Upgrade to Pro

  • 𝙎𝙄𝙈𝘽𝘼 𝙑/𝙎 𝘾𝙊𝘼𝙎𝙏𝘼𝙇 𝙐𝙉𝙄𝙊𝙉
    𝙎𝙏𝘼𝙍𝙏𝙄𝙉𝙂 𝙇𝙄𝙉𝙀𝙐𝙋
    𝙎𝙄𝙈𝘽𝘼 𝙎𝘾
    #ngaoyajamii2024
    #simbasc
    #coatalunion
    #azamfc
    #yanga
    𝙎𝙄𝙈𝘽𝘼 𝙑/𝙎 𝘾𝙊𝘼𝙎𝙏𝘼𝙇 𝙐𝙉𝙄𝙊𝙉 𝙎𝙏𝘼𝙍𝙏𝙄𝙉𝙂 𝙇𝙄𝙉𝙀𝙐𝙋 𝙎𝙄𝙈𝘽𝘼 𝙎𝘾 #ngaoyajamii2024 #simbasc #coatalunion #azamfc #yanga
    ·551 Views
  • #DoneDeal Tumefikia makubaliano na klabu ya @mcalger.officiel ya Algeria kumuuza kiungo mshambuliaji wetu, @kipre_junior10.

    Kipre Jr, tayari ameshasaini mkataba wa miaka minne na klabu hiyo baada ya kufaulu vipimo vya afya.

    Azam FC tunamshukuru @kipre_junior10, kwa mchango wake ndani ya klabu kwa misimu miwili aliyokaa nasi na tunamtakia kila la kheri katika safari yake ya soka.

    Adieu @kipre_junior10!

    #weareazamfc #timuborabidhaabora

    #cktvtanzania
    #DoneDeal Tumefikia makubaliano na klabu ya @mcalger.officiel ya Algeria kumuuza kiungo mshambuliaji wetu, @kipre_junior10. Kipre Jr, tayari ameshasaini mkataba wa miaka minne na klabu hiyo baada ya kufaulu vipimo vya afya. Azam FC tunamshukuru @kipre_junior10, kwa mchango wake ndani ya klabu kwa misimu miwili aliyokaa nasi na tunamtakia kila la kheri katika safari yake ya soka. Adieu @kipre_junior10! 🙏🙏🙏 #weareazamfc #timuborabidhaabora #cktvtanzania
    Like
    2
    ·464 Views