• Like
    Love
    4
    0 Comments 0 Shares 60 Views 38
  • Kwamba Wananchi kila mahali mnafanya balaa hadi kwenye gambe

    TASTE

    Hii sasa sifa
    Kwamba Wananchi kila mahali mnafanya balaa hadi kwenye gambe😀😀 TASTE Hii sasa sifa😀
    Like
    Love
    Haha
    5
    1 Comments 0 Shares 54 Views 43
  • MECHI ZA LEO IJUMAA

    King Cup - Final:
    20:00 Al Hilal - Al Nassr

    Club Friendly:
    13:00 AS Roma - AC Milan

    Superliga - CL Final:
    19:00 FC Copenhagen - Randers FC

    Egypt Cup:
    16:00 Baladiyat El Mahalla - El Gouna
    16:00 National Bank Egypt - Petrojet

    Euro Women - Qualification:
    18:00 Austria - Iceland
    18:00 Norway - Italy
    18:30 Czech Republic - Belgium
    19:00 Denmark - Spain
    20:30 Germany - Poland
    20:30 Iceland - Sweden
    20:45 Netherlands - Finland
    21:00 England - France

    Euro Women - Qualification:
    17:00 Kosovo - Croatia
    18:00 Serbia - Slovakia
    19:00 Turkey - Azerbaijan
    19:30 Malta - Bosnia & Herzegovina
    20:00 Switzerland - Hungary
    20:05 Scotland - Israel
    20:15 Wales - Ukraine
    21:45 Portugal - Northern Ireland

    Euro Women - Qualification:
    15:00 Armenia - Kazakhstan
    17:00 Estonia - Albania
    17:00 Greece - Montenegro
    17:00 North Macedonia - Moldova
    17:45 Faroe Islands - Andorra
    18:00 Cyprus - Georgia
    18:00 Romania - Bulgaria
    18:00 Slovenia - Latvia

    #Sportsviews
    MECHI ZA LEO IJUMAA 🇸🇦 King Cup - Final: 20:00 Al Hilal - Al Nassr 🌎 Club Friendly: 13:00 AS Roma - AC Milan 🇩🇰 Superliga - CL Final: 19:00 FC Copenhagen - Randers FC 🇪🇬 Egypt Cup: 16:00 Baladiyat El Mahalla - El Gouna 16:00 National Bank Egypt - Petrojet 🇪🇺 Euro Women - Qualification: 18:00 🇦🇹 Austria - Iceland 🇮🇸 18:00 🇳🇴 Norway - Italy 🇮🇹 18:30 🇨🇿 Czech Republic - Belgium 🇧🇪 19:00 🇩🇰 Denmark - Spain 🇪🇸 20:30 🇩🇪 Germany - Poland 🇵🇱 20:30 🇮🇪 Iceland - Sweden 🇸🇪 20:45 🇳🇱 Netherlands - Finland 🇫🇮 21:00 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 England - France 🇫🇷 🇪🇺 Euro Women - Qualification: 17:00 🇽🇰 Kosovo - Croatia 🇭🇷 18:00 🇷🇸 Serbia - Slovakia 🇸🇰 19:00 🇹🇷 Turkey - Azerbaijan 🇦🇿 19:30 🇲🇹 Malta - Bosnia & Herzegovina 🇧🇦 20:00 🇨🇭 Switzerland - Hungary 🇭🇺 20:05 🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿 Scotland - Israel 🇮🇱 20:15 🏴󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿 Wales - Ukraine 🇺🇦 21:45 🇵🇹 Portugal - Northern Ireland 🇬🇧 🇪🇺 Euro Women - Qualification: 15:00 🇦🇲 Armenia - Kazakhstan 🇰🇿 17:00 🇪🇪 Estonia - Albania 🇦🇱 17:00 🇬🇷 Greece - Montenegro 🇲🇪 17:00 🇲🇰 North Macedonia - Moldova 🇲🇩 17:45 🇫🇴 Faroe Islands - Andorra 🇦🇩 18:00 🇨🇾 Cyprus - Georgia 🇬🇪 18:00 🇷🇴 Romania - Bulgaria 🇧🇬 18:00 🇸🇮 Slovenia - Latvia 🇱🇻 #Sportsviews
    Like
    Love
    7
    3 Comments 0 Shares 2K Views
  • Haha
    1
    0 Comments 0 Shares 848 Views

  • vile Azam watakapo fanywa champion league

    vile Azam watakapo fanywa champion league 🤣🤣🤣
    Like
    Love
    Wow
    3
    1 Comments 1 Shares 173 Views 54
  • Love
    Haha
    2
    0 Comments 0 Shares 835 Views
  • Kwa mara ya mwisho Simba kushiriki moja kwa moja kombe la Shirikisho ilikuwa msimu wa 2017/2018 na iliondolewa hatua za mwazo na Al Masri ya Misri kwa sheria ya bao la ugenini baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 Uwanja wa Mkapa na kutoa suluhu (0-0) ugenini. . Msimu wa 2021/2022 Simba ilishiriki Kombe la Shirikisho lakini hapo haikuwa moja kwa moja bali ilidondokea huko baada ya kutolewa Ligi ya mabingwa katika hatua ya pili ya mtoano na Jwaneng Galaxy ya Botswana kwa sheria ya bao la ugenini na ‘Mnyama’ alishinda 2-0 ugenini lakini bila kuamini akachapwa 3-1 Uwanja wa Mkapa na matokeo ya jumla kuwa 3-3.
    📊 Kwa mara ya mwisho Simba kushiriki moja kwa moja kombe la Shirikisho ilikuwa msimu wa 2017/2018 na iliondolewa hatua za mwazo na Al Masri ya Misri kwa sheria ya bao la ugenini baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 Uwanja wa Mkapa na kutoa suluhu (0-0) ugenini. . Msimu wa 2021/2022 Simba ilishiriki Kombe la Shirikisho lakini hapo haikuwa moja kwa moja bali ilidondokea huko baada ya kutolewa Ligi ya mabingwa katika hatua ya pili ya mtoano na Jwaneng Galaxy ya Botswana kwa sheria ya bao la ugenini na ‘Mnyama’ alishinda 2-0 ugenini lakini bila kuamini akachapwa 3-1 Uwanja wa Mkapa na matokeo ya jumla kuwa 3-3.
    Like
    Love
    4
    1 Comments 0 Shares 154 Views
  • DEAL DONE

    RASMI: Vincent Kompany amesaini kama meneja mpya wa Bayern hadi Juni 2027!

    "Naangalia mbele changamoto ya FC Bayern".

    "Ni heshima kubwa kuweza kuitumikia klabu hii, FC Bayern ni taasisi ya mpira wa miguu daima".

    "Kama kocha, unapaswa kusimama kwa jinsi ulivyo kama mtu: Napenda kuwa na mpira, ubunifu na hivyo pia tunapaswa kuwa fujo uwanjani na kuwa jasiri".

    "Sasa ninatazamia mambo ya msingi zaidi: kufanya kazi na wachezaji, kujenga timu. Wakati msingi upo, mafanikio yatafuata", anasema.
    #Sportsview
    DEAL DONE 🚨 RASMI: Vincent Kompany amesaini kama meneja mpya wa Bayern hadi Juni 2027! 🔴🇧🇪 "Naangalia mbele changamoto ya FC Bayern". "Ni heshima kubwa kuweza kuitumikia klabu hii, FC Bayern ni taasisi ya mpira wa miguu daima". "Kama kocha, unapaswa kusimama kwa jinsi ulivyo kama mtu: Napenda kuwa na mpira, ubunifu na hivyo pia tunapaswa kuwa fujo uwanjani na kuwa jasiri". "Sasa ninatazamia mambo ya msingi zaidi: kufanya kazi na wachezaji, kujenga timu. Wakati msingi upo, mafanikio yatafuata", anasema. #Sportsview
    Like
    Love
    4
    3 Comments 0 Shares 1K Views
  • Klabu ya Fenerbahce imefikia makubaliano na Kocha José Mourinho kwaajili ya kukinoa kikosi hicho.

    Mourinho atasaini mkataba wa miaka miwili hadi Juni 2026 wenye kipengele cha kuongeza mwingine baadae.

    #Sportsview
    💥🩸Klabu ya Fenerbahce imefikia makubaliano na Kocha José Mourinho kwaajili ya kukinoa kikosi hicho. Mourinho atasaini mkataba wa miaka miwili hadi Juni 2026 wenye kipengele cha kuongeza mwingine baadae. #Sportsview
    Like
    Love
    Haha
    Yay
    Angry
    6
    3 Comments 0 Shares 1K Views
  • Penzi la kweli halifi kizembe
    Penzi la kweli halifi kizembe
    Love
    Haha
    2
    1 Comments 1 Shares 182 Views 90