نتائج البحث
عرض كل النتائج
Socialpop Socialpop Socialpop
الرئيسية
المجموعات
الصفحات
سوق المنتجات
شاهد المزيد
المجموعات الصفحات سوق المنتجات المناسبات المدونات التمويل مفاوضاتي وظائف Courses المنتديات الافلام
انضم إلينا
تسجيل الدخول تسجيل
Theme Switcher
الوضع المظلم
البحث
المنشورات
المدونات
المستخدمون
الصفحات
المجموعات
المناسبات
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-30 05:16:16 ·
    Na haya ni majukumu yakuteleza na hii rap...
    Ulie ndotoni ucjihukum you have to wake up...
    Huku majuu maisha magumu never give up...
    Tungo tata sio ngumu masela mmeketch it up...
    Life ni tough na hakuna was kupiga taff...
    kam nyambafu tafsiri zaid ya mkandala lufufu... mnyonge MPE dafu mbabe karate awe commando hio kwangu hafui dafu...
    hii ni tungo tata tafsiri hata ule nyamafu...
    utapiga kwata hata ukiwa unacheza rafu...
    nimemaliza kunielewa sio lazima mpk ule ndaf...
    Na haya ni majukumu yakuteleza na hii rap... Ulie ndotoni ucjihukum you have to wake up... Huku majuu maisha magumu never give up... Tungo tata sio ngumu masela mmeketch it up... Life ni tough na hakuna was kupiga taff... kam nyambafu tafsiri zaid ya mkandala lufufu... mnyonge MPE dafu mbabe karate awe commando hio kwangu hafui dafu... hii ni tungo tata tafsiri hata ule nyamafu... utapiga kwata hata ukiwa unacheza rafu... nimemaliza kunielewa sio lazima mpk ule ndaf...
    Like
    3
    · 1 التعليقات ·0 المشاركات ·543 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-28 17:23:55 ·
    #mnyonge nakunyonga haki yako skupi...
    #kibonde nakugonga na hela yako sikulipi...
    #mnyonge nakunyonga haki yako skupi... #kibonde nakugonga na hela yako sikulipi...
    Like
    2
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·178 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-28 17:23:13 ·
    #mnyonge nakunyonga haki yako skupi...
    #kibonde nakugonga na hela yako sikulipi...
    #mnyonge nakunyonga haki yako skupi... #kibonde nakugonga na hela yako sikulipi...
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·178 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-25 20:20:04 ·
    Mke ana SUKA,, ndani hamna SUKARI..
    Anapenda nyimbo za KUSA,, ashasahau ata KUSALI..
    kila panapo KUCHA,, anabadili KUCHA..
    Ukimzingua ana SUSA,, lini ataKUJA,, KUJALI..
    Kama BABA,, huwezi uka BABAISHWA..
    Cha msingi KAZA na kazalika..
    Ukijitia mnyonge FADHA,, uta FADHAIKA..
    Respect sana kwa wenye familia
    Nyie wengine
    BWANA awe NANYI
    Mke ana SUKA,, ndani hamna SUKARI.. Anapenda nyimbo za KUSA,, ashasahau ata KUSALI.. kila panapo KUCHA,, anabadili KUCHA.. Ukimzingua ana SUSA,, lini ataKUJA,, KUJALI.. Kama BABA,, huwezi uka BABAISHWA.. Cha msingi KAZA na kazalika.. Ukijitia mnyonge FADHA,, uta FADHAIKA.. Respect sana kwa wenye familia Nyie wengine BWANA awe NANYI
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·128 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Abrahman Issa @Dox
    2024-05-25 15:55:48 ·
    Nlkw mnyonge San leo Maan skuwa sehem yeny mtandao
    Nlkw mnyonge San leo Maan skuwa sehem yeny mtandao
    Like
    Love
    5
    · 1 التعليقات ·0 المشاركات ·627 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Raymond Stephen @Proxy
    2024-05-23 04:53:32 ·
    Usimnyang’anye maskini, kwa kuwa ni maskini; Wala usimdhulumu mtu mnyonge langoni; Kwa sababu BWANA atawatetea; Naye atawateka uhai wao waliowateka.~Mithali 22:22-23.”

    GOOD MORNING #socialpop family 23/5/2024
    Usimnyang’anye maskini, kwa kuwa ni maskini; Wala usimdhulumu mtu mnyonge langoni; Kwa sababu BWANA atawatetea; Naye atawateka uhai wao waliowateka.~Mithali 22:22-23.” GOOD MORNING #socialpop family 23/5/2024❣️
    Like
    Love
    6
    · 2 التعليقات ·0 المشاركات ·414 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
ترقية الحساب
اختر الخطة التي تناسبك
ترقية
© 2025 Socialpop
Arabic
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
الشروط الخصوصية اتصل بنا الدليل المطوريين