• ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: Bournemouth imekamilisha usajili wa golikipa Djordje Petrovic (25) kutoka Chelsea.

    Dili limegharimu kiasi £25m!
    ๐Ÿšจ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ธ ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: Bournemouth imekamilisha usajili wa golikipa Djordje Petrovic (25) kutoka Chelsea. ๐Ÿงค Dili limegharimu kiasi £25m! ๐Ÿ’
    0 Comments ยท0 Shares ยท18 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Rodrigo De Paul rasmi ni mali ya Inter Miami DONE DEAL!

    Mkataba wa miaka 4
    ๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Rodrigo De Paul rasmi ni mali ya Inter Miami DONE DEAL! Mkataba wa miaka 4
    0 Comments ยท0 Shares ยท14 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Nottingham Forest inamuwinda kiungo wa Besiktas JK Gedson Fernandes.
    ๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Nottingham Forest inamuwinda kiungo wa Besiktas JK Gedson Fernandes.
    0 Comments ยท0 Shares ยท14 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Ademola Lookman tayari ameshamalizana na Inter mkataba wake kutamatika hadi 2030, na atapokea kiasi cha €4M kwa mwaka.

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Ademola Lookman tayari ameshamalizana na Inter mkataba wake kutamatika hadi 2030, na atapokea kiasi cha €4M kwa mwaka. โšซ๐Ÿ”ต #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท20 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Liverpool imekataa pendekezo rasmi la €67.5m kutoka kwa FC Bayern kwa ajili ya Luis Diaz

    Luis Diaz, yuko tayari kuondoka Liverpool msimu huu wa joto huku Bayern na Barcelona wakimtaka lakini klabu inaendelea kukataa.

    Hakuna makubaliano kuhusu ada ya uhamisho na Liverpool wanaona thamani ya Luis Diaz kuwa juu zaidi ya €67.5m inayotolewa leo.

    Liverpool walisema hapana, kama ilivyoripotiwa.

    (Fabrizio Romano)
    ๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Liverpool imekataa pendekezo rasmi la €67.5m kutoka kwa FC Bayern kwa ajili ya Luis Diaz ๐Ÿšซ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ด Luis Diaz, yuko tayari kuondoka Liverpool msimu huu wa joto huku Bayern na Barcelona wakimtaka lakini klabu inaendelea kukataa. Hakuna makubaliano kuhusu ada ya uhamisho na Liverpool wanaona thamani ya Luis Diaz kuwa juu zaidi ya €67.5m inayotolewa leo. Liverpool walisema hapana, kama ilivyoripotiwa. (Fabrizio Romano)
    0 Comments ยท0 Shares ยท30 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Barcelona itamtambulisha rasmi Lamine kuvaa jezi .

    ๐Ÿšจ๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Barcelona itamtambulisha rasmi Lamine kuvaa jezi . ๐Ÿ’™โค๏ธ๐Ÿ”Ÿ
    0 Comments ยท0 Shares ยท18 Views
  • Baada ya kushinda Taji la Klabu Bingwa, Kampuni zifuatazo zimeweka wazi kutaka kuwa wadhamini wa Chelsea.

    Shabiki wa Chelsea, ungependa nani awe mbele ya shati yenu?

    Qatar Airways
    Fly Emirates
    Riyadh Air
    SAMSUNG
    DAMAC
    ๐Ÿ’ฐ๐Ÿ†๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟBaada ya kushinda Taji la Klabu Bingwa, Kampuni zifuatazo zimeweka wazi kutaka kuwa wadhamini wa Chelsea. Shabiki wa Chelsea, ungependa nani awe mbele ya shati yenu? โœ…Qatar Airways โœ…Fly Emirates โœ…Riyadh Air โœ…SAMSUNG โœ…DAMAC
    0 Comments ยท0 Shares ยท38 Views
  • ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: Patrick Agyemang amejiunga na Derby County kwa mkataba wa miaka 4

    Charlotte FC watapokea kitita cha £5.8M pamoja na bonasi zote kutokana na mauzo hayo..

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: Patrick Agyemang amejiunga na Derby County kwa mkataba wa miaka 4 Charlotte FC watapokea kitita cha £5.8M pamoja na bonasi zote kutokana na mauzo hayo.. #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท24 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Benfica imetuma ofa ya €25M kwa Palmeiras kuipata huduma ya Richard Ríos, says @Glongari.

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Benfica imetuma ofa ya €25M kwa Palmeiras kuipata huduma ya Richard Ríos, says @Glongari. #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท42 Views
  • ๐—ฆ๐—ง๐—”๐— ๐—ฃ๐—˜๐—— & ๐—ฆ๐—˜๐—”๐—Ÿ๐—˜๐——!
    ๐—™๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐—ฐ๐—ถ๐˜€๐—ฐ๐—ผ ๐—–๐—ผ๐—ป๐—ฐ๐—ฒ๐—ถ๐—ฐฬง๐—ฎฬƒ imefahamika tayari amekamilisha uhamisho kwenda ๐—๐˜‚๐˜ƒ๐—ฒ๐—ป๐˜๐˜‚๐˜€ kwa ada €๐Ÿฏ๐Ÿฌ๐— !

    Mchezaji huyo(21)Winga kinda rasmi atawatumikia Juventus akitokea FC Porto kwa msimu 2025/26.

    [@Record_Portugal | @OddAlerts]
    #Conceicao #Juventus #DoneDeal #LOCOTV

    #SportsElite
    ๐Ÿ’ฃ ๐—ฆ๐—ง๐—”๐— ๐—ฃ๐—˜๐—— & ๐—ฆ๐—˜๐—”๐—Ÿ๐—˜๐——! ๐—™๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐—ฐ๐—ถ๐˜€๐—ฐ๐—ผ ๐—–๐—ผ๐—ป๐—ฐ๐—ฒ๐—ถ๐—ฐฬง๐—ฎฬƒ imefahamika tayari amekamilisha uhamisho kwenda ๐—๐˜‚๐˜ƒ๐—ฒ๐—ป๐˜๐˜‚๐˜€ kwa ada €๐Ÿฏ๐Ÿฌ๐— ! ๐Ÿ”ดโšช๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Mchezaji huyo(21)Winga kinda rasmi atawatumikia Juventus akitokea FC Porto kwa msimu 2025/26. โœ… ๐Ÿ“Œ [@Record_Portugal | @OddAlerts] #Conceicao #Juventus #DoneDeal #LOCOTV #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท39 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Al Hilal imekamilisha mazungumzo na Atalanta kukamilisha uhamisho wa kiungo Ederson.

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Al Hilal imekamilisha mazungumzo na Atalanta kukamilisha uhamisho wa kiungo Ederson. #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท43 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Hugo Ekitike yuko karibu kujiunga na Newcastle United kutokea Eintracht Frankfurt kwa ada ya €78 million, na mkataba hadi 2030.

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Hugo Ekitike yuko karibu kujiunga na Newcastle United kutokea Eintracht Frankfurt kwa ada ya €78 million, na mkataba hadi 2030. โšชโšซ #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท47 Views
  • ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: Luka Modricฬ kwenda AC Milan kwa mkataba wa mwaka 1 na nyongeza hadi June 2027!

    Modricฬ atavaa jezi 1๏ธโƒฃ4๏ธโƒฃ baada ya kumaliza mkataba Real Madrid .

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: Luka Modricฬ kwenda AC Milan kwa mkataba wa mwaka 1 na nyongeza hadi June 2027! โค๏ธ๐Ÿ–ค๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ท Modricฬ atavaa jezi 1๏ธโƒฃ4๏ธโƒฃ baada ya kumaliza mkataba Real Madrid . โœจ #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท44 Views
  • ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: Real Madrid imethibitisha usajili wa Aฬlvaro Carreras kwa kandarasi hadi ๐‰๐ฎ๐ง๐ž ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ‘๐Ÿ!

    Muhispani huyo anarudi tena baada ya kuondoka miaka 6, Benfica atavuna €50m ..

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: Real Madrid imethibitisha usajili wa Aฬlvaro Carreras kwa kandarasi hadi ๐‰๐ฎ๐ง๐ž ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ‘๐Ÿ! ๐Ÿค Muhispani huyo anarudi tena baada ya kuondoka miaka 6, Benfica atavuna €50m .. ๐Ÿ”™๐Ÿก #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท67 Views
  • ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: Pablo Torre amejiunga Mallorca kwa mkataba wa kudumu akitokea Barça. .

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: Pablo Torre amejiunga Mallorca kwa mkataba wa kudumu akitokea Barça. โค๏ธ๐Ÿ–ค๐Ÿ”. ๐Ÿ”™๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท45 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Hakuna makubaliano juu ya Ibrahima Konaté na Liverpool ili kuongeza kandarasi .

    Note: Real Madrid bado wako kwenye mbio za kumuwania beki huyo.

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Hakuna makubaliano juu ya Ibrahima Konaté na Liverpool ili kuongeza kandarasi . ๐Ÿ”ดโš ๏ธ Note: Real Madrid bado wako kwenye mbio za kumuwania beki huyo. ๐Ÿ‘€ #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท73 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Bado kuna mvutano wa kimasrahi baina ya Vinicius Jr kuongeza mkataba mpya Real Madrid reports Chiringuito.
    ๐Ÿšจ๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Bado kuna mvutano wa kimasrahi baina ya Vinicius Jr kuongeza mkataba mpya Real Madrid reports Chiringuito. โŒ๐Ÿ™…‍โ™‚๏ธ
    0 Comments ยท0 Shares ยท77 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Arsenal iko kwenye majadiliano na Valencia ili kuinasa saini ya beki wa Kati Cristhian Mosquera, tayari mazungumzo na mchezaji yamekamilika..

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Arsenal iko kwenye majadiliano na Valencia ili kuinasa saini ya beki wa Kati Cristhian Mosquera, tayari mazungumzo na mchezaji yamekamilika.. #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท110 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Atalanta imeonesha nia ya kumuhitaji mshambuliaji wanOlympique Lyonnais Georges Mikautadze (Mtoto wa 2000).

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Atalanta imeonesha nia ya kumuhitaji mshambuliaji wanOlympique Lyonnais Georges Mikautadze (Mtoto wa 2000). #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท98 Views
  • ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Dani Ceballos anaweza kuondoka Real Madrid dirisha hili, reports AS.

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Dani Ceballos anaweza kuondoka Real Madrid dirisha hili, reports AS. ๐Ÿคฏ๐Ÿ‘€ #SportsElite
    0 Comments ยท0 Shares ยท94 Views
More Results