• EXCL: Aston Villa inatupia jicho kwa Mjapan Takefusa Kubo (24) kutoka Real Sociedad!

    #TheAthleticFC
    🚨 EXCL: Aston Villa inatupia jicho kwa Mjapan Takefusa Kubo (24) kutoka Real Sociedad! #TheAthleticFC
    0 Kommentare ·0 Anteile ·55 Ansichten
  • EXCL: Manchester imeanza kuulizia huduma ya kinda wa Borussia Dortmund Jobe Bellingham.

    #TheAthleticFC
    🚨 EXCL: Manchester imeanza kuulizia huduma ya kinda wa Borussia Dortmund Jobe Bellingham. #TheAthleticFC
    0 Kommentare ·0 Anteile ·46 Ansichten
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Tottenham imefikia makubaliano ya £55m juu ya dili la kumsajiri Mohammed Kudus kutoka West Ham

    Kudus lilikuwa ni chaguo la Tottenham kwa msimu ujao na amesaini miaka 6 ndani ya Spurs

    Vipimo vya afya atafanyiwa Alhamisi hii London
    @theathleticfc reports.

    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Tottenham imefikia makubaliano ya £55m juu ya dili la kumsajiri Mohammed Kudus kutoka West Ham 🤍💣 Kudus lilikuwa ni chaguo la Tottenham kwa msimu ujao na amesaini miaka 6 ndani ya Spurs Vipimo vya afya atafanyiwa Alhamisi hii London @theathleticfc reports. #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·438 Ansichten
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Real Madrid haita usajili mbadala wa Rodrygo kama ataondoka klabuni hapo baada ya nafasi yake kuwa finyu..
    @MarioCortegana @TheAthleticFC

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Real Madrid haita usajili mbadala wa Rodrygo kama ataondoka klabuni hapo baada ya nafasi yake kuwa finyu.. @MarioCortegana @TheAthleticFC #SportsElite
    Love
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·282 Ansichten
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Real Madrid inatarajia kukamilisha uhamisho wa Álvaro Carreras’ mwezi huu...

    @TheAthleticFC

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Real Madrid inatarajia kukamilisha uhamisho wa Álvaro Carreras’ mwezi huu... @TheAthleticFC #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·242 Ansichten