ya Watumiaji na mabadiliko haya yameanza kwa Watumiaji wa Nchini Marekani na Japan .

    Mtandao wa Threads unaomilikiwa na META (Facebook, Instagram, WhatsApp, ...) ambao ni mshindani wa X(Twitter) umefanya mabadiliko kwenye Wasifu (profile) wa Watumiaji wake. Kwa sasa Threads imefika Watumiaji zaidi ya milioni (300) kwa mwezi. Threads imeongeza "tab" mpya ya “Media” ambayo itakuwa ni maalum kwa kuona picha na video ambazo zimepostiwa na akaunti. Pia Threas imeanza kuweka mfumo wa matangazo kwa baadhi ya Watumiaji na mabadiliko haya yameanza kwa Watumiaji wa Nchini Marekani 🇺🇸 na Japan 🇯🇵.
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·22 Views
  • WATU WA DAR WAMEONGEZEWA WIKEND
    WATU WA DAR WAMEONGEZEWA WIKEND
    Love
    Like
    3
    · 0 Comments ·0 Shares ·33 Views
  • Dah wasakotonge itakuwaje
    Dah wasakotonge itakuwaje😰😰
    Sad
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·10 Views ·1
  • Naitwa calvin nina miaka 27, namshukuru Mungu kuniweka salama hadi leo na sina changamoto yoyote ya kiafya,Siishi nyumbani nimejitegemea(geto),

    Shida yangu ilianza nilipopata kazi mwaka jana Nikawa bize sana kuipambania future yangu kwani umasikini nilikuwa nisha onja radha yake,

    Nilipokuwa bize mpenzi wangu alianza kunihisi namcheat kwani sitengi muda mwingi kwaajili yake kama zamani,,(Nikumbushe kitu Wanaume wasio na kazi wanaharibu sana mahusiano ya watu na hii kwa sababu muda wowote wakihitajika wanapatikana),,tuendelee

    Baada ya muda kidogo Akaamua kuniacha kabisa sababu alitaka niwe nae muda mwingi kama ilivyokuwa kipindi sina kazi,,

    Tangu hapo nikawa single nikaamua kudiri na future yangu namshukuru Mungu katika hilo nimefanikiwa Asilimia fulani,,Shida yangu kubwa iliyo nileta hapa nikutafuta mchumba,,

    Nimekua bize sana na kazi hata ninaowapata nikidet nao,kutokana na ubize wangu wanahisi sina malengo nao kwani siwapi muda wanaotaka wao,,wanaamua kumove on,,lakini pia Kwa eneo ninaloishi Asilimia kubwa ya mabinti ninao wapata wamerekodiwa video za faragha na ma-x zao,

    Unaweza pata binti fresh mkadet vizuri tu shida itakuja utakapo watambulisha marafiki zako,Watakupa kila kitu kumhusu huyo binti hadi list ya wanaume aliolala nao na ukibisha wanakuonyesha video za faragha,

    Hii kitu imenikuta mara kibao sana na inavunja moyo kumuona unae mpenda kavuliwa nguo na mwanaume mwingne hili eneo nililopo natamani nitoke niende sehemu nyingine,Nikakae japo kwa muda kidogo labda nitabahatika kupata wa kuendana nae lakini kazi zimenibana,,nakosa huo muda

    Sina mtoto na wala sijawahi kuoa,Natamani nipate mwanamke ambae hana mtoto na hajawahi kuolewa,mwenye hofu ya Mungu na mwenye Akili timamu,,Umri asinizidi awe chini yangu,Asiwe mnene sana,awe msafi wa ndani na nje,asiwe na tatoo wala brich

    Akipatikana nikamuelewa nipo tayari kuanza nae ukurasa mpya,,Naahidi kama ataniheshimu na kunisikiliza nitampenda na kumthamini,,

    Naamin huenda kupitia page hii nitampata alie sahihi,,whatsp No;0748374716,,cha kwanza tuma picha isiyo na filter

    La mwisho kabisa mabinti mkiwa kwenye mahusiano msikubali kurekodiwa,siku mkiachana hiyo clip itatumika kama uthibitisho kama umeshaliwa,,Nakama umerekodiwa kaa ukijua mashemeji zako wamesha onyweshwa faragha yako,,,
    Naitwa calvin nina miaka 27, namshukuru Mungu kuniweka salama hadi leo na sina changamoto yoyote ya kiafya,Siishi nyumbani nimejitegemea(geto), Shida yangu ilianza nilipopata kazi mwaka jana Nikawa bize sana kuipambania future yangu kwani umasikini nilikuwa nisha onja radha yake, Nilipokuwa bize mpenzi wangu alianza kunihisi namcheat kwani sitengi muda mwingi kwaajili yake kama zamani,,(Nikumbushe kitu Wanaume wasio na kazi wanaharibu sana mahusiano ya watu na hii kwa sababu muda wowote wakihitajika wanapatikana),,tuendelee👇👇 Baada ya muda kidogo Akaamua kuniacha kabisa sababu alitaka niwe nae muda mwingi kama ilivyokuwa kipindi sina kazi,, Tangu hapo nikawa single nikaamua kudiri na future yangu namshukuru Mungu katika hilo nimefanikiwa Asilimia fulani,,Shida yangu kubwa iliyo nileta hapa nikutafuta mchumba,, Nimekua bize sana na kazi hata ninaowapata nikidet nao,kutokana na ubize wangu wanahisi sina malengo nao kwani siwapi muda wanaotaka wao,,wanaamua kumove on,,lakini pia Kwa eneo ninaloishi Asilimia kubwa ya mabinti ninao wapata wamerekodiwa video za faragha na ma-x zao, Unaweza pata binti fresh mkadet vizuri tu shida itakuja utakapo watambulisha marafiki zako,Watakupa kila kitu kumhusu huyo binti hadi list ya wanaume aliolala nao na ukibisha wanakuonyesha video za faragha, Hii kitu imenikuta mara kibao sana na inavunja moyo kumuona unae mpenda kavuliwa nguo na mwanaume mwingne hili eneo nililopo natamani nitoke niende sehemu nyingine,Nikakae japo kwa muda kidogo labda nitabahatika kupata wa kuendana nae lakini kazi zimenibana,,nakosa huo muda Sina mtoto na wala sijawahi kuoa,Natamani nipate mwanamke ambae hana mtoto na hajawahi kuolewa,mwenye hofu ya Mungu na mwenye Akili timamu,,Umri asinizidi awe chini yangu,Asiwe mnene sana,awe msafi wa ndani na nje,asiwe na tatoo wala brich Akipatikana nikamuelewa nipo tayari kuanza nae ukurasa mpya,,Naahidi kama ataniheshimu na kunisikiliza nitampenda na kumthamini,, Naamin huenda kupitia page hii nitampata alie sahihi,,whatsp No;0748374716,,cha kwanza tuma picha isiyo na filter La mwisho kabisa mabinti mkiwa kwenye mahusiano msikubali kurekodiwa,siku mkiachana hiyo clip itatumika kama uthibitisho kama umeshaliwa,,Nakama umerekodiwa kaa ukijua mashemeji zako wamesha onyweshwa faragha yako,,,
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·27 Views
  • Poleni Kilimanjaro Wonders.

    CRDBBankFederationCup


    #paulswai
    Poleni Kilimanjaro Wonders. CRDBBankFederationCup #paulswai
    Like
    Angry
    4
    · 1 Comments ·0 Shares ·36 Views
  • SIMBASC 6️⃣0️⃣KILI WONDERS

    #paulswai
    SIMBASC 6️⃣🆚0️⃣KILI WONDERS #paulswai
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·37 Views ·4
  • Hello!!!
    Socialpop members
    🫡🫡🫡🫡
    Hello!!! Socialpop members 🫡🫡🫡🫡
    0 Comments ·0 Shares ·15 Views

  • ndugu zangu leo naomba nitoe taalifa y ndugu yetu YUSUPH MGWAB

    HUYU BABA ANATATIZO LA FIGO!! ZOTE MBILI ZIMEFAIL

    ANAISHI KWA MSAADA WA DIALYISIS! KIUKWELI KUNA CHANGAMOTO KUBWA IMEJITOKEZA KWENYE LINE YA KUFANYIA DIALYISIS

    NJIA IMEKUFA KWA MAANA AKIINGIZA KWENYE MASHINE DAMU ZINATOKA SI KAWAIDA INAPELEKEA DAMU KUMWAGIKA NA KWA SASA PANAPASWA MRIJA UWEKWE MKONONI AU MU
    MGUUNI !!!

    TUNAHITAJI 1,800,000TZSH ( MILLION MOJA NA LAKI NANE)

    WAKATI NAANDAA NAMNA YA KUMSAIDIA JANA IJUMAA ALIENDA KUFANYA TENA DIALYSIS LAKINI ALISHINDWA KABISA ALIPATA BARIDI KALI KAMA KIFAFA NA ILIBIDI AFANYIWE DIALYSIS ALIWA KWENYA MASHINE YA OXYGEN!

    HALI HII IMEKUWA HATARI NA IMEFANYA MADAKTARI WAMUANDIKIEEE

    NAOMBA NDUGU NIWAOMBE TUMSAIDIE HUYU BABA KWANI HATOWEZA KUFANYA DIALYSIS MPAKA APATE SINDANO HIZO 5 NA IKUMBUKE FIGO ZOTE MBILI ZIMEKUFA DIALYSIS NDIO UHAI WAKE





    0745787549
    Mpesa
    JABILI ALLY ISSA

    "KUTOA NI MOYO SI UTAJURI "
    ndugu zangu leo naomba nitoe taalifa y ndugu yetu YUSUPH MGWAB HUYU BABA ANATATIZO LA FIGO!! ZOTE MBILI ZIMEFAIL ANAISHI KWA MSAADA WA DIALYISIS! KIUKWELI KUNA CHANGAMOTO KUBWA IMEJITOKEZA KWENYE LINE YA KUFANYIA DIALYISIS NJIA IMEKUFA KWA MAANA AKIINGIZA KWENYE MASHINE DAMU ZINATOKA SI KAWAIDA INAPELEKEA DAMU KUMWAGIKA NA KWA SASA PANAPASWA MRIJA UWEKWE MKONONI AU MU MGUUNI !!! TUNAHITAJI 1,800,000TZSH ( MILLION MOJA NA LAKI NANE) WAKATI NAANDAA NAMNA YA KUMSAIDIA JANA IJUMAA ALIENDA KUFANYA TENA DIALYSIS LAKINI ALISHINDWA KABISA ALIPATA BARIDI KALI KAMA KIFAFA NA ILIBIDI AFANYIWE DIALYSIS ALIWA KWENYA MASHINE YA OXYGEN! HALI HII IMEKUWA HATARI NA IMEFANYA MADAKTARI WAMUANDIKIEEE NAOMBA NDUGU NIWAOMBE TUMSAIDIE HUYU BABA 😪😪😪 KWANI HATOWEZA KUFANYA DIALYSIS MPAKA APATE SINDANO HIZO 5 NA IKUMBUKE FIGO ZOTE MBILI ZIMEKUFA DIALYSIS NDIO UHAI WAKE 😣😣😥😥😥 0745787549 Mpesa JABILI ALLY ISSA "KUTOA NI MOYO SI UTAJURI " 🙏
    Sad
    1
    · 1 Comments ·0 Shares ·28 Views
  • :dak 48’
    Chumaaaaaaaa ni Steve Dese Mukwala
    “Streka refu kuliko Goli” waaaaah

    What a header

    SIMBA SC [5]-0 KILI WONDERS

    #paulswai
    ⏳:dak 48’ Chumaaaaaaaa⚽ ni Steve Dese Mukwala “Streka refu kuliko Goli” waaaaah What a header 🔥 SIMBA SC [5]-0 KILI WONDERS #paulswai
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·39 Views ·1
  • MAPUMZIKO

    #paulswai
    MAPUMZIKO #paulswai
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·36 Views
  • SIMBA SC 4️⃣0️⃣ KILI WONDERS

    #paulswai
    SIMBA SC 4️⃣🆚0️⃣ KILI WONDERS #paulswai
    0 Comments ·0 Shares ·39 Views ·1
  • SIMBA SC [3]-0 KILI WONDERS

    Dk 08

    #paulswai
    SIMBA SC [3]-0 KILI WONDERS Dk 08 #paulswai
    0 Comments ·0 Shares ·40 Views ·1
  • SIMBASC 2️⃣ 0️⃣ KIL WONDER
    dak:04
    ’Chasambiiiiiiiiiiii ⚽️

    #paulswai
    SIMBASC 2️⃣🆚 0️⃣ KIL WONDER dak:04 ’Chasambiiiiiiiiiiii ⚽️ #paulswai
    0 Comments ·0 Shares ·40 Views ·3
  • Live 17'
    Simba 3 Kilimanjaro Wonders 0
    Live 17' Simba 3 Kilimanjaro Wonders 0
    0 Comments ·0 Shares ·17 Views

  • :dak 01’
    Valentino Mashakaaaaaaaaaaaaaaaaa
    Hata nyama robo haifungwi haraka kiasi hiki
    Goli moja la kikatili sana linafungwa hapa

    SIMBA SC [1]-0 KILI WONDERS

    #paulswai
    ⏳:dak 01’ Valentino Mashakaaaaaaaaaaaaaaaaa⚽ Hata nyama robo haifungwi haraka kiasi hiki Goli moja la kikatili sana linafungwa hapa SIMBA SC [1]-0 KILI WONDERS #paulswai
    0 Comments ·0 Shares ·44 Views ·1
  • Kikosi Cha Simba Vs Kilimanjaro Wonders
    1.Ally Salum
    2.Duchu
    3.Nouma
    4.Chamou
    5.Hamza
    6.Okejepha
    7.Chasambi
    8.Mzamiru
    9.Mashaka
    10.Awesu
    11.Mutale
    Kikosi Cha Simba Vs Kilimanjaro Wonders 1.Ally Salum 2.Duchu 3.Nouma 4.Chamou 5.Hamza 6.Okejepha 7.Chasambi 8.Mzamiru 9.Mashaka 10.Awesu 11.Mutale
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·19 Views
  • KIKOSI

    #paulswai
    KIKOSI #paulswai
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·36 Views
  • “Nimewaondolea Ulinzi wa serikali kwasababu naamini walifanya kazi serikalini na walitengeneza fedha za kutosha sana, hivyo bila shaka wanaweza kuajiri Walinzi wao binafsi”

    - Donald Trump, Rais wa Marekani juu ya kuwaondolea Ulinzi Wastaafu wawili wa serikali ambao walihodhi sehemu nyeti kama Shirika la Magonjwa ya Kuambukiza na Mshauri wa masuala ya Kiusalama wa Marekani.
    “Nimewaondolea Ulinzi wa serikali kwasababu naamini walifanya kazi serikalini na walitengeneza fedha za kutosha sana, hivyo bila shaka wanaweza kuajiri Walinzi wao binafsi” - Donald Trump, Rais wa Marekani juu ya kuwaondolea Ulinzi Wastaafu wawili wa serikali ambao walihodhi sehemu nyeti kama Shirika la Magonjwa ya Kuambukiza na Mshauri wa masuala ya Kiusalama wa Marekani.
    0 Comments ·0 Shares ·20 Views
More Results