• Azam FC wamepoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya AS Kigali kwa bao 1-0 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya msimu mpya

    #SportsElite
    馃毃馃毃Azam FC wamepoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya AS Kigali kwa bao 1-0 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya msimu mpya鉁嶏笍 #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 23 Views
  • Borussia Dortmund wako karibu kumsajili kiungo Carney Chukwuemeka kwa usajili wa kudumu kutoka Chelsea na Beki Aaron Anselmino kwa mkopo.

    Source Pletti Goal

    #SportsElite
    馃毃 Borussia Dortmund wako karibu kumsajili kiungo Carney Chukwuemeka kwa usajili wa kudumu kutoka Chelsea na Beki Aaron Anselmino kwa mkopo. 馃煛 馃嚛馃嚜 Source Pletti Goal #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 34 Views
  • Liverpool wanapendelea kumbakisha klabuni Harvey Elliott licha ya kutambua nia yake ya kuwa anataka kuwa mchezaji wa kuanza Kikosi cha kwanza

    RB Leipzig imefanya mazungumzo na Liverpool jana Asubuhi lakini hakuna kilichokubaliwa kufikia sasa.

    Liverpool inamthamini Harvey Elliott Ila inategemea na Uamuzi wake lakini nia yao ni kumbakisha klabuni

    Source Ben Jacobs


    #SportsElite
    馃彺鬆仹鬆仮鬆仴鬆伄鬆仹鬆伩馃毃 Liverpool wanapendelea kumbakisha klabuni Harvey Elliott licha ya kutambua nia yake ya kuwa anataka kuwa mchezaji wa kuanza Kikosi cha kwanza RB Leipzig imefanya mazungumzo na Liverpool jana Asubuhi lakini hakuna kilichokubaliwa kufikia sasa.馃敶 Liverpool inamthamini Harvey Elliott Ila inategemea na Uamuzi wake lakini nia yao ni kumbakisha klabuni Source Ben Jacobs #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 30 Views
  • 饾棔饾棩饾棙饾棓饾棡饾棞饾棥饾棜: Manchester United sasa wanatarajia kuwasilisha ada ya £69.1m kukamilisha Usajili wa kiunga wa kati wa Real Madrid Edward Camavinga.

    Source The Touchline

    #SportsElite
    馃毃饾棔饾棩饾棙饾棓饾棡饾棞饾棥饾棜: Manchester United sasa wanatarajia kuwasilisha ada ya £69.1m kukamilisha Usajili wa kiunga wa kati wa Real Madrid Edward Camavinga.馃挵 Source The Touchline #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 30 Views
  • OFFICIAL Josip Brekalo amejiunga na klabu ya Real Oviedo akitokea klabu ya Fiorentina

    #SportsElite
    馃毃馃毃 OFFICIAL Josip Brekalo amejiunga na klabu ya Real Oviedo akitokea klabu ya Fiorentina 馃檶 #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 23 Views
  • 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊: Manchester United inahitaji huduma ya kiungo wa Stuttgart Angelo Stiller kabla ya dirisha kufungwa .

    #SportsElite
    馃毃馃挘 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊: Manchester United inahitaji huduma ya kiungo wa Stuttgart Angelo Stiller kabla ya dirisha kufungwa . #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 22 Views
  • 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊: Wolves iko karibu kukamilisha uhamisho wa Ladislav Krej膷í (26) kutoka Girona.

    Ada ya uhamisho €30m,

    reports @MatteMoretto.

    #SportsElite
    馃毃馃挘 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊: Wolves iko karibu kukamilisha uhamisho wa Ladislav Krej膷í (26) kutoka Girona. Ada ya uhamisho €30m, reports @MatteMoretto. 馃惡 #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 23 Views
  • 饾悗饾悈饾悈饾悎饾悅饾悎饾悁饾悑: Leeds imethibitisha kukamilisha usajili wa Noah Okafor kutoka Milan, kwa kandarasi ya miaka 4

    Ada ya uhamisho £18m.鈿笍

    #SportsElite

    馃毃 饾悗饾悈饾悈饾悎饾悅饾悎饾悁饾悑: Leeds imethibitisha kukamilisha usajili wa Noah Okafor kutoka Milan, kwa kandarasi ya miaka 4 Ada ya uhamisho £18m.鈿笍 #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 27 Views
  • Kumechangamkaa Lucas libeiro kawakataa mamelod kawakataa watoto wa caf

    Lucas Ribeiro Costa avunja mkataba wake na Mamelodi Sundowns!

    Mchezaji huyo wa Kibrazili ametuma barua rasmi ya kusitisha mkataba wake akisema:

    "Ninaamini nina sababu ya msingi ya kusitisha mkataba wangu na Mamelodi Sundowns FC, jambo ambalo nitalieleza mbele ya Mahakama ya Soka ya FIFA."

    Ribeiro anawakilishwa na kampuni ya sheria ya Dupont-Hissel, ambao kwa sasa wanashughulikia kesi kubwa ya ‘Diarra Ruling’.

    #SportsElite
    馃毃馃毃Kumechangamkaa Lucas libeiro kawakataa mamelod kawakataa watoto wa caf 馃挘 Lucas Ribeiro Costa avunja mkataba wake na Mamelodi Sundowns! Mchezaji huyo wa Kibrazili ametuma barua rasmi ya kusitisha mkataba wake akisema: "Ninaamini nina sababu ya msingi ya kusitisha mkataba wangu na Mamelodi Sundowns FC, jambo ambalo nitalieleza mbele ya Mahakama ya Soka ya FIFA." Ribeiro anawakilishwa na kampuni ya sheria ya Dupont-Hissel, ambao kwa sasa wanashughulikia kesi kubwa ya ‘Diarra Ruling’. #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 51 Views
  • MICHAEL OWEN KUHUSU METHIUS CUNHA

    "Swali langu pekee juu ya Cunha ni tabia yake. Alipewa kadi nyekundu mara nyingi, anarusha sana mikono, na tayari una mtu kama huyo ambaye ni Bruno Fernandes. Labda kuwa Man United, kuwa katika klabu kubwa kama hii, inaweza kumuongezea Cunha kuwa na baadhi ya tabia mbaya zingine."

    #SportsElite
    馃毃馃毃MICHAEL OWEN KUHUSU METHIUS CUNHA "Swali langu pekee juu ya Cunha ni tabia yake. Alipewa kadi nyekundu mara nyingi, anarusha sana mikono, na tayari una mtu kama huyo ambaye ni Bruno Fernandes. Labda kuwa Man United, kuwa katika klabu kubwa kama hii, inaweza kumuongezea Cunha kuwa na baadhi ya tabia mbaya zingine." #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 28 Views
  • 饾棔饾棩饾棙饾棓饾棡饾棞饾棥饾棜: Juventus imefanya mazungumzo na Chelsea kumsajili Carney Chukwuemeka.

    Blues wanahitaji uhamisho wa jumla na sio mkopo.

    (Source: x/JacobsBen)

    #SportsElite
    馃毃 饾棔饾棩饾棙饾棓饾棡饾棞饾棥饾棜: Juventus imefanya mazungumzo na Chelsea kumsajili Carney Chukwuemeka. Blues wanahitaji uhamisho wa jumla na sio mkopo. (Source: x/JacobsBen) #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 38 Views
  • Marseille inavutiwa na usajili wa Kostas Tsimikas, ambae anatarajiwa kuondoka Liverpool dilisha hili.

    (Source: Foot Mercato)

    #SportsElite
    馃毃 Marseille inavutiwa na usajili wa Kostas Tsimikas, ambae anatarajiwa kuondoka Liverpool dilisha hili. 馃挋馃 (Source: Foot Mercato) #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 32 Views
  • Gori Keeper Mpya wa Azam FC Issa Fofana na Beki wa Kati Zitoun Tayeb tayari wamejiunga na Kikosi cha Azam....

    Wachezaji hao wameanza mazoezi ya peke yao kabra ya kujumuika na wenzao huko Rwanda....

    Azam FC wenyewe wanakwambia msimu ujao 2025/2026 watakayekutananaye itakuwa ni mali yao kwa maana kikosi walichonacho si cha kutwaa ubingwa wa LIGI tu bali wanautaka hata ubingwa wa CAF...

    #SportsElite
    馃毃馃毃Gori Keeper Mpya wa Azam FC Issa Fofana na Beki wa Kati Zitoun Tayeb tayari wamejiunga na Kikosi cha Azam.... Wachezaji hao wameanza mazoezi ya peke yao kabra ya kujumuika na wenzao huko Rwanda.... Azam FC wenyewe wanakwambia msimu ujao 2025/2026 watakayekutananaye itakuwa ni mali yao馃ぃ kwa maana kikosi walichonacho si cha kutwaa ubingwa wa LIGI tu bali wanautaka hata ubingwa wa CAF... #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 33 Views
  • Siku Jamie Vardy alipompigia simu N'Golo Kanté baada ya kushinda Champions League

    馃帣"Siku moja baada ya fainali ya Champions League, nilijaribu kumpigia Simu ili nimpongeze, lakini hakupokea simu yangu"

    Baada ya saa chache, alinipigia akiniomba msamaha kwa kutopokea, na kusema alikuwa nje akikimbia na hakuwa nyumbani.

    Hii inaonyesha tu kujitolea kwake."

    Humble N'golo


    #SportsElite
    馃槃馃摫馃彺鬆仹鬆仮鬆仴鬆伄鬆仹鬆伩Siku Jamie Vardy alipompigia simu N'Golo Kanté baada ya kushinda Champions League 馃帣"Siku moja baada ya fainali ya Champions League, nilijaribu kumpigia Simu ili nimpongeze, lakini hakupokea simu yangu" Baada ya saa chache, alinipigia akiniomba msamaha kwa kutopokea, na kusema alikuwa nje akikimbia na hakuwa nyumbani. Hii inaonyesha tu kujitolea kwake." Humble N'golo #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 37 Views
  • Mshambuliaji Rasmus Højlund ameziweka wazi klabu zote zinazomtaka Kuwa yuko tayari Kuondoka kwa mkopo wenye kipengele cha kununuliwa mazima.

    Rasmus Højlund alikuwa alitaka kubakia Man United lakini ikibidi yuko tayari kuondoka na hakikisho la Kununuliwa moja kwa moja kwa klabu zinazomtaka.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    馃毃 Mshambuliaji Rasmus Højlund ameziweka wazi klabu zote zinazomtaka Kuwa yuko tayari Kuondoka kwa mkopo wenye kipengele cha kununuliwa mazima. Rasmus Højlund alikuwa alitaka kubakia Man United lakini ikibidi yuko tayari kuondoka na hakikisho la Kununuliwa moja kwa moja kwa klabu zinazomtaka. Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 24 Views
  • 饾悋饾悇饾悜饾悇 饾悥饾悇 饾悊饾悗 Julio Enciso to Strasbourg/Chelsea

    Kikundi cha BlueCo Kimefikia makubaliano kamili na Brighton kumsajili winga Julio Enciso kwa jumla ya ada ya £20m na mkataba wa miaka Saba hadi 2032.

    Julio Enciso atajiunga na Strasbourg msimu 2025-26 kisha atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2032.

    Enciso Atafanyiwa vipimo vya Afya Kesho #herewego

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    馃毃 饾悋饾悇饾悜饾悇 饾悥饾悇 饾悊饾悗 Julio Enciso to Strasbourg/Chelsea 馃毃Kikundi cha BlueCo Kimefikia makubaliano kamili na Brighton kumsajili winga Julio Enciso kwa jumla ya ada ya £20m na mkataba wa miaka Saba hadi 2032. Julio Enciso atajiunga na Strasbourg msimu 2025-26 kisha atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2032. Enciso Atafanyiwa vipimo vya Afya Kesho #herewego Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 38 Views
  • Fahamu Arsenal na Crystal Palace wanakamilisha Kila kitu leo kuhusu Nyaraka zote za Eberechi Eze na Kisha kesho Ijumaa Atafanyiwa Vipimo vya afya kwa ada ya £68m na mkataba wa miaka mitano hadi 2030.

    Source Sacha Tavolieri

    #SportsElite
    馃毃Fahamu Arsenal na Crystal Palace wanakamilisha Kila kitu leo kuhusu Nyaraka zote za Eberechi Eze na Kisha kesho Ijumaa Atafanyiwa Vipimo vya afya kwa ada ya £68m na mkataba wa miaka mitano hadi 2030. Source Sacha Tavolieri #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 33 Views
  • OFFICIAL : Baada ya Kufanyiwa Upasuaji wa Goti sasa Romelu Lukaku atakuwa njee kwa miezi minne.

    Source Sky Sports

    #SportsElite
    馃毃 OFFICIAL : Baada ya Kufanyiwa Upasuaji wa Goti sasa Romelu Lukaku atakuwa njee kwa miezi minne. Source Sky Sports #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 34 Views
  • Tottenham sasa wako tayari kuwasilisha ofa mpya ya £80m kwa Manchester City ili kumsajili Savinho.

    Source Cahe Mota.

    #SportsElite
    馃毃 Tottenham sasa wako tayari kuwasilisha ofa mpya ya £80m kwa Manchester City ili kumsajili Savinho.馃挵 Source Cahe Mota. #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 23 Views
  • Winga wa Brighton Julio Enciso sasa yuko njiani kuelekea Uingereza kukamilisha usajili wa kujiunga na BlueCo kisha msimu ujao atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2031 na nyongeza hadi June 2032

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    馃毃 Winga wa Brighton Julio Enciso sasa yuko njiani kuelekea Uingereza kukamilisha usajili wa kujiunga na BlueCo kisha msimu ujao atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2031 na nyongeza hadi June 2032 Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 38 Views
More Results