

-
-
-
pip camarapip camaraMoussa Camara tayari amejiunga na Kambi ya timu ya Taifa ya Guinea inayojiandaa na Michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 dhidi ya DR Congo pamoja na Tanzania.
#paulswai -
-
-
🤣🤣🤣🤣- Afisa Habari wa Simba Ahmed Ally anatupa jiwe gizani, baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya KMC leo,..
- Anasema washambuliaji wao wote wameshafunga magoli lakini kuna timu wana mshambuliaji ambaye hana goli hata moja mpaka sasa “Mshambuliaji kama mtunza vifaa, hana goli hata moja”
#paulswai
-
Meer blogs