

-
饾檸饾檮饾檲饾樈饾樇 饾檻/饾檸 饾樉饾檴饾樇饾檸饾檹饾樇饾檱 饾檺饾檳饾檮饾檴饾檳
饾檸饾檹饾樇饾檷饾檹饾檮饾檳饾檪 饾檱饾檮饾檳饾檧饾檺饾檵
饾檸饾檮饾檲饾樈饾樇 饾檸饾樉
#ngaoyajamii2024
#simbasc
#coatalunion
#azamfc
#yanga饾檸饾檮饾檲饾樈饾樇 饾檻/饾檸 饾樉饾檴饾樇饾檸饾檹饾樇饾檱 饾檺饾檳饾檮饾檴饾檳 饾檸饾檹饾樇饾檷饾檹饾檮饾檳饾檪 饾檱饾檮饾檳饾檧饾檺饾檵 饾檸饾檮饾檲饾樈饾樇 饾檸饾樉 #ngaoyajamii2024 #simbasc #coatalunion #azamfc #yanga0 Comments 路0 Shares 路784 Views -
-
Mwanamuziki Mandojo auawa akidhaniwa mwizi
Habari kutoka mkoani Dodoma zinaeleza kuwa
Mwanamuziki wa Bongo Fleva,
Joseph Francis maarufu kwa jina la Mandojo amefariki duniani.
Taarifa ya awali zilizotolewa na mwanamuziki Domokaya ambaye pia waliwahi kuimba pamoja na mwingine Black Rhino zinasema Mandojo amefariki dunia akiwa njiani akipelekwa hospitalini baada ya kushambuliwa na kupigwa na watu waliodhani kuwa ni mwizi.
Wakati wa uhai wake Mandojo akiwa na Domokaya waliwahi kutamba na vibao kama
Nikupe Nini (2003), Dingi (2004) na Taswira (2005) ambayo walimshirikisha Inspekta Haroun.
#followmeMwanamuziki Mandojo auawa akidhaniwa mwizi Habari kutoka mkoani Dodoma zinaeleza kuwa Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Joseph Francis maarufu kwa jina la Mandojo amefariki duniani. Taarifa ya awali zilizotolewa na mwanamuziki Domokaya ambaye pia waliwahi kuimba pamoja na mwingine Black Rhino zinasema Mandojo amefariki dunia akiwa njiani akipelekwa hospitalini baada ya kushambuliwa na kupigwa na watu waliodhani kuwa ni mwizi. Wakati wa uhai wake Mandojo akiwa na Domokaya waliwahi kutamba na vibao kama Nikupe Nini (2003), Dingi (2004) na Taswira (2005) ambayo walimshirikisha Inspekta Haroun. #followme0 Comments 路0 Shares 路736 Views -
More Stories