
-
-
SIKU YA MWANANCHI
#EXCLUSIVE;Timu ya Wananchi Yanga inatarajiwa kucheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki siku ya mwananchi tarehe 12.9.2025 dhidi ya timu ya BANDARI FC kutoka nchini Kenya.
#BandariFc #SikuYaMwananchi #YangaSC
#SportsEliteSIKU YA MWANANCHI 🚨#EXCLUSIVE;Timu ya Wananchi Yanga inatarajiwa kucheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki siku ya mwananchi tarehe 12.9.2025 dhidi ya timu ya BANDARI FC kutoka nchini Kenya. #BandariFc #SikuYaMwananchi #YangaSC #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·672 Views -
USAJILI
#CONFIRMED;Timu ya Wananchi Yanga leo imempokea mchezaji wao kambini Avic Town Frank Assinki.
Frank Assinki muda wowote kuanzia sasa atatambulishwa kama mchezaji wao mpya waliomsajili kutoka Singida Big Stars kwa mkopo wa mwaka mmoja.
#SportsEliteUSAJILI 🚨#CONFIRMED;Timu ya Wananchi Yanga leo imempokea mchezaji wao kambini Avic Town Frank Assinki. Frank Assinki muda wowote kuanzia sasa atatambulishwa kama mchezaji wao mpya waliomsajili kutoka Singida Big Stars kwa mkopo wa mwaka mmoja. #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·351 Views -
Klabu ya Yanga imetangaza rasmi tarehe ya siku ya kilele cha Wananchi ambapo itakuwa ni Semptemba 12 mwezi ujao ndani ya uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam.
#SportsEliteKlabu ya Yanga imetangaza rasmi tarehe ya siku ya kilele cha Wananchi ambapo itakuwa ni Semptemba 12 mwezi ujao ndani ya uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam. #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·267 Views -
UPADATE: Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida.
Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa kutumikia adhabu kwenye mechi za ligi kuu,FA na Ngao ya jamii.
#SportsElite🚨🚨UPADATE: Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida. Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa kutumikia adhabu kwenye mechi za ligi kuu,FA na Ngao ya jamii. #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·191 Views -
Klabu ya Yanga imekamlisha usajili wa Mchezaji Edmund John kutoka Singida Black Stars
Edmund John ni miongoni mwa wachezaji wa Yanga ambao wamewasili Rwanda kwaajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Rayon Sports siku ya Ijumaa
Edmund raia wa Tanzania anajiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili.
#SportsElite🚨🚨Klabu ya Yanga imekamlisha usajili wa Mchezaji Edmund John kutoka Singida Black Stars Edmund John ni miongoni mwa wachezaji wa Yanga ambao wamewasili Rwanda kwaajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Rayon Sports siku ya Ijumaa Edmund raia wa Tanzania anajiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili. #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·541 Views -
🚨Huwenda Edmund John akatimkia Yanga endapo mzize atauzwa #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·160 Views
-
YANGA PRINCESS
#CONFIRMED;Uongozi wa Yanga Princess upo hatua za mwisho kabisa kukumilisha usajili wa kiungo RITICIA NABBOSA raia wa Uganda.
#Rittisia #YangaPrincess #TimuYaWanchi
#SportsEliteYANGA PRINCESS 🚨#CONFIRMED;Uongozi wa Yanga Princess upo hatua za mwisho kabisa kukumilisha usajili wa kiungo RITICIA NABBOSA raia wa Uganda. #Rittisia #YangaPrincess #TimuYaWanchi #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·486 Views -
RASMI: Yanga wamekamilisha usajili wa mshambuliaji Andy Bobwa Boyeli (24) kutoka Sekhukhune United ya South Africa kwa mkopo kwa msimu mmoja wenye kipengele cha kununuliwa mazima kwa $100,000.
Msimu wa 2022/23 akiwa na Power Dynamos,Andy Boyeli alitwaa kiatu cha mfungaji bora wa ligi ya Zambia,baada ya kufunga goli 18,pia msimu huo alitwaa tuzo ya MVP.
#SportsElite🚨🚨 RASMI: Yanga wamekamilisha usajili wa mshambuliaji Andy Bobwa Boyeli (24) kutoka Sekhukhune United ya South Africa kwa mkopo kwa msimu mmoja wenye kipengele cha kununuliwa mazima kwa $100,000. Msimu wa 2022/23 akiwa na Power Dynamos,Andy Boyeli alitwaa kiatu cha mfungaji bora wa ligi ya Zambia,baada ya kufunga goli 18,pia msimu huo alitwaa tuzo ya MVP. #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·437 Views -
𝐑𝐀𝐒𝐌𝐈: Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kumsajili beki wa kulia Israel Patrick Mwenda kwa mkataba wa miaka mitatu utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2028 akitokea Singida Black Stars.
Mwenda (25) raia wa Tanzania ambaye alicheza Yanga Sc kwa mkopo msimu uliopita ameamua kuendelea kuwatumikia Wananchi mpaka 2028.
#SportsElite📝 𝐑𝐀𝐒𝐌𝐈: Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kumsajili beki wa kulia Israel Patrick Mwenda kwa mkataba wa miaka mitatu utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2028 akitokea Singida Black Stars. Mwenda (25) raia wa Tanzania ambaye alicheza Yanga Sc kwa mkopo msimu uliopita ameamua kuendelea kuwatumikia Wananchi mpaka 2028. #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·576 Views -
RASMI:CAF YATANGAZA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA DROO YA CAF 2025/26! ⚽️
Droo ya CAF Champions League na Confederation Cup itafanyika katikati ya Agosti hapa hapa Tanzania!
Je, Simba SC, Yanga SC, Azam FC kupangwa na nani hatua za awali?
Hii ni nafasi ya kutangaza Tanzania kwenye ramani ya soka Afrika! ⚽️
Source:- Micky Jnr African Football Journalist
#SportsElite🚨🚨 RASMI:CAF YATANGAZA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA DROO YA CAF 2025/26! 🇹🇿🔥⚽️ 🔸 Droo ya CAF Champions League na Confederation Cup itafanyika katikati ya Agosti hapa hapa Tanzania! 🤔 Je, Simba SC, Yanga SC, Azam FC kupangwa na nani hatua za awali? 🦁🟢🔵 Hii ni nafasi ya kutangaza Tanzania kwenye ramani ya soka Afrika! 🌍⚽️ Source:- Micky Jnr African Football Journalist #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·846 Views -
✍🏿RASMI :Klabu ya soka ya Young Africans imeendelea kuimarisha benchi lake la ufundi kwa kuongeza watu wawili ambao ni
Manu Rodriguez - kocha msaidizi
Tshephang Makaila - Kocha wa mazoezi ya viungo
#BaseTvsportnews #NBCPremierLeague #sokalaAfrika #yangasc
#SportsElite🚨📜✍🏿🔰RASMI :Klabu ya soka ya Young Africans imeendelea kuimarisha benchi lake la ufundi kwa kuongeza watu wawili ambao ni Manu Rodriguez - kocha msaidizi Tshephang Makaila - Kocha wa mazoezi ya viungo #BaseTvsportnews #NBCPremierLeague #sokalaAfrika #yangasc #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·1K Views -
𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kumsajili kiungo mshambuliaji, Lassine Kouma (21) raia wa Mali akitokea klabu ya Stade Malien ya Nchini kwao na atavaa jezi namba 8 iliyokuwa ikivaliwa na Khalid Aucho.
#SportsElite📝 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kumsajili kiungo mshambuliaji, Lassine Kouma (21) raia wa Mali akitokea klabu ya Stade Malien ya Nchini kwao na atavaa jezi namba 8 iliyokuwa ikivaliwa na Khalid Aucho. #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·376 Views -
UPDATE: Muda wowote kuanzia sasa Yanga watamtambulisha Paul Matthews (53), kuwa mkurugenzi wao mpya wa ufundi.
Kocha huyo ana uzoefu mkubwa sana,kwani amedumu SuperSport United kwa miaka 10 huku akifanya kazi kama Chief Scout,Video Analyst na kocha wa makipa.
Jamaa ana leseni B ya UEFA
Paul Matthews Anasifika kwa kuvumbua vipaji vikubwa vya soka mfano yeye ndo alivumbua wachezaji kama Teboho Mokoena,Modiba na Kekana
Jamaa ana jicho la mpira na Yanga wamepita nae shwaaaaaa
#SportsElite🚨🚨 UPDATE: Muda wowote kuanzia sasa Yanga watamtambulisha Paul Matthews (53), kuwa mkurugenzi wao mpya wa ufundi. Kocha huyo ana uzoefu mkubwa sana,kwani amedumu SuperSport United kwa miaka 10 huku akifanya kazi kama Chief Scout,Video Analyst na kocha wa makipa. Jamaa ana leseni B ya UEFA✍️ Paul Matthews Anasifika kwa kuvumbua vipaji vikubwa vya soka mfano yeye ndo alivumbua wachezaji kama Teboho Mokoena,Modiba na Kekana🖐️ Jamaa ana jicho la mpira na Yanga wamepita nae shwaaaaaa😄 #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·407 Views -
OFFICIAL:Pacome bado yupo Yanga hadi 2027
Mudathiri kaongeza miwili
Pacome kaongeza miwili
Maxi kaongeza miwili
Job kaongeza miwili
#SportsElite🚨OFFICIAL:Pacome bado yupo Yanga hadi 2027✍️ Mudathiri kaongeza miwili✅ Pacome kaongeza miwili✅ Maxi kaongeza miwili✅ Job kaongeza miwili✅ #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·390 Views -
Rasmi Yanga wamemtambulisha kiungo mkabaji wa Mlandege,Abdulnassir Mohammed Abdallah,maarufu Kama “Casemiro” kwa mkataba wa miaka mitatu.
Yanga wameshinda vita ya kumnasa kiungo huyo mbele ya Azam Fc,JKT na Singida.
#SportsElite🚨 Rasmi Yanga wamemtambulisha kiungo mkabaji wa Mlandege,Abdulnassir Mohammed Abdallah,maarufu Kama “Casemiro” kwa mkataba wa miaka mitatu. Yanga wameshinda vita ya kumnasa kiungo huyo mbele ya Azam Fc,JKT na Singida. #SportsElite -
BREAKING: Yanga wamekamilisha usajili wa kiungo namba 10 wa Stade Malien,Raia wa Mali Lassine Kouma (21)
Simba walikuwa wa kwanza kuzungumza na Lassine Kouma,Kisha kinda huyo akampigia Simu Diarra ili kujua mazingira ya Tanzania,baada ya Diarra kujua kinda huyo hatari anaelekea Simba akamwambia Eng Heris aingilie haraka na mchakato wa kumsaini kuja Yanga ukaanza rasmi na Leo jioni kila kitu kimekamilika….Lassine Kouma Is now green & Yellow
#SportsEliteBREAKING: Yanga wamekamilisha usajili wa kiungo namba 10 wa Stade Malien,Raia wa Mali 🇲🇱 Lassine Kouma (21)✅ Simba walikuwa wa kwanza kuzungumza na Lassine Kouma,Kisha kinda huyo akampigia Simu Diarra ili kujua mazingira ya Tanzania,baada ya Diarra kujua kinda huyo hatari anaelekea Simba akamwambia Eng Heris aingilie haraka na mchakato wa kumsaini kuja Yanga ukaanza rasmi na Leo jioni kila kitu kimekamilika….Lassine Kouma Is now green & Yellow #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·688 Views -
... Mpaka sasa, Young Africans Sports Club wameshatumia zaidi ya Billion moja kwenye usajili wa wachezaji watatu wa kimataifa.
▪︎Celestine Ecua zaidi ya 300 Million zimetumika.
▪︎Mousa Balla Conte amewalaza Yanga pesa ambazo hazipungui 500 Million. Hapo ni hela ya kuvunjia mkataba pamoja na signing-on-fee. Japo Signing fee huwa inaweza kulipwa kwa awamu. Inategemeana na makubaliano yao.
▪︎Mohammed Doumbia amewagharimu Yanga kiasi kisichopungua 250 Million (Signing fee).
#SportsElite🙆♂️... Mpaka sasa, Young Africans Sports Club wameshatumia zaidi ya Billion moja kwenye usajili wa wachezaji watatu wa kimataifa. ▪︎Celestine Ecua zaidi ya 300 Million zimetumika. ▪︎Mousa Balla Conte amewalaza Yanga pesa ambazo hazipungui 500 Million. Hapo ni hela ya kuvunjia mkataba pamoja na signing-on-fee. Japo Signing fee huwa inaweza kulipwa kwa awamu. Inategemeana na makubaliano yao. ▪︎Mohammed Doumbia amewagharimu Yanga kiasi kisichopungua 250 Million (Signing fee). #SportsElite0 Commenti ·0 condivisioni ·574 Views -
.Exclusive kumhusu Mohammed Doumbia 🇨🇮
▪︎Elewa kuwa, Mohammed Doumbia amekaa nje ya kiwanja kwa zaidi ya siku 366 (wastani wa mwaka mmoja). Sababu kubwa ni mvutano mkubwa kati yake na management yake.
▪︎Elewa kuwa, Young Africans Sports Club hawakuwaza kabisa kumsajili Doumbia, na pengine akina Hersi Said walikuwa hawamjui kabisa. Nani aliwaunganisha.?
▪︎ Stephanie_aziz_ki ndiye aliyetumika kama daraja kwenye dili hili. Aliwaambia viongozi wa juu wa klabu kuwa, "kuna mchezaji mzuri; ni kiungo wa kati, anaweza kucheza kama kiungo mkabaji lakini amekaa nje ya pitch kwa muda mrefu kidogo. Kama itawezekana mnaweza kumtazama."
▪︎Uongozi wa klabu ukiongozwa na Mhandisi Hersi Said uliwasiliana na mchezaji na muda mchache, taratibu za kumsafirisha kuja Dar es Salaam zilianza.
▪︎Mohammed Doumbia alipokelewa vizuri na Uongozi. Bahati nzuri alifika siku ambayo klabu ilikuwa na session ya mazoezi jioni; Uongozi uliungana na Miloud Hamdi kumtazam Mohammed Doumbia kwenye pitch akifanya mazoezi na wenzake.
▪︎Kila mtu alitikisa kichwa. Kila mtu alikubali uwezo wake.! Huu ndio usajili wa kwanza kufanyika na Yanga msimu huu.
#NB: Mohammed Doumbia, Pacome Zouzoua walienda nchini Czech Republic kwa pamoja; cha kukusisitiza ni kwamba Pacome Zouzoua alirudi Afrika, Doumbia aliendelea kukiwasha huko..Exclusive kumhusu Mohammed Doumbia 🇨🇮 ▪︎Elewa kuwa, Mohammed Doumbia amekaa nje ya kiwanja kwa zaidi ya siku 366 (wastani wa mwaka mmoja). Sababu kubwa ni mvutano mkubwa kati yake na management yake. ▪︎Elewa kuwa, Young Africans Sports Club 🇹🇿 hawakuwaza kabisa kumsajili Doumbia, na pengine akina Hersi Said walikuwa hawamjui kabisa. Nani aliwaunganisha.? 👇👇 ▪︎ Stephanie_aziz_ki ndiye aliyetumika kama daraja kwenye dili hili. Aliwaambia viongozi wa juu wa klabu kuwa, "kuna mchezaji mzuri; ni kiungo wa kati, anaweza kucheza kama kiungo mkabaji lakini amekaa nje ya pitch kwa muda mrefu kidogo. Kama itawezekana mnaweza kumtazama." ▪︎Uongozi wa klabu ukiongozwa na Mhandisi Hersi Said uliwasiliana na mchezaji na muda mchache, taratibu za kumsafirisha kuja Dar es Salaam zilianza. ▪︎Mohammed Doumbia alipokelewa vizuri na Uongozi. Bahati nzuri alifika siku ambayo klabu ilikuwa na session ya mazoezi jioni; Uongozi uliungana na Miloud Hamdi kumtazam Mohammed Doumbia kwenye pitch akifanya mazoezi na wenzake. ▪︎Kila mtu alitikisa kichwa. Kila mtu alikubali uwezo wake.! Huu ndio usajili wa kwanza kufanyika na Yanga msimu huu. #NB: Mohammed Doumbia, Pacome Zouzoua walienda nchini Czech Republic 🇨🇿 kwa pamoja; cha kukusisitiza ni kwamba Pacome Zouzoua alirudi Afrika, Doumbia aliendelea kukiwasha huko. 🤔 -
𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀👊🏼 Hii ni Yetu wote WANANCHI.
HIi ni Kampeni Kubwa itakayobeba Safari yetu ya MAFANIKIO Msimu wa 2025/26.
Kila shabiki wa @yangasc Duniani atatakiwa kununua 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 kwa Kulipa Ada ya Mwaka ya Uwanachama wa Klabu Yetu.
MALENGO ni kupata MATOFALI MILIONI 1 kwa Wanayanga watakaolipia Ada zao kwa njia ya Kimtandao.
Tukifanikisha hili, Tutakuwa tumefanikisha MAMBO MAKUBWA MAWILI Wanayanga wenzangu
1: Tumepata HELA ya kufanya USAJILI MKUBWA utakaotupa Timu Bora zaidi ya ilivyokuwa Msimu huu.
2: Tumepata Bajeti nzuri ya kuiwezesha @yangasc Yetu kushindana kikamilifu katika mashindano Yote [Ya ndani na Yale ya CAF].
𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 Litauzwa Tsh 24,000
Tuhakikishe kuanzia kesho Kila Mwanayanga awe Na 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 ili Tuijenge kwa Pamoja YANGA BINGWA MSIMU UJAO👊🏼
Daima Mbele Nyuma Mwiko.𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀👊🏼 Hii ni Yetu wote WANANCHI. HIi ni Kampeni Kubwa itakayobeba Safari yetu ya MAFANIKIO Msimu wa 2025/26. Kila shabiki wa @yangasc Duniani atatakiwa kununua 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 kwa Kulipa Ada ya Mwaka ya Uwanachama wa Klabu Yetu. MALENGO ni kupata MATOFALI MILIONI 1 kwa Wanayanga watakaolipia Ada zao kwa njia ya Kimtandao. Tukifanikisha hili, Tutakuwa tumefanikisha MAMBO MAKUBWA MAWILI Wanayanga wenzangu 1: Tumepata HELA ya kufanya USAJILI MKUBWA utakaotupa Timu Bora zaidi ya ilivyokuwa Msimu huu. 2: Tumepata Bajeti nzuri ya kuiwezesha @yangasc Yetu kushindana kikamilifu katika mashindano Yote [Ya ndani na Yale ya CAF]. 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 Litauzwa Tsh 24,000 ✅ Tuhakikishe kuanzia kesho Kila Mwanayanga awe Na 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 ili Tuijenge kwa Pamoja YANGA BINGWA MSIMU UJAO👊🏼 Daima Mbele Nyuma Mwiko🔰.
Pagine in Evidenza