0 Σχόλια
·0 Μοιράστηκε
·9 Views
-
Jose mourinho : "Naweza kusema kazi ngumu niliyokuwa nayo ni Messi, nikikuta kitabu kimeandikwa kwenye jalada lake "How to stop Messi" ningenunua vitabu vyote vya kusoma na kuwapa wachezaji wangu, nilifanya hivyo. sikumtafutia suluhu nikiwa Real Madrid ningenunua mabeki bora na mwisho ningewakuta wanaanguka chini na Messi anakimbia na kujisemea
"kuna bora zaidi ya hawa wachezaji? Hakuna, kwa hiyo tatizo halipo kwangu wala kwao, tatizo ni kwamba hakuna namna ya kumzuia" Naomba tu Mungu afanye muujiza kwa muujiza huu wa soka maana masuluhisho ya dunia hayatafanya kazi naye, Nataka kumwambia kocha yeyote ambaye hajakutana na Messi “una bahati sana kwani unalala vizuri kwani timu unazocheza nazo hazina Messi”, makocha watakaokutana naye nataka kusema “Usijisumbue na usijaribu kumzuia, furahia tu au utajikuta umekaa ukiwaza usiku wa manane"
Jose mourinho 🗣️ : "Naweza kusema kazi ngumu niliyokuwa nayo ni Messi, nikikuta kitabu kimeandikwa kwenye jalada lake "How to stop Messi" ningenunua vitabu vyote vya kusoma na kuwapa wachezaji wangu, nilifanya hivyo. sikumtafutia suluhu nikiwa Real Madrid ningenunua mabeki bora na mwisho ningewakuta wanaanguka chini na Messi anakimbia na kujisemea "kuna bora zaidi ya hawa wachezaji? Hakuna, kwa hiyo tatizo halipo kwangu wala kwao, tatizo ni kwamba hakuna namna ya kumzuia" Naomba tu Mungu afanye muujiza kwa muujiza huu wa soka maana masuluhisho ya dunia hayatafanya kazi naye, Nataka kumwambia kocha yeyote ambaye hajakutana na Messi “una bahati sana kwani unalala vizuri kwani timu unazocheza nazo hazina Messi”, makocha watakaokutana naye nataka kusema “Usijisumbue na usijaribu kumzuia, furahia tu au utajikuta umekaa ukiwaza usiku wa manane" -
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Αναζήτηση αποτελεσμάτων