"Huwa natengeneza timu kuangalia sisi zaidi na sehemu ndogo ya wapinzani lakini hakuna siri katika mpira tutachozingatia ni kutofanya makosa na wala hakuna faida kubwa sana kujua kuhusu wapinzani zaidi ni kuweka umakini kwenye mambo ya msingi ya mechi"
“Tupo imara kiakili na kimwili, tumejiandaa vya kutosha hakuna tunachohofia, sijapata wasaa mzuri wa kuwatazama wapinzani kwani mechi zao nyingi hazikuoneshwa, lakini hiyo sio changamoto kubwa kwani naanda timu yangu kwa asilimia 75, asilimia 25 ndio natumia kumchunguza mpinzani”
“Hakuna siri kwenye mpira kila kitu lazima kiwe hadharani, kesho ni siku muhimu sana kwani ni mechi ya mtoano, hatupaswi kufanya makosa tunapaswa kuwa makini kwenye kila idara ili kupata matokeo mazuri, naamini mashabiki wetu watajitokeza kwa wingi kwa lengo la kutupa hamasa”
“Naheshimu sana wapinzani wote ninaokutana nao, kesho ni mchezo wa derby hakuna underdog kwenye mchezo huo kwani ni mchezo maalumu sana, najua mpinzani wetu ana timu mpya, wachezaji wapya, wote kwa pamoja watachukua fursa hii kuonesha ubora wao.
Kimsingi mchezo huu mizani ipo sawa kwa pande zote 50/50, ni muhimu sana kuendea mchezo huu kwa umakini mkubwa”
"Yaliyopita yamepita, sipendelei kufuatilia sana yaliyopita, huu ni msimu mpya hata wapinzani wetu pia wamebadilika kila kitu kimebadilika, wacha tuone kesho kitatokea nini" - Miguel Gamondi,
Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC Sports kuelekea mchezo wa kesho wa Ngao ya Jamii dhidi ya klabu ya Simba SC.