ترقية الحساب

  • Jibu la Wakazi kwa Vanessa Mdee.

    "IT IS NOT FAIR: Ushirikina uko kila mahali kuzidi muziki !!

    Sidhani kama ni sahihi kusema Music peke yake ndio una mambo ya KISHIRIKINA hapo Tanzania! Au kwamba kila anayeufanya au aliyefanikiwa amefanya hivyo sababu ya Maagano ya kishetani.

    Imani za kimila kweli zipo Tanzania, ila hiyo ni sehemu ya utamaduni wetu. Sidhani kama mambo ya uchawi na kulogana ya kwenye muziki, yanafikia hata robo ya yanayotokea kwenye MAPENZI, SIASA, KAZINI, MICHEZO!!

    Watu wanataka kufanikiwa, na wakifikia hiyo desperation ya juu, basi wanaweza kushawishika kufanya lolote ili jambo lao liende. Ila sio wote pia…

    Na kingine, sidhani kama kutoa Sadaka au kwenda kwa Sheikh atie Baraka kabla ya kutoa kazi, huo ni ushirikina. Mimi sio Muislamu, ila nina marafiki Wasanii ambao wanafanya hivyo… na naona ni sawa (kuomba kheri kwenye kazi yako).

    Ila uchawi upo, maagano ya kishetani yapo, na ni kila mahali kwa wanaoamini na walio desperate enough, au wenye husda juu ya mafanikio ya wengine.

    Pia Suala la baadhi nyimbo za dini (“Gospel”) kutosema Yesu, sidhani kama ni sababu ya ushetani. Gospel iligeuka kuwa muziki wa kibiashara na wadau wakubwa walifanya conscious decision ya kuhimiza kusema Mungu ili wasiwatenge baadhi ya walaji, maana tukiwa wakweli, sio Wakristo tu ambao wamekuwa wanafurahia nyimbo za dini. So hakuna conspiracy hapo, maana pia kama hata mahubiri ya kanisani yalivyokuwa sometimes yanahusu maisha, ndoa, mafanikio, nk, hata muziki nao sometimes unatoa mafunzo tu ya kimaisha.

    Pengine tukianza ku-appreciate muziki kwa ubora na utofauti wake, badala ya kuwawekea pressure artist kuwa na stereotypical hits, basi wataacha kuwa desperate na kuhamia kwenye uchawi. Ila bottom line sidhani kama ni sahihi kuwanyooshea kidole wao tu… Mambo ya Jadi ni masuala ya nchi.

    SWALI: Zamani wahayudi walikuwa wanatoa sadaka kwa kichinja kondoo… ili Mungu awabariki. Je mtu akifanya tambiko la kimila@kwa kuchinja mbuzi kwanini aonekane kafanya kitu cha ajabu?! Je tunatofautishaje good magic & dark magic?! ana pia kuna secular artists wameimba nyimbo ambazo ni sawa na hawa Gospel artists wanazofanya, do we accept their songs as gospel? ( Phina - “Sisi Ni Wale”, MwanaFA - “Mfalme”)" - Wakazi, Msanii wa muziki wa Hip-hop Tanzania (wa zamani).

    Jibu la Wakazi kwa Vanessa Mdee. "IT IS NOT FAIR: Ushirikina uko kila mahali kuzidi muziki !! Sidhani kama ni sahihi kusema Music peke yake ndio una mambo ya KISHIRIKINA hapo Tanzania! Au kwamba kila anayeufanya au aliyefanikiwa amefanya hivyo sababu ya Maagano ya kishetani. Imani za kimila kweli zipo Tanzania, ila hiyo ni sehemu ya utamaduni wetu. Sidhani kama mambo ya uchawi na kulogana ya kwenye muziki, yanafikia hata robo ya yanayotokea kwenye MAPENZI, SIASA, KAZINI, MICHEZO!! Watu wanataka kufanikiwa, na wakifikia hiyo desperation ya juu, basi wanaweza kushawishika kufanya lolote ili jambo lao liende. Ila sio wote pia… Na kingine, sidhani kama kutoa Sadaka au kwenda kwa Sheikh atie Baraka kabla ya kutoa kazi, huo ni ushirikina. Mimi sio Muislamu, ila nina marafiki Wasanii ambao wanafanya hivyo… na naona ni sawa (kuomba kheri kwenye kazi yako). Ila uchawi upo, maagano ya kishetani yapo, na ni kila mahali kwa wanaoamini na walio desperate enough, au wenye husda juu ya mafanikio ya wengine. Pia Suala la baadhi nyimbo za dini (“Gospel”) kutosema Yesu, sidhani kama ni sababu ya ushetani. Gospel iligeuka kuwa muziki wa kibiashara na wadau wakubwa walifanya conscious decision ya kuhimiza kusema Mungu ili wasiwatenge baadhi ya walaji, maana tukiwa wakweli, sio Wakristo tu ambao wamekuwa wanafurahia nyimbo za dini. So hakuna conspiracy hapo, maana pia kama hata mahubiri ya kanisani yalivyokuwa sometimes yanahusu maisha, ndoa, mafanikio, nk, hata muziki nao sometimes unatoa mafunzo tu ya kimaisha. Pengine tukianza ku-appreciate muziki kwa ubora na utofauti wake, badala ya kuwawekea pressure artist kuwa na stereotypical hits, basi wataacha kuwa desperate na kuhamia kwenye uchawi. Ila bottom line sidhani kama ni sahihi kuwanyooshea kidole wao tu… Mambo ya Jadi ni masuala ya nchi. SWALI: Zamani wahayudi walikuwa wanatoa sadaka kwa kichinja kondoo… ili Mungu awabariki. Je mtu akifanya tambiko la kimila@kwa kuchinja mbuzi kwanini aonekane kafanya kitu cha ajabu?! Je tunatofautishaje good magic & dark magic?! ana pia kuna secular artists wameimba nyimbo ambazo ni sawa na hawa Gospel artists wanazofanya, do we accept their songs as gospel? ( Phina - “Sisi Ni Wale”, MwanaFA - “Mfalme”)" - Wakazi, Msanii wa muziki wa Hip-hop Tanzania (wa zamani).
    Like
    1
    ·227 مشاهدة
  • Best magician movies
    #socialpop #anyone #followers #friends #movies #everyone #funny #wizard #magic
    Best magician movies #socialpop #anyone #followers #friends #movies #everyone #funny #wizard #magic
    Like
    4
    1 التعليقات ·389 مشاهدة ·7 مشاهدة
  • Magician
    Magician
    Like
    Love
    2
    1 التعليقات ·94 مشاهدة ·7 مشاهدة
  • WEWE NI MAISHA YANGU
    Uzuri wa Kutokamilika:
    Maisha Yanapotokea Katika Nyakati za fujo.
    Maisha yana njia ya kuchekesha ya kutukumbusha kuwa ukamilifu sio mahali ambapo magic ipo.Ni katika machafuko, vicheko, na nyakati ndogo ambazo hazieleweki.
    Kama siku hiyo jikoni, wakati nia ilikuwa kupika upishi mtamu, lakini matokeo yalikuwa kitu kisichotarajiwa kabisa - fujo nzuri.
    Viungo vilimwagika, michuzi ikatapakaa kwenye kaunta, na mvuke ulijaa hewani huku kipima saa kwenye jiko kikilia bila huruma. Na katikati ya yote? Huko alikuwa akicheka, akiweka kijiko cha mbao kwa mkono mmoja na simu yake kwa mkono mwingine, akijaribu kujua ikiwa atachochea au kupiga picha. chakula?
    Wacha tuseme haikuwa kile mapishi yalikusudia. Lakini kicheko? Loo, huo ulikuwa ukamilifu. Kicheko hicho kilikuwa ukumbusho kwamba nyakati ambazo kila kitu huanguka mara nyingi ndio ambapo kila kitu huhisi kuwa hai zaidi.

    WEWE NI CHAPISHO LA MAISHA YANGU
    Maisha si kuhusu kaunta zisizo na doa au sahani zilizobanwa kikamilifu. Ni kuhusu hadithi za madoa, furaha katika makosa, na upendo unaofurika unapojaribu kuunda kitu maalum.
    Kila kumwagika kwenye sakafu hiyo ya jikoni kuna kumbukumbu. Kila kucheka ni wimbo. Na kila wakati usio kamili ni uthibitisho kwamba unaishi, kwamba unajaribu, na kwamba unafanya kitu kuwa chako cha kipekee.
    Kwa hivyo hapa kuna jikoni zenye fujo, chakula cha jioni kilichopikwa sana, na kicheko ambacho husikika muda mrefu baada ya sahani kumalizika. Hapa kuna uchawi wa kutokamilika, uzuri wa kujaribu, na upendo unaochanua katika machafuko.
    Kwa sababu maisha, kama vile kupika, yanakusudiwa kuwa tukio la kupendeza lisilo kamilifu.
    Umewahi kuwa na wakati ambapo mambo hayakwenda kama ilivyopangwa, lakini ikawa kumbukumbu ya kupendeza?
    Tushiriki hadithi hii pamoja
    Wacha tusherehekee uzuri wa nyakati zenye fujo na nzuri zaidi maishani pamoja.


    WEWE NI MAISHA YANGU Uzuri wa Kutokamilika: Maisha Yanapotokea Katika Nyakati za fujo. Maisha yana njia ya kuchekesha ya kutukumbusha kuwa ukamilifu sio mahali ambapo magic ipo.Ni katika machafuko, vicheko, na nyakati ndogo ambazo hazieleweki. Kama siku hiyo jikoni, wakati nia ilikuwa kupika upishi mtamu, lakini matokeo yalikuwa kitu kisichotarajiwa kabisa - fujo nzuri. Viungo vilimwagika, michuzi ikatapakaa kwenye kaunta, na mvuke ulijaa hewani huku kipima saa kwenye jiko kikilia bila huruma. Na katikati ya yote? Huko alikuwa akicheka, akiweka kijiko cha mbao kwa mkono mmoja na simu yake kwa mkono mwingine, akijaribu kujua ikiwa atachochea au kupiga picha. chakula? Wacha tuseme haikuwa kile mapishi yalikusudia. Lakini kicheko? Loo, huo ulikuwa ukamilifu. Kicheko hicho kilikuwa ukumbusho kwamba nyakati ambazo kila kitu huanguka mara nyingi ndio ambapo kila kitu huhisi kuwa hai zaidi. WEWE NI CHAPISHO LA MAISHA YANGU Maisha si kuhusu kaunta zisizo na doa au sahani zilizobanwa kikamilifu. Ni kuhusu hadithi za madoa, furaha katika makosa, na upendo unaofurika unapojaribu kuunda kitu maalum. Kila kumwagika kwenye sakafu hiyo ya jikoni kuna kumbukumbu. Kila kucheka ni wimbo. Na kila wakati usio kamili ni uthibitisho kwamba unaishi, kwamba unajaribu, na kwamba unafanya kitu kuwa chako cha kipekee. Kwa hivyo hapa kuna jikoni zenye fujo, chakula cha jioni kilichopikwa sana, na kicheko ambacho husikika muda mrefu baada ya sahani kumalizika. Hapa kuna uchawi wa kutokamilika, uzuri wa kujaribu, na upendo unaochanua katika machafuko. Kwa sababu maisha, kama vile kupika, yanakusudiwa kuwa tukio la kupendeza lisilo kamilifu. Umewahi kuwa na wakati ambapo mambo hayakwenda kama ilivyopangwa, lakini ikawa kumbukumbu ya kupendeza? Tushiriki hadithi hii pamoja Wacha tusherehekee uzuri wa nyakati zenye fujo na nzuri zaidi maishani pamoja.
    Love
    2
    ·326 مشاهدة
  • https://tubemagic.com/ds#aff=Assenga
    https://tubemagic.com/ds#aff=Assenga
    TUBEMAGIC.COM
    TubeMagic - AI Tools For Growing on YouTube
    Tube Magic is a suite of online tools designed to help you succeed with YouTube. Including AI titles, descriptions, tags, and scripts designed to help you get more views and subscribers.
    Like
    5
    ·298 مشاهدة