Upgrade to Pro

  • Kila la heri @SimbaSCTanzania kwenye mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho Afrika.

    @CAF_Online @CAFCLCC @ligikuu
    Kila la heri @SimbaSCTanzania kwenye mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho Afrika. @CAF_Online @CAFCLCC @ligikuu
    Like
    2
    1 Comments Β·67 Views
  • CAF CONFEDERATION CUP

    FC BRAVOS SIMBA SC
    01:00 usiku
    11 de Novembro

    Ni mechi ya mapema. Itapigwa pale nchini Angola. Wote wawili hapa wana nafasi ya kufuzu. Wanatofautiana pointi tatu tu, Ushindi au sare tu, kwa Simba utaifanya ifuzu moja kwa moja robo fainali. Kila la kheri Mnyama #simbasctanzania

    #paulswai
    CAF CONFEDERATION CUP πŸ‡¦πŸ‡΄ FC BRAVOS πŸ†š SIMBA SC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ⏰ 01:00 usiku 🏟️ 11 de Novembro Ni mechi ya mapema. Itapigwa pale nchini Angola. Wote wawili hapa wana nafasi ya kufuzu. Wanatofautiana pointi tatu tu, Ushindi au sare tu, kwa Simba utaifanya ifuzu moja kwa moja robo fainali. Kila la kheri Mnyama #simbasctanzania πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #paulswai
    Like
    3
    Β·156 Views
  • CAF CONFEDERATION CUP

    CS SFAXIEN SIMBA SC
    19:00
    Hammadi Agrebi

    Simba inakutana na Sfaxien, timu ambayo haijashinda mechi yoyote katika kundi hilo baada ya kupoteza michezo mitatu ikishika mkia bila pointi yoyote. Kucheza mechi ya leo bila ya mashabiki inaweza kuwa nafuu kwa Simba katika kuifukuzia rekodi yao ya kucheza robo fainali kwa mara ya sita katika kipindi cha misimu saba kuanzia 2018/19.

    Kila la kheri Wenyenchi @simbasctanzania

    #paulswai
    CAF CONFEDERATION CUP πŸ‡ΉπŸ‡³ CS SFAXIEN πŸ†š SIMBA SC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ⏰ 19:00 🏟️ Hammadi Agrebi Simba inakutana na Sfaxien, timu ambayo haijashinda mechi yoyote katika kundi hilo baada ya kupoteza michezo mitatu ikishika mkia bila pointi yoyote. Kucheza mechi ya leo bila ya mashabiki inaweza kuwa nafuu kwa Simba katika kuifukuzia rekodi yao ya kucheza robo fainali kwa mara ya sita katika kipindi cha misimu saba kuanzia 2018/19. Kila la kheri Wenyenchi @simbasctanzania πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #paulswai
    Like
    4
    2 Comments Β·389 Views
  • CAF CONFEDERATION CUP

    CS CONSTANTINE SIMBA SC
    19:00
    Chahid Hamlaoui

    Hakuna namna ya kufanya kwa Simba zaidi ya kutoka na ushindi au angalau sare ikiwa ugenini kwa nia ya kuiweka pazuri kutinga makundi. Kila la kheri #simbasctanzania

    #paulswai
    CAF CONFEDERATION CUP πŸ‡©πŸ‡Ώ CS CONSTANTINE πŸ†š SIMBA SC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ⏰ 19:00 🏟️ Chahid Hamlaoui Hakuna namna ya kufanya kwa Simba zaidi ya kutoka na ushindi au angalau sare ikiwa ugenini kwa nia ya kuiweka pazuri kutinga makundi. Kila la kheri #simbasctanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ #paulswai
    Like
    Love
    5
    Β·301 Views
  • CAF CONFEDERATION CUP

    SIMBA SC BRAVOS
    16:00
    MKapa

    Kila la kheri @simbasctanzania

    #paulswai
    CAF CONFEDERATION CUP πŸ‡ΉπŸ‡Ώ SIMBA SC πŸ†š BRAVOS πŸ‡¦πŸ‡΄ ⏰ 16:00 🏟️ MKapa Kila la kheri @simbasctanzania πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #paulswai
    Like
    Love
    6
    7 Comments Β·216 Views
  • CAF CONFEDERATION CUP
    .
    SIMBA SC AL AHLI TRIPOLI
    16:00
    Machinjioni kwa Mkapa
    .
    Mnyama anatupa karata muhimu leo akihitaji ushindi wa aina yoyote ili itinge hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, tayari Walibya walioonyesha kuingiwa ubaridi mapema tangu walipokuja nchini kwa kuweka ulinzi wa mabaunsa na kukimbilia katika ubalozi wa nchi hiyo kama kujihami pengine kwa kile kilichofanywa na mashabiki wao wiki iliyopita kuwafanyia fujo Wekundu hao baada ya kutoka suluhu.
    .
    Kila la Kheri @SimbaSCTanzania
    #paulswai
    CAF CONFEDERATION CUP πŸ† . πŸ‡ΉπŸ‡Ώ SIMBA SC πŸ†š AL AHLI TRIPOLI πŸ‡±πŸ‡Ύ ⏰ 16:00 🏟️ Machinjioni kwa Mkapa . Mnyama anatupa karata muhimu leo akihitaji ushindi wa aina yoyote ili itinge hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, tayari Walibya walioonyesha kuingiwa ubaridi mapema tangu walipokuja nchini kwa kuweka ulinzi wa mabaunsa na kukimbilia katika ubalozi wa nchi hiyo kama kujihami pengine kwa kile kilichofanywa na mashabiki wao wiki iliyopita kuwafanyia fujo Wekundu hao baada ya kutoka suluhu. . Kila la Kheri @SimbaSCTanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ #paulswai
    Like
    4
    1 Comments Β·389 Views
  • Safari ya Ligi Kuu ya #NBCPREMIERLEAGUE inaanza leo hii! @simbasctanzania Tabora United
    #paulswai
    πŸ›£οΈ Safari ya Ligi Kuu ya #NBCPREMIERLEAGUE inaanza leo hii! @simbasctanzania πŸ†š Tabora United #paulswai
    Like
    Love
    3
    Β·269 Views
  • UTAVAA ‘MTOKO’ GANI SIKU YA #KARIAKOODERBY AGOSTI 8, 2024?
    #simbasctanzania

    #paulswai
    UTAVAA ‘MTOKO’ GANI SIKU YA #KARIAKOODERBY AGOSTI 8, 2024? πŸ”₯πŸ”₯ #simbasctanzania #paulswai
    Like
    4
    31 Comments Β·382 Views