Upgrade to Pro

  • LAZIMISHA SIMU YAKO ITUMIE 2G AU 3G AU 4G PEKEE

    NENDA SEHEMU YA KUANDIKIA NAMBA

    BONYEZA >>> *#*#4636#*#* kama inakataa download application ya Phone testing
    Yatatokea machaguo kadhaa

    chagua #Phone information
    Shuka chini kabisa mpaka mpaka sehemu iliyoandikwa Set preferred network type gusa chini yake utaona machaguo ya mtandao yenye kumanisha aina ya mtandao wa internet.

    Chagua:

    GSM only kwa 2G peke yake
    WCDMA only kwa 3G peke yake
    LTE only kwa 4G peke yake


    ZINGATIA HAYA:

    Njia hii inafanya kazi kwenye simu nyingi za android lakini baadhi ya smartphones kama Samsung inakataa.

    Hivyo kama una simu ya jinsi hii na unatumia Android fanya rahisi ifuatavyo:

    Nenda kwenye Settings za simu
    Angalia kipengele cha Network
    Chagua Mobile network
    Bofya Network mode
    Yatatokea machaguo ya mitandao ya internet kulingana na uwezo wa simu yako yaani 2G, 3G, na 4G.


    @

    LAZIMISHA SIMU YAKO ITUMIE 2G AU 3G AU 4G PEKEE NENDA SEHEMU YA KUANDIKIA NAMBA BONYEZA >>> *#*#4636#*#* kama inakataa download application ya Phone testing Yatatokea machaguo kadhaa chagua #Phone information Shuka chini kabisa mpaka mpaka sehemu iliyoandikwa Set preferred network type gusa chini yake utaona machaguo ya mtandao yenye kumanisha aina ya mtandao wa internet. Chagua: GSM only kwa 2G peke yake WCDMA only kwa 3G peke yake LTE only kwa 4G peke yake ZINGATIA HAYA: Njia hii inafanya kazi kwenye simu nyingi za android lakini baadhi ya smartphones kama Samsung inakataa. Hivyo kama una simu ya jinsi hii na unatumia Android fanya rahisi ifuatavyo: Nenda kwenye Settings za simu Angalia kipengele cha Network Chagua Mobile network Bofya Network mode Yatatokea machaguo ya mitandao ya internet kulingana na uwezo wa simu yako yaani 2G, 3G, na 4G. @
    ·162 Views
  • #smartphones #robbycomputers #phones
    #smartphones #robbycomputers #phones
    Like
    Love
    4
    ·760 Views