• BASHUNGWA AWAJULIA HALI MAJERUHI AJALI BIHARAMULO, ABIRIA 11 WAPOTEZA MAISHA NA MAJERUHI 16.

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria lenye namba za usajili T857 DHW, katika eneo la Kabukome katika Kata ya Nyarubango wilayani Biharamulo mkoani Kagera na kuwajulia hali majeruhi wanaoendelea kupewa matibabu katika hospitali teule ya biharamulo, tarehe 21 Disemba 2024.

    Basi hilo liliokuwa linafanya safari kutoka Kigoma kwenda Bukoba wakati liliposimama kushusha abiria ambae alipitilizwa kwenye kituo, lilishindwa kuondoka na kuanza kurudi nyuma kisha kuacha njia na kupinduka.

    Ajali hiyo imesababisha vifo vya abiria 11 na majeruhi 16 ambapo Majeruhi wanaendelea na matibabu katika hospitali teule ya Biharamulo mkoani Kagera.

    Akizungumza baada ya kutembelea majeruhi, Waziri Bashungwa ametoa pole kwa familia, ndugu na jamaa wote walioguswa na ajali hiyo na kutoa wito kwa Watanzania kuendelea kuwaombea majeruhi.

    Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Wizara imeanza kufanyia kazi Maelekezo ya Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kufanya marekebisho ya kuwa na mfumo wa leseni za udereva ili kuwapunguzia alama madereva wanafanya makosa yenye kuhatarisha usalama barabarani ambazo zitapelekea kuwafungia leseni.

    Kwa Upande wake, Mganga mkuu wa Hospitali teule ya Biharamulo, Gresmus Sebuyoya ameeleza kwa majeruhi 26 wameruhusiwa na wengine 16 wanaendelea na matibabu na ungalizi wa karibu.

    BASHUNGWA AWAJULIA HALI MAJERUHI AJALI BIHARAMULO, ABIRIA 11 WAPOTEZA MAISHA NA MAJERUHI 16. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria lenye namba za usajili T857 DHW, katika eneo la Kabukome katika Kata ya Nyarubango wilayani Biharamulo mkoani Kagera na kuwajulia hali majeruhi wanaoendelea kupewa matibabu katika hospitali teule ya biharamulo, tarehe 21 Disemba 2024. Basi hilo liliokuwa linafanya safari kutoka Kigoma kwenda Bukoba wakati liliposimama kushusha abiria ambae alipitilizwa kwenye kituo, lilishindwa kuondoka na kuanza kurudi nyuma kisha kuacha njia na kupinduka. Ajali hiyo imesababisha vifo vya abiria 11 na majeruhi 16 ambapo Majeruhi wanaendelea na matibabu katika hospitali teule ya Biharamulo mkoani Kagera. Akizungumza baada ya kutembelea majeruhi, Waziri Bashungwa ametoa pole kwa familia, ndugu na jamaa wote walioguswa na ajali hiyo na kutoa wito kwa Watanzania kuendelea kuwaombea majeruhi. Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Wizara imeanza kufanyia kazi Maelekezo ya Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kufanya marekebisho ya kuwa na mfumo wa leseni za udereva ili kuwapunguzia alama madereva wanafanya makosa yenye kuhatarisha usalama barabarani ambazo zitapelekea kuwafungia leseni. Kwa Upande wake, Mganga mkuu wa Hospitali teule ya Biharamulo, Gresmus Sebuyoya ameeleza kwa majeruhi 26 wameruhusiwa na wengine 16 wanaendelea na matibabu na ungalizi wa karibu.
    Love
    Sad
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·329 Views
  • Ushauri Mwingiiii, Msaada kidogo!!
    .
    MAELEKEZO FLANI utajua mwenyewe
    .
    BANGO Gustavo
    Ushauri Mwingiiii, Msaada kidogo!! . MAELEKEZO FLANI utajua mwenyewe 😁 . BANGO 🦅 Gustavo
    Like
    Love
    Haha
    Yay
    5
    · 9 Comments ·0 Shares ·296 Views
  • Bango linajieleza.

    Mashine mpya ndani ya Msimbazi leo saa 1:00 usiku. Pakua na lipia Simba App sasa ili uwe wa kwanza. #WenyeNchi #NguvuMoja
    Bango linajieleza. Mashine mpya ndani ya Msimbazi leo saa 1:00 usiku. Pakua na lipia Simba App sasa ili uwe wa kwanza. #WenyeNchi #NguvuMoja
    Like
    3
    · 1 Comments ·0 Shares ·69 Views
  • Panua Miguu niingize Mzigo!! Ila Makondakta bhana!
    .
    Nakubali , LEVEL SEAT Maelekezo ni Rula!
    .
    BANGO BATI BOVU
    .
    Abou Hardy
    Panua Miguu niingize Mzigo!! Ila Makondakta bhana! 😁 . Nakubali , LEVEL SEAT ⚠️ Maelekezo ni Rula! . BANGO 🦅 BATI BOVU 🥷 . [Abouhardy]
    Like
    Love
    Haha
    9
    · 4 Comments ·0 Shares ·104 Views
  • Boda boda wake skuizi Hapigi Hodi, Anaingia Moja kwa Moja!!

    Changamka Babaa!! MAELEKEZO NI RULA
    .
    BANGO
    .
    Boda boda wake skuizi Hapigi Hodi, Anaingia Moja kwa Moja!! 😎😎 Changamka Babaa!! MAELEKEZO NI RULA . BANGO 🦅 .
    Like
    Love
    9
    · 2 Comments ·0 Shares ·99 Views
  • MITAA IMETULEA KIZAZI JEURIII
    .
    MAELEKEZO NI RULA !! Uzito huu apa
    .
    BANGO
    MITAA IMETULEA 🥷 KIZAZI JEURIII 🗝️ . MAELEKEZO NI RULA !! Uzito huu apa 👊 . BANGO 🦅
    Like
    Love
    9
    · 1 Comments ·0 Shares ·87 Views
  • This Life , Just Get Money .

    THE VIP CARTEL . BANGO KUBWA
    This Life , Just Get Money 💰. THE VIP CARTEL 🔥. BANGO KUBWA
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·54 Views
  • Saa Nzuri Tunazo Tatizo ni Muda NAIROBI
    .
    BANGO + NGECHU #Nairobi #Kenya #Prezzo254
    Saa Nzuri Tunazo Tatizo ni Muda 😁😁 NAIROBI 🇰🇪 . BANGO + NGECHU 📺🎚️ #Nairobi #Kenya #Prezzo254
    Like
    Love
    9
    · 1 Comments ·0 Shares ·335 Views
  • UKIONA WAMEVUNJA BANGO! UJUE UJUMBE UMEFIKA ⚡️
    EMPIRE GANG ⛑ Tupo hapa!
    UKIONA WAMEVUNJA BANGO! UJUE UJUMBE UMEFIKA ⚡️🎱 EMPIRE GANG ⛑ Tupo hapa!
    Like
    Love
    2
    · 1 Comments ·0 Shares ·56 Views
  • Ukiona hawaogopi ujue wamezoea!!
    BATI ……..
    _____
    #BangoKubwa
    _____
    Ukiona hawaogopi ujue wamezoea!! BATI …….. 🔊🥷 _____ #BangoKubwa _____
    Like
    Love
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·60 Views
  • Ukiona hawaogopi ujue wamezoea!!
    BATI ……..
    _____
    #BangoKubwa
    _____# van tawa
    Ukiona hawaogopi ujue wamezoea!! BATI …….. 🔊🥷 _____ #BangoKubwa _____# van tawa
    0 Comments ·0 Shares ·58 Views
  • Kama hawakai na sisi hawawezi kutuelewa!
    BANGO KUBWA ⚡️
    .
    TORATI ni Kubwa haipingwi ✊🏾
    Kama hawakai na sisi hawawezi kutuelewa! BANGO KUBWA ⚡️ . TORATI ni Kubwa haipingwi ✊🏾
    Love
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·48 Views
  • Wahuni 7 mstari wa 10 ….. UKIKATAA TUNAKULAZIMISHA
    .
    BANGO Uzito huu apa
    Wahuni 7 mstari wa 10 ….. UKIKATAA TUNAKULAZIMISHA . BANGO 🔑🎱 Uzito huu apa 👊
    Love
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·49 Views
  • Waambie waache kukunja Ngumi, Pambano limeisha
    .
    BANGO ⛳️
    Waambie waache kukunja Ngumi, Pambano limeisha 🥷 . BANGO ⛳️
    Like
    Love
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·50 Views
  • Ukiona amepunguza Kulalamika Ujue kuna wahuni wanamskiliza
    .
    Standard kabisa! NIWEKEE UZITO BANGO
    Ukiona amepunguza Kulalamika Ujue kuna wahuni wanamskiliza 🎚️ . Standard kabisa! NIWEKEE UZITO 👊 BANGO
    0 Comments ·0 Shares ·48 Views
  • Punguza kutoa Ushauri kidogo! Watu wana mipango yao!!
    .
    SAUTI YA BATI BOVU Niwekee uzito
    .
    BANGO ⛳️
    Punguza kutoa Ushauri kidogo! Watu wana mipango yao!! . SAUTI YA BATI BOVU 🔊🔊 Niwekee uzito 👊 . BANGO ⛳️🏌️‍♂️
    Like
    Love
    Haha
    4
    · 0 Comments ·0 Shares ·47 Views
  • Sometimes Bila conection unaweza ukakosa Chakula mpaka msibani
    .
    SAUTI YA BATI BOVU Uzito huu apa
    .
    BANGO
    Sometimes Bila conection unaweza ukakosa Chakula mpaka msibani . SAUTI YA BATI BOVU 🔊 Uzito huu apa 👊 . BANGO🪝
    Like
    Haha
    Yay
    4
    · 2 Comments ·0 Shares ·48 Views
  • Kama hautaki kutoa Nauli mtongoze Jirani mtarudi wote nyumbani
    .
    BANGO TAWA⚡️⚡️
    .
    @van tawa on this one!
    Kama hautaki kutoa Nauli mtongoze Jirani mtarudi wote nyumbani . BANGO🪝 TAWA⚡️⚡️ . @van tawa on this one!
    Like
    Love
    Haha
    5
    · 2 Comments ·0 Shares ·49 Views
  • Pesa hauna Na Bado anakuita Baby!!
    Haya bhana!! Maelekezo ni Rula _______
    .
    Tembeza uzito kwenye comment Tuondoke!! BATI BOVU
    .
    BANGO
    Pesa hauna Na Bado anakuita Baby!! 😊 Haya bhana!! Maelekezo ni Rula _______ . Tembeza uzito 👊 kwenye comment Tuondoke!! BATI BOVU 🏹 . BANGO 🦅
    Love
    Like
    6
    · 3 Comments ·0 Shares ·57 Views
  • Masela hawa cheat! Ila Tunapendaga tunachokiona
    Hakuna Namna!
    .
    SAUTI YA BATI BOVU Uzito huu apa
    .
    BANGO
    @van tawa ⛔️
    Masela hawa cheat! Ila Tunapendaga tunachokiona 😎 Hakuna Namna! 🥱 . SAUTI YA BATI BOVU 🔊 Uzito huu apa 👊 . BANGO 🦅 @van tawa ⛔️
    Like
    Love
    6
    · 2 Comments ·0 Shares ·52 Views
More Results