.Exclusive kumhusu Mohammed Doumbia ๐จ๐ฎ
โช๏ธElewa kuwa, Mohammed Doumbia amekaa nje ya kiwanja kwa zaidi ya siku 366 (wastani wa mwaka mmoja). Sababu kubwa ni mvutano mkubwa kati yake na management yake.
โช๏ธElewa kuwa, Young Africans Sports Club
hawakuwaza kabisa kumsajili Doumbia, na pengine akina Hersi Said walikuwa hawamjui kabisa. Nani aliwaunganisha.?
โช๏ธ Stephanie_aziz_ki ndiye aliyetumika kama daraja kwenye dili hili. Aliwaambia viongozi wa juu wa klabu kuwa, "kuna mchezaji mzuri; ni kiungo wa kati, anaweza kucheza kama kiungo mkabaji lakini amekaa nje ya pitch kwa muda mrefu kidogo. Kama itawezekana mnaweza kumtazama."
โช๏ธUongozi wa klabu ukiongozwa na Mhandisi Hersi Said uliwasiliana na mchezaji na muda mchache, taratibu za kumsafirisha kuja Dar es Salaam zilianza.
โช๏ธMohammed Doumbia alipokelewa vizuri na Uongozi. Bahati nzuri alifika siku ambayo klabu ilikuwa na session ya mazoezi jioni; Uongozi uliungana na Miloud Hamdi kumtazam Mohammed Doumbia kwenye pitch akifanya mazoezi na wenzake.
โช๏ธKila mtu alitikisa kichwa. Kila mtu alikubali uwezo wake.! Huu ndio usajili wa kwanza kufanyika na Yanga msimu huu.
#NB: Mohammed Doumbia, Pacome Zouzoua walienda nchini Czech Republic
kwa pamoja; cha kukusisitiza ni kwamba Pacome Zouzoua alirudi Afrika, Doumbia aliendelea kukiwasha huko.
.Exclusive kumhusu Mohammed Doumbia ๐จ๐ฎ
โช๏ธElewa kuwa, Mohammed Doumbia amekaa nje ya kiwanja kwa zaidi ya siku 366 (wastani wa mwaka mmoja). Sababu kubwa ni mvutano mkubwa kati yake na management yake.
โช๏ธElewa kuwa, Young Africans Sports Club ๐น๐ฟ hawakuwaza kabisa kumsajili Doumbia, na pengine akina Hersi Said walikuwa hawamjui kabisa. Nani aliwaunganisha.? ๐๐
โช๏ธ Stephanie_aziz_ki ndiye aliyetumika kama daraja kwenye dili hili. Aliwaambia viongozi wa juu wa klabu kuwa, "kuna mchezaji mzuri; ni kiungo wa kati, anaweza kucheza kama kiungo mkabaji lakini amekaa nje ya pitch kwa muda mrefu kidogo. Kama itawezekana mnaweza kumtazama."
โช๏ธUongozi wa klabu ukiongozwa na Mhandisi Hersi Said uliwasiliana na mchezaji na muda mchache, taratibu za kumsafirisha kuja Dar es Salaam zilianza.
โช๏ธMohammed Doumbia alipokelewa vizuri na Uongozi. Bahati nzuri alifika siku ambayo klabu ilikuwa na session ya mazoezi jioni; Uongozi uliungana na Miloud Hamdi kumtazam Mohammed Doumbia kwenye pitch akifanya mazoezi na wenzake.
โช๏ธKila mtu alitikisa kichwa. Kila mtu alikubali uwezo wake.! Huu ndio usajili wa kwanza kufanyika na Yanga msimu huu.
#NB: Mohammed Doumbia, Pacome Zouzoua walienda nchini Czech Republic ๐จ๐ฟ kwa pamoja; cha kukusisitiza ni kwamba Pacome Zouzoua alirudi Afrika, Doumbia aliendelea kukiwasha huko. ๐ค