• Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa chanzo cha Bild cha nchini Ujerumani, Chelsea imekuwa ikihusishwa kuwania saini ya beki raia wa Ecuador, taifa wanalotokea Moises Caicedo na Kendry Paez, Piero Hincapie.

    Nyota huyo anayecheza nafasi ya beki alimwaga machozi wakati klabu yake ya Bayer Leverkusen ilipofungwa 2-1 jumamosi ya wiki iliyoisha na kitendo hicho kimehusishwa kama ishara ya kuondoka klabuni hapo na kujiunga na klabu mojawapo huku Chelsea ikitajwa kwenye orodha.

    Dirisha la usajili limebakiza siku 7 tu kabla ya kufungwa.
    #d1905_usajili

    #SportsElite
    🚨🚨 Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa chanzo cha Bild cha nchini Ujerumani, Chelsea imekuwa ikihusishwa kuwania saini ya beki raia wa Ecuador, taifa wanalotokea Moises Caicedo na Kendry Paez, Piero Hincapie. Nyota huyo anayecheza nafasi ya beki alimwaga machozi wakati klabu yake ya Bayer Leverkusen ilipofungwa 2-1 jumamosi ya wiki iliyoisha na kitendo hicho kimehusishwa kama ishara ya kuondoka klabuni hapo na kujiunga na klabu mojawapo huku Chelsea ikitajwa kwenye orodha. Dirisha la usajili limebakiza siku 7 tu kabla ya kufungwa. #d1905_usajili #SportsElite
    0 Commenti ·0 condivisioni ·11 Views