Upgrade to Pro

  • Nikicheki muda Ni saa 4 usiku Napiga Dua namshukuru mungu
    Kwa kunilinda Hii Siku na Wenye #Bifu
    Naomba Tena Atulinde huu usiku #Mrefu
    Mungu Mimi kwako si #Mkamilifu
    Najua nakosea Nina mengi #Madhaifu
    Kwa wema wako nioshe niwe #Nadhifu
    Nakusifu kwa mdomo maana hujaniumba #BuBu
    Wape Tumaini wenye matatizo yanayo #Wasibu
    Wagonjwa mahospitali wema wako #Ukawatibu
    Wategemee Dua na sio sangoma Wala #Chifu
    Waombewe na watumishi mashekh wakina #Sharifu
    Wasirogane kwa kuvunjiana Nazi na #Madafu
    Nashukuru kwa hii pumzi inayoingia kwenye #Mapafu
    Nitimize sakramenti takwa Mimi nilie #Mkristu
    Niepushe Na zinaa niogope kufungua #Zipu
    Niepushe Na tamaa nisipende Sana #Chipu
    Niwe mwema ndugu zangu nisiwachezee #Rafu
    Niiheshimu ndoa nilale chumbani niogee #Bafu
    Kesho nijalie riziki yangu niingojee kwa #Safu
    Nisishawishike na ulevi nikaja lala #Club
    Ee mungu tulinde Huu usiku na kila #Tabu
    Dua zetu zipokee kwako ndo liliko #Jawabu
    Nikicheki muda Ni saa 4 usiku Napiga Dua namshukuru mungu🎤 Kwa kunilinda Hii Siku na Wenye #Bifu Naomba Tena Atulinde huu usiku #Mrefu Mungu Mimi kwako si #Mkamilifu Najua nakosea Nina mengi #Madhaifu Kwa wema wako nioshe niwe #Nadhifu Nakusifu kwa mdomo maana hujaniumba #BuBu Wape Tumaini wenye matatizo yanayo #Wasibu Wagonjwa mahospitali wema wako #Ukawatibu Wategemee Dua na sio sangoma Wala #Chifu Waombewe na watumishi mashekh wakina #Sharifu Wasirogane kwa kuvunjiana Nazi na #Madafu Nashukuru kwa hii pumzi inayoingia kwenye #Mapafu Nitimize sakramenti takwa Mimi nilie #Mkristu Niepushe Na zinaa niogope kufungua #Zipu Niepushe Na tamaa nisipende Sana #Chipu Niwe mwema ndugu zangu nisiwachezee #Rafu Niiheshimu ndoa nilale chumbani niogee #Bafu Kesho nijalie riziki yangu niingojee kwa #Safu Nisishawishike na ulevi nikaja lala #Club Ee mungu tulinde Huu usiku na kila #Tabu Dua zetu zipokee kwako ndo liliko #Jawabu
    ·1K Views
  • Vikwazo lumbesa vyote vitaisha umaskini unatesa pesa inatakatisha

    Najua life nitait gumu Kama kusolve taichii

    Mshara wa uvivu huwa ni kupata umaskini

    Mashara kuungua mapafu kazi ilikua kuvuta sigara

    Msharavwa kinyozi ni kunyoa watu vipara.
    Vikwazo lumbesa vyote vitaisha umaskini unatesa pesa inatakatisha Najua life nitait gumu Kama kusolve taichii Mshara wa uvivu huwa ni kupata umaskini Mashara kuungua mapafu kazi ilikua kuvuta sigara Msharavwa kinyozi ni kunyoa watu vipara.
    ·168 Views
  • Nipo safari ya mbali.. Japo sijaona sayari..
    Bado nausaka ugali.. Japo ni msoto mkali..
    Nitarudi usijali.. Nasaka usiku silali.. Life bado kabali..
    Kwamungu nasali vizuli.. Naomba nipate mia nisije pata sifuli..
    Mvumilivu hula matunda mazuri.. Kua na amani epuka kibuli..
    Vikwazo lumbesa vyote vitaisha.. Umaskini unatesa pesa inatakatisha..
    Najua life nitait gumu Kama kusolve taichii..
    Mshara wa uvivu huwa ni kupata umaskini..
    Mashara kuungua mapafu kazi ilikua kuvuta sigara..
    Mshara wa kinyozi ni kupiga watu vipara..
    Nipo safari ya mbali.. Japo sijaona sayari.. Bado nausaka ugali.. Japo ni msoto mkali.. Nitarudi usijali.. Nasaka usiku silali.. Life bado kabali.. Kwamungu nasali vizuli.. Naomba nipate mia nisije pata sifuli.. Mvumilivu hula matunda mazuri.. Kua na amani epuka kibuli.. Vikwazo lumbesa vyote vitaisha.. Umaskini unatesa pesa inatakatisha.. Najua life nitait gumu Kama kusolve taichii.. Mshara wa uvivu huwa ni kupata umaskini.. Mashara kuungua mapafu kazi ilikua kuvuta sigara.. Mshara wa kinyozi ni kupiga watu vipara..
    ·230 Views
  • YAJUE HAYA KUHUSU MISITU YA AMAZON.
    1: Msitu wa Amazon ndio msitu mkubwa zaidi duniani unaopatikana huko America kusini.

    2: kama ulifikiri msitu huu unapatikana Brazil pekee jibu ni hapana msitu huu umegawanyika katika nchi tisa nchi hizo ni Blazil 60% peru 13% colombia 10% na mataifa mengine kama Venezuela, Ecuador, bolvia, guyana, suriname na France guiana.

    3: Msitu huu una eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba 5,500,000 ( Milioni 5) yani kwa ukubwa huu nchi ya TANZANIA iingie mara 6 kwenye msitu huo.

    4: kwa mujibu wa wanasayansi wa mimea msitu wa Amazon una umri wa miaka zaidi ya million 55

    5: Msitu wa Amazon unakadiriwa kuwa na miti billion 400 na aina mbalimbali za miti zaidi ya 160,000 pia kuna miti ya matunda tofauti tofauti elfu tatu katika msitu huo.

    6: Mchanga wa jangwa la sahara hupeperushwa na upepo hupita juu ya bahari Atlantic hadi katika msitu wa amazon ambako hurutubisha katika msitu huo.

    7: katika msitu wa amazon kuna mto umekatisha mto huo unaitwa mto amazon huu ndio mtu mkubwa zaidi duniani na unaingiza maji baharini mara 5 ya mito mingine maajabu ya mto huu kuna muda haueleweki kuna kipindi unapeleka maji kinyume badala ya maji kwenda mashariki yana kuwa yana toka mashariki kwenda magharibi.

    8: Asilimia 20% ya oxygen iliyopo dunia inatengenezwa katika msitu wa amazon acha hili pia zaidi ya asilimia 70% ya madawa ya kisasa yana tengenezwa kwa kutumia miti inayo patikana ndani ya msitu wa amazon. Ndio maana unaitwa mapafu ya dunia.

    9: katika msitu wa amazon kuna makabila zaidi ya 50 yana ishi hapo watu wameishi kwa maelfu ya miaka iliyo pita lakini watu hao wamekuja kuonekana miaka ya hivi karibuni.

    10: Green anaconda
    Hawa ndio nyoka wakubwa zaidi duniani kwa sasa ni aina ya nyoka wanao patikana msitu wa amazon pekee wana rangi ya kijani na madoa meusi.

    11: poison dork frog
    Ni aina ya vyura wanaopatikana msitu wa amazon pekee wana sumu kali katika migongo yao ..
    YAJUE HAYA KUHUSU MISITU YA AMAZON. 1: Msitu wa Amazon ndio msitu mkubwa zaidi duniani unaopatikana huko America kusini. 2: kama ulifikiri msitu huu unapatikana Brazil pekee jibu ni hapana msitu huu umegawanyika katika nchi tisa nchi hizo ni Blazil 60% peru 13% colombia 10% na mataifa mengine kama Venezuela, Ecuador, bolvia, guyana, suriname na France guiana. 3: Msitu huu una eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba 5,500,000 ( Milioni 5) yani kwa ukubwa huu nchi ya TANZANIA iingie mara 6 kwenye msitu huo. 4: kwa mujibu wa wanasayansi wa mimea msitu wa Amazon una umri wa miaka zaidi ya million 55 5: Msitu wa Amazon unakadiriwa kuwa na miti billion 400 na aina mbalimbali za miti zaidi ya 160,000 pia kuna miti ya matunda tofauti tofauti elfu tatu katika msitu huo. 6: Mchanga wa jangwa la sahara hupeperushwa na upepo hupita juu ya bahari Atlantic hadi katika msitu wa amazon ambako hurutubisha katika msitu huo. 7: katika msitu wa amazon kuna mto umekatisha mto huo unaitwa mto amazon huu ndio mtu mkubwa zaidi duniani na unaingiza maji baharini mara 5 ya mito mingine maajabu ya mto huu kuna muda haueleweki kuna kipindi unapeleka maji kinyume badala ya maji kwenda mashariki yana kuwa yana toka mashariki kwenda magharibi. 8: Asilimia 20% ya oxygen iliyopo dunia inatengenezwa katika msitu wa amazon👏 acha hili pia zaidi ya asilimia 70% ya madawa ya kisasa yana tengenezwa kwa kutumia miti inayo patikana ndani ya msitu wa amazon. Ndio maana unaitwa mapafu ya dunia. 9: katika msitu wa amazon kuna makabila zaidi ya 50 yana ishi hapo watu wameishi kwa maelfu ya miaka iliyo pita lakini watu hao wamekuja kuonekana miaka ya hivi karibuni. 10: Green anaconda Hawa ndio nyoka wakubwa zaidi duniani kwa sasa ni aina ya nyoka wanao patikana msitu wa amazon pekee wana rangi ya kijani na madoa meusi. 11: poison dork frog Ni aina ya vyura wanaopatikana msitu wa amazon pekee wana sumu kali katika migongo yao ..
    Love
    1
    ·280 Views