0 Comments
·0 Shares
·3 Views
-
Real Madrid wametoa taarifa ya KUKATAA VIKALI wazo la kuchezwa kwa mechi ya La Liga kati ya Villarreal na Barcelona huko Miami
Wazo hilo lilitekelezwa bila kushauriana awali na vilabu vinavyoshiriki La Liga, jambo linalokiuka kanuni muhimu ya "mshikamano wa maeneo" inayosimamia mfumo wa ligi wa mechi za nyumbani na ugenini.
Mabadiliko ya aina hii yanapaswa kuwa na idhini ya wazi na ya pamoja kutoka kwa vilabu vyote vinavyoshiriki, pamoja na kutimiza kikamilifu masharti ya kitaifa na kimataifa yanayosimamia uendeshaji wa mashindano rasmi.
Katika kutetea kanuni hii, Real Madrid imechukua hatua tatu mahsusi:
1. Kuwasilisha ombi kwa FIFA kuzuia mechi hiyo kuchezwa bila idhini ya awali kutoka kwa vilabu vyote vya La Liga.
2. Kuwasilisha ombi kwa UEFA kuomba RFEF iondoe au ikatae ombi hilo, ikisisitiza vigezo vilivyowekwa mwaka 2018 vinavyokataza kuchezwa kwa mechi rasmi za mashindano ya ndani nje ya ardhi ya taifa, isipokuwa kwa hali za kipekee na zilizo na sababu za msingi ambazo katika kesi hii hazikutimia.
3. Kuwasilisha ombi kwa Baraza Kuu la Michezo(Consejo Superior de Deportes) kuto kutoa vibali vya kiutawala vinavyohitajika bila kuwepo kwa idhini ya pamoja kutoka kwa vilabu vyote.
#SportsElite❌⛔🇪🇸Real Madrid wametoa taarifa ya KUKATAA VIKALI wazo la kuchezwa kwa mechi ya La Liga kati ya Villarreal na Barcelona huko Miami Wazo hilo lilitekelezwa bila kushauriana awali na vilabu vinavyoshiriki La Liga, jambo linalokiuka kanuni muhimu ya "mshikamano wa maeneo" inayosimamia mfumo wa ligi wa mechi za nyumbani na ugenini. Mabadiliko ya aina hii yanapaswa kuwa na idhini ya wazi na ya pamoja kutoka kwa vilabu vyote vinavyoshiriki, pamoja na kutimiza kikamilifu masharti ya kitaifa na kimataifa yanayosimamia uendeshaji wa mashindano rasmi. Katika kutetea kanuni hii, Real Madrid imechukua hatua tatu mahsusi: 1. Kuwasilisha ombi kwa FIFA kuzuia mechi hiyo kuchezwa bila idhini ya awali kutoka kwa vilabu vyote vya La Liga. 2. Kuwasilisha ombi kwa UEFA kuomba RFEF iondoe au ikatae ombi hilo, ikisisitiza vigezo vilivyowekwa mwaka 2018 vinavyokataza kuchezwa kwa mechi rasmi za mashindano ya ndani nje ya ardhi ya taifa, isipokuwa kwa hali za kipekee na zilizo na sababu za msingi ambazo katika kesi hii hazikutimia. 3. Kuwasilisha ombi kwa Baraza Kuu la Michezo(Consejo Superior de Deportes) kuto kutoa vibali vya kiutawala vinavyohitajika bila kuwepo kwa idhini ya pamoja kutoka kwa vilabu vyote. #SportsElite0 Comments ·0 Shares ·5 Views -
Meneja wa Paris Saint Germain, Luis Enrique ameweka wazi kuwa Uongozi wa klabu hiyo unamuunga mkono kwenye uamuzi wake wa kuachana na Golikipa Gianluigi Donnarumma kutokuwa sehemu ya kikosi cha Timu hiyo hivyo ataanza kwa kuukosa mchezo wa UEFA Super Cup.
Kipa huyo raia wa Italia aliachwa nje ya kikosi kilichosafiri hadi Udine kwa mechi ya kirafiki leo dhidi ya Tottenham, huku Magolikipa Lucas Chevalier na Renato Marin wakichaguliwa badala yake.
Katika chapisho lake kwenye mtandao wake wa Instagram, Donnarumma alisema "amesikitishwa na kuvunjika moyo" kwa kukosekana kwake.
Nyota huyo alikuwa mmoja wa wachezaji wa PSG walioshinda taji la Ligi ya Mabingwa msimu uliopita na uamuzi huo umekuja kwa mshtuko kutokana na hadhi yake na wasifu wake.
Enrique alisema uamuzi wake ulikuwa na lengo la kutafuta Golikipa mwenye "wasifu tofauti" na Gigi.
"Uongozi unaniunga mkono na tunajaribu kutafuta suluhu bora," aliongea kwenye mkutano wa wanahabari Jumanne.
"Ni uamuzi mgumu, namkubali Donnarumma kwani ni mmoja wa makipa bora na mtu bora zaidi. Lakini tulikuwa tunatafuta wasifu tofauti, na ni vigumu sana kuchukua maamuzi ya aina hii." - alimaliza kwa kusema hivyo.
#SportsElite🚨🚨Meneja wa Paris Saint Germain, Luis Enrique ameweka wazi kuwa Uongozi wa klabu hiyo unamuunga mkono kwenye uamuzi wake wa kuachana na Golikipa Gianluigi Donnarumma kutokuwa sehemu ya kikosi cha Timu hiyo hivyo ataanza kwa kuukosa mchezo wa UEFA Super Cup. Kipa huyo raia wa Italia aliachwa nje ya kikosi kilichosafiri hadi Udine kwa mechi ya kirafiki leo dhidi ya Tottenham, huku Magolikipa Lucas Chevalier na Renato Marin wakichaguliwa badala yake. Katika chapisho lake kwenye mtandao wake wa Instagram, Donnarumma alisema "amesikitishwa na kuvunjika moyo" kwa kukosekana kwake. Nyota huyo alikuwa mmoja wa wachezaji wa PSG walioshinda taji la Ligi ya Mabingwa msimu uliopita na uamuzi huo umekuja kwa mshtuko kutokana na hadhi yake na wasifu wake. Enrique alisema uamuzi wake ulikuwa na lengo la kutafuta Golikipa mwenye "wasifu tofauti" na Gigi. "Uongozi unaniunga mkono na tunajaribu kutafuta suluhu bora," aliongea kwenye mkutano wa wanahabari Jumanne. "Ni uamuzi mgumu, namkubali Donnarumma kwani ni mmoja wa makipa bora na mtu bora zaidi. Lakini tulikuwa tunatafuta wasifu tofauti, na ni vigumu sana kuchukua maamuzi ya aina hii." - alimaliza kwa kusema hivyo. #SportsElite0 Comments ·0 Shares ·3 Views -
RASMI: Hivi ndiyo viwango vipya vya klabu bora barani Ulaya (UEFA) kwa sasa
1️⃣ Real Madrid
2️⃣ Bayern Munich
3️⃣ Inter Milan
4️⃣ Manchester City
5️⃣ Liverpool
6️⃣ Paris Saint-Germain
7️⃣ Bayer Leverkusen
8️⃣ Borussia Dortmund
9️⃣ Barcelona
AS Roma🚨 RASMI: Hivi ndiyo viwango vipya vya klabu bora barani Ulaya (UEFA) kwa sasa 1️⃣ Real Madrid 🇪🇸 2️⃣ Bayern Munich 🇩🇪 ⬆️ 3️⃣ Inter Milan 🇮🇹 ⬆️ 4️⃣ Manchester City 🏴⬇️ 5️⃣ Liverpool 🏴⬇️ 6️⃣ Paris Saint-Germain 🇫🇷 ⬇️ 7️⃣ Bayer Leverkusen 🇩🇪 ⬆️ 8️⃣ Borussia Dortmund 🇩🇪 ⬆️ 9️⃣ Barcelona 🇪🇸 ⬆️ 🔟 AS Roma 🇮🇹 ⬇️0 Comments ·0 Shares ·2 Views -
Baada ya kuondoka kwa aliyekuwa nahodha wa Totenham Heung- min Son, meneja wa Totenham Hotspurs amethibitisha rasmi kuwa Cristian Romero ndie atakuwa nahodha mpya wa klabu hiyo.
Romero alijiunga na Totenham mwaka 2022 akitokea Atalanta.
Muda wote amekuwa mchezaji muhimu kwa klabu hiyo na kiongozi mzuri ndani na nje ya uwanja.
Romero pia ni sehemu ya kikosi cha Totenham kilichofanikiwa kutwaa ubingwa wa UEFA Europa league msimu uliopita.
#SportsEliteBaada ya kuondoka kwa aliyekuwa nahodha wa Totenham Heung- min Son, meneja wa Totenham Hotspurs amethibitisha rasmi kuwa Cristian Romero ndie atakuwa nahodha mpya wa klabu hiyo. Romero alijiunga na Totenham mwaka 2022 akitokea Atalanta. Muda wote amekuwa mchezaji muhimu kwa klabu hiyo na kiongozi mzuri ndani na nje ya uwanja. Romero pia ni sehemu ya kikosi cha Totenham kilichofanikiwa kutwaa ubingwa wa UEFA Europa league msimu uliopita. #SportsElite0 Comments ·0 Shares ·2 Views -
UPDATE: Muda wowote kuanzia sasa Yanga watamtambulisha Paul Matthews (53), kuwa mkurugenzi wao mpya wa ufundi.
Kocha huyo ana uzoefu mkubwa sana,kwani amedumu SuperSport United kwa miaka 10 huku akifanya kazi kama Chief Scout,Video Analyst na kocha wa makipa.
Jamaa ana leseni B ya UEFA
Paul Matthews Anasifika kwa kuvumbua vipaji vikubwa vya soka mfano yeye ndo alivumbua wachezaji kama Teboho Mokoena,Modiba na Kekana
Jamaa ana jicho la mpira na Yanga wamepita nae shwaaaaaa
#SportsElite🚨🚨 UPDATE: Muda wowote kuanzia sasa Yanga watamtambulisha Paul Matthews (53), kuwa mkurugenzi wao mpya wa ufundi. Kocha huyo ana uzoefu mkubwa sana,kwani amedumu SuperSport United kwa miaka 10 huku akifanya kazi kama Chief Scout,Video Analyst na kocha wa makipa. Jamaa ana leseni B ya UEFA✍️ Paul Matthews Anasifika kwa kuvumbua vipaji vikubwa vya soka mfano yeye ndo alivumbua wachezaji kama Teboho Mokoena,Modiba na Kekana🖐️ Jamaa ana jicho la mpira na Yanga wamepita nae shwaaaaaa😄 #SportsElite0 Comments ·0 Shares ·178 Views -
Barcelona kunufaika kwa €2 milioni kutokana na jeraha la Ter Stegen
Ripoti ya habari imeeleza uwezekano wa klabu ya FC Barcelona kupokea kiasi cha €2 milioni kufuatia jeraha la mlinda mlango wao wa Kijerumani, Marc-André ter Stegen .
Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, Barcelona waligundua kwanza jeraha la Ter Stegen baada ya mechi za UEFA Nations League dhidi ya Ureno na Ufaransa zilizochezwa Juni 4 na 8.
Ripoti hiyo imeongeza:
> "Barcelona waliiarifu FIFA mapema kuhusu matatizo ya mgongo aliyopata Ter Stegen, ambayo yalitokana na mechi zake za hivi karibuni na timu ya taifa ya Ujerumani ."
Kwa hivyo, FIFA huenda ikalazimika kulipa fidia kifedha kwa Barcelona ikiwa Ter Stegen atakuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya siku 28 mfululizo kutokana na jeraha alilopata akiwa kwenye majukumu ya kimataifa .
Ripoti hiyo imeeleza kuwa klabu ya Catalonia inaweza kupata zaidi ya €2 milioni kutokana na hali hiyo.
Barcelona tayari waliwahi kunufaika na mpango wa fidia wa FIFA ujulikanao kama Club Protection Program wakati Gavi alipoumia vibaya akiwa na timu ya taifa ya Hispania mwaka 2023, na pia walipopata fidia baada ya Ronald Araújo kuumia akiwa na Uruguay wakati wa Copa América 2024.
Kwa upande wa Ter Stegen, ikiwa atakosa mashindano kwa miezi 4, Barcelona wangeweza kupokea hadi €2.46 milioni.
#SportsElite🚨 Barcelona kunufaika kwa €2 milioni kutokana na jeraha la Ter Stegen 💰 Ripoti ya habari imeeleza uwezekano wa klabu ya FC Barcelona kupokea kiasi cha €2 milioni kufuatia jeraha la mlinda mlango wao wa Kijerumani, Marc-André ter Stegen 🤕. Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, Barcelona waligundua kwanza jeraha la Ter Stegen baada ya mechi za UEFA Nations League dhidi ya Ureno 🇵🇹 na Ufaransa 🇫🇷 zilizochezwa Juni 4 na 8. Ripoti hiyo imeongeza: > "Barcelona waliiarifu FIFA mapema kuhusu matatizo ya mgongo aliyopata Ter Stegen, ambayo yalitokana na mechi zake za hivi karibuni na timu ya taifa ya Ujerumani 🇩🇪." Kwa hivyo, FIFA huenda ikalazimika kulipa fidia kifedha kwa Barcelona ikiwa Ter Stegen atakuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya siku 28 mfululizo kutokana na jeraha alilopata akiwa kwenye majukumu ya kimataifa 🏥. Ripoti hiyo imeeleza kuwa klabu ya Catalonia inaweza kupata zaidi ya €2 milioni kutokana na hali hiyo. Barcelona tayari waliwahi kunufaika na mpango wa fidia wa FIFA ujulikanao kama Club Protection Program wakati Gavi alipoumia vibaya akiwa na timu ya taifa ya Hispania 🇪🇸 mwaka 2023, na pia walipopata fidia baada ya Ronald Araújo kuumia akiwa na Uruguay 🇺🇾 wakati wa Copa América 2024. Kwa upande wa Ter Stegen, ikiwa atakosa mashindano kwa miezi 4, Barcelona wangeweza kupokea hadi €2.46 milioni. #SportsElite0 Comments ·0 Shares ·513 Views -
| BREAKING
Crystal Palace imepanga kukata rufaa ili kupinga uamuzi wa UEFA kuwashusha kutoka kushiriki EUROPA hadi kushiriki Conference League.
Nafasi ya ushiriki wa EUROPA ambayo ilikuwa ni ya Crystal Palace atashiriki Nottingham Forest na Palace watashiriki Conference kama mambo yatabakia hivi.
#SportsElite🚨 | BREAKING Crystal Palace imepanga kukata rufaa ili kupinga uamuzi wa UEFA kuwashusha kutoka kushiriki EUROPA hadi kushiriki Conference League. Nafasi ya ushiriki wa EUROPA ambayo ilikuwa ni ya Crystal Palace atashiriki Nottingham Forest na Palace watashiriki Conference kama mambo yatabakia hivi. #SportsElite0 Comments ·0 Shares ·343 Views -
RASMI
UEFA imetangaza kuwa Crystal Palace hawatashiriki EUROPA LEAGUE licha ya kufanikiwa kufuzu kushiriki mashindano hayo.
Sababu kuu ni uwepo wa Olympique Lyonnais kwenye mashindano hayo, timu zote mbili zipo chini ya mmiliki mmoja.
Crystal Palace atakuwa na nafasi ya kushiriki Conference League badala ya EUROPA kutokana na sheria.
#SportsEliteRASMI ✍️ UEFA imetangaza kuwa Crystal Palace hawatashiriki EUROPA LEAGUE licha ya kufanikiwa kufuzu kushiriki mashindano hayo. Sababu kuu ni uwepo wa Olympique Lyonnais kwenye mashindano hayo, timu zote mbili zipo chini ya mmiliki mmoja. Crystal Palace atakuwa na nafasi ya kushiriki Conference League badala ya EUROPA kutokana na sheria. #SportsElite0 Comments ·0 Shares ·228 Views -
⚪️ RASMI: Lucas Vázquez Aondoka Real Madrid!
Baada ya miaka mingi ya kujitoa kwa moyo wote, Lucas Vázquez hatakuwa mchezaji wa Real Madrid tena. Mkataba wake umeisha na sasa yupo huru (free agent) kujiunga na timu yoyote.
Akiwa amehudumu kwa zaidi ya mechi 400, Lucas ametwaa mataji 23 yakiwemo: Champions League – 5
La Liga – 4
Supercopa, UEFA Super Cup na Club World Cup...
Inaripotiwa kuwa Fenerbahçe ya Uturuki, klabu za MLS na Saudi Arabia tayari zimeanza mawasiliano naye.
#SportsElite🇪🇸⚪️ RASMI: Lucas Vázquez Aondoka Real Madrid! Baada ya miaka mingi ya kujitoa kwa moyo wote, Lucas Vázquez hatakuwa mchezaji wa Real Madrid tena. Mkataba wake umeisha na sasa yupo huru (free agent) kujiunga na timu yoyote. 🗓️ Akiwa amehudumu kwa zaidi ya mechi 400, Lucas ametwaa mataji 23 yakiwemo: 🏆 Champions League – 5 🇪🇸 La Liga – 4 🎖️ Supercopa, UEFA Super Cup na Club World Cup... 🔜 Inaripotiwa kuwa Fenerbahçe ya Uturuki, klabu za MLS na Saudi Arabia tayari zimeanza mawasiliano naye. #SportsElite0 Comments ·0 Shares ·265 Views -
Match Day | SEMI FINAL
⚪️ UEFA Nations League
Ⓜ Spain France
Midnight
EAT | 22:00 PM
EAT | 22:00 PM
IND | 12:30 AM
UAE | 11:00 PM
ZIM | 09:00 PM
GMT | 19:00
Live Link
https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
𝗠𝗼𝗿𝗲 𝗠𝗮𝘁𝗰𝗵𝗲𝘀:
⚪️ World Cup Qualification CONMEBOL
Ecuador Vs Brazil 02:00 EAT
Paraguay Vs Uruguay 02:00 EAT
Chile Vs Argentina 04:00 EAT
https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
#Share
𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V5
▶︎ ●────────── 0:41⚡ Match Day | SEMI FINAL ✨ ⚪️🟢 UEFA Nations League Ⓜ Spain 🇪🇸 🆚 France 🇫🇷 📅 Midnight 🇹🇿 EAT | 22:00 PM 🇰🇪 EAT | 22:00 PM 🇮🇳 IND | 12:30 AM 🇦🇪 UAE | 11:00 PM 🇿🇼 ZIM | 09:00 PM 🌎 GMT | 19:00 📺 Live Link 👉 https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match 🔴🔴 𝗠𝗼𝗿𝗲 𝗠𝗮𝘁𝗰𝗵𝗲𝘀: ⚪️🟢 World Cup Qualification CONMEBOL Ecuador 🇪🇨 Vs Brazil 🇧🇷 02:00 EAT Paraguay 🇵🇾 Vs Uruguay 🇺🇾 02:00 EAT Chile 🇨🇱 Vs Argentina 🇦🇷 04:00 EAT 👉 https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match #Share ⚽🔜 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V5 ▶︎ ●────────── 0:410 Comments ·0 Shares ·652 Views -
Match Day | SEMI FINAL
⚪️ UEFA Nations League
Ⓜ Germany Portugal
Midnight
EAT | 22:00 PM
EAT | 22:00 PM
IND | 12:30 AM
UAE | 11:00 PM
ZIM | 09:00 PM
Live Link
https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
𝗠𝗼𝗿𝗲 𝗠𝗮𝘁𝗰𝗵𝗲𝘀:
https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match
#Share⚡ Match Day | SEMI FINAL ✨ ⚪️🟢 UEFA Nations League Ⓜ Germany 🆚 Portugal 📅 Midnight 🇹🇿 EAT | 22:00 PM 🇰🇪 EAT | 22:00 PM 🇮🇳 IND | 12:30 AM 🇦🇪 UAE | 11:00 PM 🇿🇼 ZIM | 09:00 PM 📺 Live Link 👉 https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match 🔴🔴 𝗠𝗼𝗿𝗲 𝗠𝗮𝘁𝗰𝗵𝗲𝘀: 👉 https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match #Share ⚽🔜 -
UEFA CHAMPIONS LEAGUE FINAL MATCH
Psg Vs Inter milan 22:00 EAT
🏟 Allianz Arena
Live at
https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-matchUEFA CHAMPIONS LEAGUE FINAL MATCH Psg Vs Inter milan 22:00 EAT 🏟 Allianz Arena Live at 👇👇 https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match -
OFFICIAL Chelsea ni timu ya kwanza katika historia kushinda michuano minne tofauti ya UEFA.
UEFA Europa Conference
UEFA Champions League
UEFA Europa League
UEFA Cup Winner's Cup
#SportsElite🏆💣 OFFICIAL Chelsea ni timu ya kwanza katika historia kushinda michuano minne tofauti ya UEFA. 🏆 UEFA Europa Conference 🏆🏆 UEFA Champions League 🏆🏆 UEFA Europa League 🏆🏆 UEFA Cup Winner's Cup #SportsElite -
Tunaambiwa Uwanja wa klabu ya Real Madrid (𝗦𝗮𝗻𝘁𝗶𝗮𝗴𝗼 𝗕𝗲𝗿𝗻𝗮𝗯𝗲́𝘂) unaandaliwa vyema kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya klabu ya Arsenal FC ambao iliitwanga Real Madrid mabao matatu kwa sifuri (0-3).
Klabu ya Real Madrid inatakiwa kufunga angalau mabao matatu ili kufufua matumaini ya kufuzu hatua ya nusu fainali ya klabu bingwa barani Ulaya (UEFA Champions League) ilihali klabu ya Arsenal FC ina rekodi ya kutokufungwa mabao matatu katika mchezo mmoja tangu Desemba 2023 yaani mechi 83 zimepita kwa klabu ya Arsenal FC bila kuruhusu mabao matatu.
Tunaambiwa Uwanja wa klabu ya Real Madrid (𝗦𝗮𝗻𝘁𝗶𝗮𝗴𝗼 𝗕𝗲𝗿𝗻𝗮𝗯𝗲́𝘂) unaandaliwa vyema kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya klabu ya Arsenal FC ambao iliitwanga Real Madrid mabao matatu kwa sifuri (0-3). Klabu ya Real Madrid inatakiwa kufunga angalau mabao matatu ili kufufua matumaini ya kufuzu hatua ya nusu fainali ya klabu bingwa barani Ulaya (UEFA Champions League) ilihali klabu ya Arsenal FC ina rekodi ya kutokufungwa mabao matatu katika mchezo mmoja tangu Desemba 2023 yaani mechi 83 zimepita kwa klabu ya Arsenal FC bila kuruhusu mabao matatu. -
#SportsElite #UEFAConferenceligue
-
-
#SportsElite #UEFAChampionsLigue
-
#SportsElite #UEFAChampionsLigue Round 16
-
#SportsElite #UEFAEUROPALigue Round 16
More Results