Habari ya jioni ni siku ya tano leo kati ya saba katika mwendelezo wa somo linaloitwa ndoto na namna ya kutafsiri ndoto yako.
Je umewai kuota ndoto mwanaume wa zamani kabisa wa ujanani au muliachana miaka 6 lakin qnajirudia rudia na saiz umeolewa ni mume wa mtu tayr au mke wa mtu .?
Nini maana yake ?
1.Kuna agano la ujanani uliingia na huyo mwanamke au mwanaume na ujatoka kwenye agano hilo kiroho.
Zaburi 25:7 "usiyakumbuke makosa ya ujanani"
Makosa hayo yamepelekea kufungwa na kukunajusi wewe katika ulimwengu wa roho.
Naombaje
1.Omba toba juu ya uovu wa ujanani .
2.Omba maombi maalumu ya kujitenga na maagano ya ujanani .
3.Muone kuhani aliye pakwa mafuta na Bwana kwa msada zaidi.
Ahsante sana kwa majina naitwa sylvester Mwakabende wa (Build new eden)
#Build new eden
#Restoremenposition

0 Comments
·0 Shares
·49 Views