• Hii habari ya kusema kuanzia mwezi Aprili, 2025 umeme utakatika na giza nene litatanda ina maanisha nini?
    Hii habari ya kusema kuanzia mwezi Aprili, 2025 umeme utakatika na giza nene litatanda ina maanisha nini?
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 75 Views
  • Huyu ndio fundi nguo wa kwanza Afrika Mashariki mwaka 1890, baada ya kushindwa kulitaja vizuri jina lake wazee wakamwita Cherehani.
    Anaitwa: Charan Singh.

    JE ulikua unajua hili .
    Huyu ndio fundi nguo wa kwanza Afrika Mashariki mwaka 1890, baada ya kushindwa kulitaja vizuri jina lake wazee wakamwita Cherehani. Anaitwa: Charan Singh. JE ulikua unajua hili 馃槀馃槀馃槀.
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 31 Views
  • daa hii kwel ama macho yangu
    馃榿馃榿馃榿daa hii kwel ama macho yangu
    0 Comments 0 Shares 23 Views
  • Baada ya kujiondoa kwenye Umoja wa Nchi Magharibi (ECOWAS) na kuunda Umoja wao wa Mataifa wa Sahel (AES), Nchi za Niger , Mali , na Burkina faso , zimezindua rasmi Bendera yake mpya ya Umoja huo.

    Umoja huo wa (AES) baada ya kuanzisha Pasi ya kusafiria (Pasipoti) na Kikosi cha Wanajeshi Elfu wa pamoja tano (5000), umepanga pia kuanzisha (kuunda) sarafu moja inayotumika katika Mataifa hayo.

    Ikumbukwe kwamba Nchi hizo tatu (3) zinazoongozwa Kijeshi baada ya Majeshi ya Nchi hizo kupundua Kiongozi waliokuwepo madarakani

    Baada ya kujiondoa kwenye Umoja wa Nchi Magharibi (ECOWAS) na kuunda Umoja wao wa Mataifa wa Sahel (AES), Nchi za Niger 馃嚦馃嚜, Mali 馃嚥馃嚤, na Burkina faso 馃嚙馃嚝, zimezindua rasmi Bendera yake mpya ya Umoja huo. Umoja huo wa (AES) baada ya kuanzisha Pasi ya kusafiria (Pasipoti) na Kikosi cha Wanajeshi Elfu wa pamoja tano (5000), umepanga pia kuanzisha (kuunda) sarafu moja inayotumika katika Mataifa hayo. Ikumbukwe kwamba Nchi hizo tatu (3) zinazoongozwa Kijeshi baada ya Majeshi ya Nchi hizo kupundua Kiongozi waliokuwepo madarakani
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 74 Views
  • Uingereza imesitisha kutoa baadhi ya misaada ya moja kwa moja kwa Nchi ya Rwanda kufuatia kuendelea kwa machafuko ya yanayosababishwa na Vikundi huko Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kikiwemo Kikundi cha Waasi cha M23 ambacho kinadaiwa kuungwa mkono na Nchi ya Rwanda.

    Uamuzi huo unakuja baada ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, David Lammy kukutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame Jijini Kigali, Rwanda na Rais wa DR Congo, Felix Tshisekedi Jijini Kinshasa, DR Congo.

    Uingereza 馃嚞馃嚙 imesitisha kutoa baadhi ya misaada ya moja kwa moja kwa Nchi ya Rwanda 馃嚪馃嚰 kufuatia kuendelea kwa machafuko ya yanayosababishwa na Vikundi huko Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 馃嚚馃嚛 kikiwemo Kikundi cha Waasi cha M23 ambacho kinadaiwa kuungwa mkono na Nchi ya Rwanda. Uamuzi huo unakuja baada ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, David Lammy kukutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame Jijini Kigali, Rwanda na Rais wa DR Congo, Felix Tshisekedi Jijini Kinshasa, DR Congo.
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 120 Views
  • Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA), leo hii litakutana kuchakata kanuni mpya nne (4) ambazo zinaweza kuanza kutumika Julai 1, 2025 endepo zitapitishwa.

    1. Kanuni ya Arsene Wenger:

    Mchezaji atahesabiwa kuwa yuko "offside" ikiwa mwili wake mzima utapita Mchezaji wa mwisho. Ikumbukwe kwamba "offside" ya sasa ni kuwa Mchezaji anahesabiwa kuwa yupo "offside" endapo sehemu yake ndogo ya mwili au mwili mzima itampita Mchezaji wa mwisho.

    2. Waamuzi (Refarii) kutoa ufafanuzi wa maamuzi yao kwa Watazamaji Uwanjani kwa kutumia kipaza sauti (Microphone):

    Baada ya kushirikiana na VAR, Waamuzi wataelezea maamuzi yao kwa kutumia kipaza sauti kwa Watazamaji wote waliopo Uwanjani.

    3. Challenge System:

    Kila Kocha Mkuu wa Timu ataruhusiwa kuomba kutumia VAR wakati wa mchezo ili kupitia tukio wanaloona kuwa lina utata.

    NB : Wataweka idadi maalumu ya kuomba kutumia VAR na sio muda wote.

    4. Waamuzi kusimamisha muda:

    Waamuzi wataweza kusimamisha saa ili kuchunguza tukio lenye utata au wakati wa majeraha makubwa. Lengo: kuepuka kupoteza muda mwingi katika mpira wa miguu na kuhakikisha muda halisi wa kucheza unatumika.

    NB : Hii itamika pia kwa wale Wachezaji ambao hupenda kupoteza muda kipindi anatolewa Uwanjani ili Mchezaji mwingine aingie.

    Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA), leo hii litakutana kuchakata kanuni mpya nne (4) ambazo zinaweza kuanza kutumika Julai 1, 2025 endepo zitapitishwa. 1. Kanuni ya Arsene Wenger: Mchezaji atahesabiwa kuwa yuko "offside" ikiwa mwili wake mzima utapita Mchezaji wa mwisho. Ikumbukwe kwamba "offside" ya sasa ni kuwa Mchezaji anahesabiwa kuwa yupo "offside" endapo sehemu yake ndogo ya mwili au mwili mzima itampita Mchezaji wa mwisho. 2. Waamuzi (Refarii) kutoa ufafanuzi wa maamuzi yao kwa Watazamaji Uwanjani kwa kutumia kipaza sauti (Microphone): Baada ya kushirikiana na VAR, Waamuzi wataelezea maamuzi yao kwa kutumia kipaza sauti kwa Watazamaji wote waliopo Uwanjani. 3. Challenge System: Kila Kocha Mkuu wa Timu ataruhusiwa kuomba kutumia VAR wakati wa mchezo ili kupitia tukio wanaloona kuwa lina utata. NB : Wataweka idadi maalumu ya kuomba kutumia VAR na sio muda wote. 4. Waamuzi kusimamisha muda: Waamuzi wataweza kusimamisha saa ili kuchunguza tukio lenye utata au wakati wa majeraha makubwa. Lengo: kuepuka kupoteza muda mwingi katika mpira wa miguu na kuhakikisha muda halisi wa kucheza unatumika. NB : Hii itamika pia kwa wale Wachezaji ambao hupenda kupoteza muda kipindi anatolewa Uwanjani ili Mchezaji mwingine aingie.
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 77 Views
  • "Huyu ni mwandishi wa nyimbo za Beyonce, Usher, Nick Minaj, Chris Brown, alishawahi kifanya kazi na Michael Jackson! Amekuja kwenye Tuzo za @traceawards na stori page zote ni kuhusu mimi kufanan nae sana @seangarrettthepen imagine ppzi hili tumepiga yeye alishai kupiga picha ivo na mimi ukifatilia utakuta napenda sana kupiga picha ivo!! (Another post itafuata) asa watu wengine walikua wanamfata apa Zanzibar wakidhani na mimi wanamuita " - Lil Ommy, Mtangazaji wa Wasafi FM.

    "Huyu ni mwandishi wa nyimbo za Beyonce, Usher, Nick Minaj, Chris Brown, alishawahi kifanya kazi na Michael Jackson! Amekuja kwenye Tuzo za @traceawards na stori page zote ni kuhusu mimi kufanan nae sana @seangarrettthepen imagine ppzi hili tumepiga yeye alishai kupiga picha ivo na mimi ukifatilia utakuta napenda sana kupiga picha ivo!! (Another post itafuata) asa watu wengine walikua wanamfata apa Zanzibar wakidhani na mimi wanamuita 馃槅馃槅馃槅" - Lil Ommy, Mtangazaji wa Wasafi FM.
    0 Comments 0 Shares 87 Views
  • Karibu tule ndugu zangu
    Karibu tule ndugu zangu
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 37 Views
  • Mashabiki wanataka boss miluzi asepe
    Mashabiki wanataka boss miluzi asepe
    Love
    1
    0 Comments 0 Shares 64 Views
  • "Naona Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amefunga safari hadi Congo kumuona Rais Tshisekedi, sijui ni kipi hasa kinaendelea katika jumuiya ya Afrika mashariki lakini ni kama kuna muungano ndani ya muungano, eeeh kuna muungano kati ya Congo na Burundi ambao unalenga kupambana dhidi ya Rwanda

    Yaani ukiwatazama Congo na Burundi ni kama wameungana kupambana na Rwanda na M23 eeeh ipo wazi na tayari mapigano kati ya majeshi ya Congo Burundi dhidi ya Rwanda na M23 yameshuhudiwa, EAC wasipodhibiti hali ya Congo mzozo huu utaenda kutanuka na kuwa wa kikanda

    Ngoja tuone ila yajayo sio mazuri kwa diplomasia ya EAC , kiufupi ziara ya Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye, nchini Congo inalenga kuonana na mwenzake wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi, huku lengo kuu ikiwa na mazungumzo kuhusu mzozo unaolikumba eneo la mashariki mwa Kongo" - Zungu, Mtangazaji na Mchambuzi wa Siasa.

    "Naona Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amefunga safari hadi Congo kumuona Rais Tshisekedi, sijui ni kipi hasa kinaendelea katika jumuiya ya Afrika mashariki lakini ni kama kuna muungano ndani ya muungano, eeeh kuna muungano kati ya Congo na Burundi ambao unalenga kupambana dhidi ya Rwanda Yaani ukiwatazama Congo na Burundi ni kama wameungana kupambana na Rwanda na M23 eeeh ipo wazi na tayari mapigano kati ya majeshi ya Congo Burundi dhidi ya Rwanda na M23 yameshuhudiwa, EAC wasipodhibiti hali ya Congo mzozo huu utaenda kutanuka na kuwa wa kikanda 馃槶 Ngoja tuone ila yajayo sio mazuri kwa diplomasia ya EAC , kiufupi ziara ya Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye, nchini Congo inalenga kuonana na mwenzake wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi, huku lengo kuu ikiwa na mazungumzo kuhusu mzozo unaolikumba eneo la mashariki mwa Kongo" - Zungu, Mtangazaji na Mchambuzi wa Siasa.
    0 Comments 0 Shares 149 Views
  • Maskari wa Jeshi la Ulinzi la Afrika Kusini (SANDF) waliojeruhiwa katika mapigano Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , limeanza kurejea nyumbani kupitia Jijini Kigali, Rwanda baada ya kukwama katika kambi zao kwa takriban mwezi mmoja DR Congo.

    Wanajeshi hao ni miongoni mwa Askari wa (SANDF) walioko chini ya Kikosi cha Walinda Amani wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SAMIDRC), wanaoimarisha ulinzi Mashariki mwa DR Congo pamoja na kukabiliana na uovu wa Waasi wa kundi la M23 dhidi ya Raia wa DR Congo.

    Televisheni ya Afrika Kusini ya SABC imesema, Wanajeshi hao ambao walishindwa kupambana na Waasi wa kundi la M23 ambao waliitwaa Miji ya mashariki mwa Nchi hiyo, walionekana wakiondoka Mjini Goma kuanzia juzi jioni kwa barabara bila vifaa na sare zao za Kijeshi. Ripoti ya Jarida la Afrika Kusini la Rapport iliyochapishwa Jumapili ilieleza kuwa Wanajeshi wa Afrika Kusini waliojeruhiwa ni zaidi ya 189.

    Kwa mujibu wa Jarida hilo, miongoni mwa waliojeruhiwa ni Wanajeshi wawili (2) ambao ni Wajawazito, huku idadi ya Wanajeshi wa (SANDF) wanaoendelea kukwama Nchini DR Congo ikikadiriwa kuwa kati ya elfu moja (1,000) na elfu mbili (2,000).

    Maskari wa Jeshi la Ulinzi la Afrika Kusini 馃嚳馃嚘 (SANDF) waliojeruhiwa katika mapigano Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 馃嚚馃嚛, limeanza kurejea nyumbani kupitia Jijini Kigali, Rwanda 馃嚪馃嚰 baada ya kukwama katika kambi zao kwa takriban mwezi mmoja DR Congo. Wanajeshi hao ni miongoni mwa Askari wa (SANDF) walioko chini ya Kikosi cha Walinda Amani wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SAMIDRC), wanaoimarisha ulinzi Mashariki mwa DR Congo pamoja na kukabiliana na uovu wa Waasi wa kundi la M23 dhidi ya Raia wa DR Congo. Televisheni ya Afrika Kusini ya SABC imesema, Wanajeshi hao ambao walishindwa kupambana na Waasi wa kundi la M23 ambao waliitwaa Miji ya mashariki mwa Nchi hiyo, walionekana wakiondoka Mjini Goma kuanzia juzi jioni kwa barabara bila vifaa na sare zao za Kijeshi. Ripoti ya Jarida la Afrika Kusini la Rapport iliyochapishwa Jumapili ilieleza kuwa Wanajeshi wa Afrika Kusini waliojeruhiwa ni zaidi ya 189. Kwa mujibu wa Jarida hilo, miongoni mwa waliojeruhiwa ni Wanajeshi wawili (2) ambao ni Wajawazito, huku idadi ya Wanajeshi wa (SANDF) wanaoendelea kukwama Nchini DR Congo ikikadiriwa kuwa kati ya elfu moja (1,000) na elfu mbili (2,000).
    Sad
    1
    0 Comments 0 Shares 97 Views
  • Yanga SC

    Golkipa wa klabu ya Yanga SC A. Mshery amefunga ndoa leo hii.
    Yanga SC 鉁嶏笍 Golkipa wa klabu ya Yanga SC A. Mshery amefunga ndoa leo hii.
    Love
    1
    0 Comments 0 Shares 56 Views
  • Huyu mchezaji sijui Yanga walimsajili kutoka timu gani. Alikuwa anakata umeme utadhani mwanaume
    Huyu mchezaji sijui Yanga walimsajili kutoka timu gani. Alikuwa anakata umeme utadhani mwanaume
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 88 Views
  • DDoS Attack ni Nini?

    DDoS (Distributed Denial of Service) attack ni aina ya shambulio la mtandao ambapo mifumo mingi hutumiwa kwa pamoja kuzidisha mzigo wa trafiki kwenye lengo fulani (kama tovuti, seva, au mtandao). Hii husababisha mfumo kulala au kushindwa kufanya kazi vizuri.


    ---

    Jinsi DDoS Attack Inavyofanyika

    Shambulio la DDoS kwa kawaida hufuata hatua hizi:

    1. Kuunda Botnet: Mshambuliaji huambukiza vifaa vingi (kompyuta, vifaa vya IoT, seva) kwa programu hasidi (malware), na kuvifanya kuwa "bots" au "zombies" anazoweza kudhibiti kwa mbali. Huu mtandao wa vifaa vilivyoathirika huitwa botnet.


    2. Kuchagua Shabaha: Mshambuliaji huchagua tovuti, seva, au huduma ya mtandao ambayo anataka kushambulia. Hii inaweza kuwa seva ya michezo, tovuti ya biashara, au hata tovuti ya serikali.


    3. Kuzidisha Trafiki: Botnet hutuma mamilioni ya maombi feki (kama maombi ya HTTP, paketi za UDP, au miunganisho ya TCP) kwenye shabaha. Kwa kuwa mfumo una uwezo mdogo wa kushughulikia maombi kwa wakati mmoja, unazidiwa na kushindwa kujibu maombi halali.


    4. Kukatizwa kwa Huduma: Watumiaji halali hawawezi kufikia tovuti au huduma kwa sababu seva inashughulikia trafiki nyingi za mashambulizi.




    ---

    Mfano wa DDoS Attack

    Tuseme unaendesha duka la mtandaoni.

    Kawaida, unapata wateja 1,000 kwa saa, na seva yako inaweza kushughulikia hadi wateja 5,000 kwa wakati mmoja.

    Mshambuliaji anazindua DDoS attack kwa kutumia botnet yenye vifaa 100,000 vilivyoathirika ili kutuma mamilioni ya maombi feki kwenye tovuti yako.

    Seva yako inazidiwa na kushindwa kufanya kazi, na wateja halali hawawezi kufikia duka lako.

    Hii inasababisha kupoteza mapato, muda wa kupumzika wa tovuti (downtime), na kuharibu sifa ya biashara yako.



    ---

    Aina za DDoS Attacks

    1. Volumetric Attacks – Kuzidisha matumizi ya bandwidth (mfano: UDP Flood, ICMP Flood).


    2. Protocol Attacks – Kudhoofisha mifumo ya mtandao (mfano: SYN Flood, Ping of Death).


    3. Application Layer Attacks – Kulenga huduma maalum kama tovuti (mfano: HTTP Flood).




    ---

    Jinsi ya Kuzuia DDoS Attack

    Tumia huduma za ulinzi wa DDoS kama Cloudflare, AWS Shield, au Akamai.

    Weka firewall na mipaka ya maombi (rate-limiting) ili kuzuia trafiki isiyo ya kawaida.

    Tumia mfumo wa kugundua mashambulizi (IDS) na Web Application Firewall (WAF).

    Angalia trafiki yako kwa kutumia uchambuzi wa wakati halisi (real-time analytics) ili kutambua ongezeko lisilo la kawaida.
    DDoS Attack ni Nini? DDoS (Distributed Denial of Service) attack ni aina ya shambulio la mtandao ambapo mifumo mingi hutumiwa kwa pamoja kuzidisha mzigo wa trafiki kwenye lengo fulani (kama tovuti, seva, au mtandao). Hii husababisha mfumo kulala au kushindwa kufanya kazi vizuri. --- Jinsi DDoS Attack Inavyofanyika Shambulio la DDoS kwa kawaida hufuata hatua hizi: 1. Kuunda Botnet: Mshambuliaji huambukiza vifaa vingi (kompyuta, vifaa vya IoT, seva) kwa programu hasidi (malware), na kuvifanya kuwa "bots" au "zombies" anazoweza kudhibiti kwa mbali. Huu mtandao wa vifaa vilivyoathirika huitwa botnet. 2. Kuchagua Shabaha: Mshambuliaji huchagua tovuti, seva, au huduma ya mtandao ambayo anataka kushambulia. Hii inaweza kuwa seva ya michezo, tovuti ya biashara, au hata tovuti ya serikali. 3. Kuzidisha Trafiki: Botnet hutuma mamilioni ya maombi feki (kama maombi ya HTTP, paketi za UDP, au miunganisho ya TCP) kwenye shabaha. Kwa kuwa mfumo una uwezo mdogo wa kushughulikia maombi kwa wakati mmoja, unazidiwa na kushindwa kujibu maombi halali. 4. Kukatizwa kwa Huduma: Watumiaji halali hawawezi kufikia tovuti au huduma kwa sababu seva inashughulikia trafiki nyingi za mashambulizi. --- Mfano wa DDoS Attack Tuseme unaendesha duka la mtandaoni. Kawaida, unapata wateja 1,000 kwa saa, na seva yako inaweza kushughulikia hadi wateja 5,000 kwa wakati mmoja. Mshambuliaji anazindua DDoS attack kwa kutumia botnet yenye vifaa 100,000 vilivyoathirika ili kutuma mamilioni ya maombi feki kwenye tovuti yako. Seva yako inazidiwa na kushindwa kufanya kazi, na wateja halali hawawezi kufikia duka lako. Hii inasababisha kupoteza mapato, muda wa kupumzika wa tovuti (downtime), na kuharibu sifa ya biashara yako. --- Aina za DDoS Attacks 1. Volumetric Attacks – Kuzidisha matumizi ya bandwidth (mfano: UDP Flood, ICMP Flood). 2. Protocol Attacks – Kudhoofisha mifumo ya mtandao (mfano: SYN Flood, Ping of Death). 3. Application Layer Attacks – Kulenga huduma maalum kama tovuti (mfano: HTTP Flood). --- Jinsi ya Kuzuia DDoS Attack Tumia huduma za ulinzi wa DDoS kama Cloudflare, AWS Shield, au Akamai. Weka firewall na mipaka ya maombi (rate-limiting) ili kuzuia trafiki isiyo ya kawaida. Tumia mfumo wa kugundua mashambulizi (IDS) na Web Application Firewall (WAF). Angalia trafiki yako kwa kutumia uchambuzi wa wakati halisi (real-time analytics) ili kutambua ongezeko lisilo la kawaida.
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 126 Views
  • SOFTWARE ZINAZOTUMIKA KUFLASH SIMU ZA AINA ZOTE

    software hizo apo unaweza kutumia kutoa lock za simu, na lock z mordem zitumie line zote

    Hizo apo chini ndo list ya software zenyewe

    Softwares
    Miracle box
    Oss Client Pro
    Z3x Premium
    Gsm Alladin
    Infinix Box
    Octopus Samsung
    DC Unlocker
    NCK Box & Nck Dongle
    SP Flash Tool
    Infinity Best Dongle box
    Furious gold tool box
    Mtk Tool Box
    Octoplus Suite
    Volcano box
    Merapi tool
    Xt2 clip box
    SP Flash Tool
    Infinity Chinese miracle 2 Mtk box
    GbKEY Dongle
    Smart clip 2 tool
    CS Tool Dongle
    Medusa Pro Box
    BST dongle
    UFI Box International Version
    Atf box
    Avenger box
    Magma box
    Ultimate Multi Tool Box
    GPG Dragon
    Zamsung Crypter Advance Frp Tool Remover

    Je unatka kusoma na kupata izi link za program.
    馃帀SOFTWARE ZINAZOTUMIKA KUFLASH SIMU ZA AINA ZOTE 馃software hizo apo unaweza kutumia kutoa lock za simu, na lock z mordem zitumie line zote 馃Hizo apo chini ndo list ya software zenyewe Softwares 馃挗Miracle box 馃挗Oss Client Pro 馃挗Z3x Premium 馃挗Gsm Alladin 馃挗Infinix Box 馃挗Octopus Samsung 馃挗DC Unlocker 馃挗NCK Box & Nck Dongle 馃挗SP Flash Tool 馃挗Infinity Best Dongle box 馃挗Furious gold tool box 馃挗Mtk Tool Box 馃挗Octoplus Suite 馃挗Volcano box 馃挗Merapi tool 馃挗Xt2 clip box 馃挗SP Flash Tool 馃挗Infinity Chinese miracle 2 Mtk box 馃挗GbKEY Dongle 馃挗Smart clip 2 tool 馃挗CS Tool Dongle 馃挗Medusa Pro Box 馃挗BST dongle 馃挗UFI Box International Version 馃挗Atf box 馃挗Avenger box 馃挗Magma box 馃挗Ultimate Multi Tool Box 馃挗GPG Dragon 馃挗Zamsung Crypter Advance Frp Tool Remover Je unatka kusoma na kupata izi link za program. 馃ケ馃ケ馃ケ
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 81 Views
  • Simba la masimba
    Simba la masimba 馃槀馃槀
    Haha
    1
    0 Comments 0 Shares 64 Views
  • Inafurahisha
    Inafurahisha馃槀馃槀
    Haha
    2
    0 Comments 0 Shares 60 Views
  • Ata na mimi sijui hiyo 4×4 ina maana gani mwenye kujua atujuze
    Ata na mimi sijui hiyo 4×4 ina maana gani mwenye kujua atujuze
    Like
    2
    0 Comments 0 Shares 34 Views
  • Tunatumia sehemu kubwa ya maisha yetu kungoja kuliko kuishi.
    Tunangoja tumalize shule.
    Tunangoja tupate kazi.
    Tunangoja tusome tena.
    Tunangoja tupate kazi nzuri.
    Tunangoja mchumba abadilike.
    Tunangoja tupendwe.
    Tunangoja ndoa.
    Tunangoja tujenge.
    Tunangoja tupate watoto.
    Tunangoja tupandishwe cheo.
    Tunangoja kipato kitulie.
    Tunangoja watoto wasome.

    Mara tumezeeka.
    Tunangoja muujiza. Tunangoja kufa.
    Tunakufa kweli. Hatujaishi.
    Tunatumia sehemu kubwa ya maisha yetu kungoja kuliko kuishi. Tunangoja tumalize shule. Tunangoja tupate kazi. Tunangoja tusome tena. Tunangoja tupate kazi nzuri. Tunangoja mchumba abadilike. Tunangoja tupendwe. Tunangoja ndoa. Tunangoja tujenge. Tunangoja tupate watoto. Tunangoja tupandishwe cheo. Tunangoja kipato kitulie. Tunangoja watoto wasome. Mara tumezeeka. Tunangoja muujiza. Tunangoja kufa. Tunakufa kweli. Hatujaishi.
    Like
    2
    0 Comments 0 Shares 64 Views
  • Ni msanii maarufu hapa tz mtaje jina lake kama unamfahamu
    Ni msanii maarufu hapa tz mtaje jina lake kama unamfahamu
    Like
    1
    1 Comments 0 Shares 39 Views
More Results