Upgrade to Pro

  • Kiungo wa kimataifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Maxi Mpia Nzengeli (24) amekubali kusaini mkataba mpya na Klabu ya Young Africans ambao utandelea kumweka Klabuni hapo.

    Bado haijafahamika amesaini ama ameongeza mkataba wa muda ghani endelea kuwa nami @nestoshayo nieendelee kukujuza kuhusu dili hili. #socialpop David Atto
    Kiungo wa kimataifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Maxi Mpia Nzengeli (24) amekubali kusaini mkataba mpya na Klabu ya Young Africans ambao utandelea kumweka Klabuni hapo. Bado haijafahamika amesaini ama ameongeza mkataba wa muda ghani endelea kuwa nami @nestoshayo nieendelee kukujuza kuhusu dili hili. #socialpop [Mefa]
    Like
    1
    ·97 Views
  • " Dogo janja Alikuwa anatafuta kiki Muda mrefu sana na Kaamua kuharibu Show ili amateur Trending. " Amesema #Diamond

    Diamond Ameongea kwa uchungu sana kuhusiana na Alichofanyiwa ... Video yake Tayari ipo kwenye Comment .!

    #socialpop
    #trending
    David Atto
    " Dogo janja Alikuwa anatafuta kiki Muda mrefu sana na Kaamua kuharibu Show ili amateur Trending. " Amesema #Diamond Diamond Ameongea kwa uchungu sana kuhusiana na Alichofanyiwa ... Video yake Tayari ipo kwenye Comment .! #socialpop #trending [Mefa]
    Like
    1
    ·264 Views
  • Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limesema Kombe la Dunia kwa mwaka 2030 litaandaliiwa na Mataifa matatu ambayo ni Ureno, Hispania na Morocco ambayo yaliwasilisha ombi la kuandaa michuano hiyo kwa pamoja.

    Pamoja na kwamba Mataifa hayo matatu yamechaguliwa kuandaa Kombe la Dunia mwaka 2030, imeelezwa kuwa mechi tatu za kombe hilo zitafanyika katika Nchi tatu za Amerika Kusini ambazo ni Argentina, Paraguay na Uruguay ikiwa ni katika mpango wa kuadhimisha miaka 100 ya mashindano hayo. #socialpop David Atto
    Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limesema Kombe la Dunia kwa mwaka 2030 litaandaliiwa na Mataifa matatu ambayo ni Ureno, Hispania na Morocco ambayo yaliwasilisha ombi la kuandaa michuano hiyo kwa pamoja. Pamoja na kwamba Mataifa hayo matatu yamechaguliwa kuandaa Kombe la Dunia mwaka 2030, imeelezwa kuwa mechi tatu za kombe hilo zitafanyika katika Nchi tatu za Amerika Kusini ambazo ni Argentina, Paraguay na Uruguay ikiwa ni katika mpango wa kuadhimisha miaka 100 ya mashindano hayo. #socialpop [Mefa]
    Like
    Love
    3
    ·180 Views
  • Timu ya soka ya Wavulana ya Tanzania na timu ya wasichana ya Uganda zimeibuka washindi wa mashindano hayo ya kufuzu kwa ukanda wa CECAFA yaliyofikia kilele leo nchini Uganda.

    Timu ya wavulana ya Tanzania, ikiongozwa na mchezaji wa zamani wa kimataifa Boniface Pawasa, iliifunga Rwanda 2-0 kwenye mechi ya mwisho kuamua mshindi, na kumaliza mbele ya Uganda kwa tofauti ya mabao, ingawa zote zilipata alama sita.

    Kwa upande wa wasichana, Uganda iliibuka mabingwa kwa tofauti ya mabao bora zaidi kuliko Tanzania, ambao pia walimaliza na alama 7. Uganda iliidhalilisha Rwanda kwa ushindi wa mabao 8-0, ambapo Brendah Nassaka alifunga mabao manne, Halima Mupyanga mabao mawili, huku Cynthia Kirenga na Lilian Nabukeera wakiongeza majina yao kwenye orodha ya wafungaji.

    Tanzania, katika mechi ya pili, iliishinda Burundi 1-0, kwa bao la pekee lililofungwa na Helena Mtundagi. Nahodha wa Uganda, Lilian Nabukeera, aliwashukuru wachezaji wenzake kwa kazi ngumu na kusema, “Tuna furaha kubwa kuwa mabingwa.”

    Washindi Tanzania na Uganda walipokea medali na vikombe wakati wa sherehe ya tuzo, pamoja na mfano wa hundi ya dola za Marekani 100,000.

    Timu ya wavulana ya Uganda na timu ya wasichana ya Tanzania walipata medali na mfano wa hundi ya dola 75,000 kila moja, huku Somalia na Burundi waliomaliza nafasi ya tatu wakipata medali na mfano wa hundi ya dola 50,000 kila mmoja.

    Mashindano haya ni hatua kubwa kwa maendeleo ya soka la shule barani Afrika.

    #sports
    #trending
    #socialpop
    David Atto
    Timu ya soka ya Wavulana ya Tanzania na timu ya wasichana ya Uganda zimeibuka washindi wa mashindano hayo ya kufuzu kwa ukanda wa CECAFA yaliyofikia kilele leo nchini Uganda. Timu ya wavulana ya Tanzania, ikiongozwa na mchezaji wa zamani wa kimataifa Boniface Pawasa, iliifunga Rwanda 2-0 kwenye mechi ya mwisho kuamua mshindi, na kumaliza mbele ya Uganda kwa tofauti ya mabao, ingawa zote zilipata alama sita. Kwa upande wa wasichana, Uganda iliibuka mabingwa kwa tofauti ya mabao bora zaidi kuliko Tanzania, ambao pia walimaliza na alama 7. Uganda iliidhalilisha Rwanda kwa ushindi wa mabao 8-0, ambapo Brendah Nassaka alifunga mabao manne, Halima Mupyanga mabao mawili, huku Cynthia Kirenga na Lilian Nabukeera wakiongeza majina yao kwenye orodha ya wafungaji. Tanzania, katika mechi ya pili, iliishinda Burundi 1-0, kwa bao la pekee lililofungwa na Helena Mtundagi. Nahodha wa Uganda, Lilian Nabukeera, aliwashukuru wachezaji wenzake kwa kazi ngumu na kusema, “Tuna furaha kubwa kuwa mabingwa.” Washindi Tanzania na Uganda walipokea medali na vikombe wakati wa sherehe ya tuzo, pamoja na mfano wa hundi ya dola za Marekani 100,000. Timu ya wavulana ya Uganda na timu ya wasichana ya Tanzania walipata medali na mfano wa hundi ya dola 75,000 kila moja, huku Somalia na Burundi waliomaliza nafasi ya tatu wakipata medali na mfano wa hundi ya dola 50,000 kila mmoja. Mashindano haya ni hatua kubwa kwa maendeleo ya soka la shule barani Afrika. #sports #trending #socialpop [Mefa]
    Like
    Love
    2
    ·425 Views
  • . Ni mara tu baada ya klub Yanga kuonesha nia ya kuhitaji huduma ya mlinzi wa kati wa coastal Union, Lameck Elias Lawi(19), klub ya simba imeibua upya sakata lililomkabili mchezaji huyo ambaye hakuweza kujiunga na miamba hao wa msimbazi mwanzonibmwa msimu huu mara baada ya klub yake ya sasa coastal union kutia ngumu.

    Simba wameirudisha upya kesi hiyo na rasimi leo alhamisi 12/dec/2024 kamati ya sheria na hadhi za wachezaji imeanza kusikiliza tena kesi hiyo. #socialpop #sports #trending David Atto
    . Ni mara tu baada ya klub Yanga kuonesha nia ya kuhitaji huduma ya mlinzi wa kati wa coastal Union, Lameck Elias Lawi(19), klub ya simba imeibua upya sakata lililomkabili mchezaji huyo ambaye hakuweza kujiunga na miamba hao wa msimbazi mwanzonibmwa msimu huu mara baada ya klub yake ya sasa coastal union kutia ngumu. Simba wameirudisha upya kesi hiyo na rasimi leo alhamisi 12/dec/2024 kamati ya sheria na hadhi za wachezaji imeanza kusikiliza tena kesi hiyo. #socialpop #sports #trending [Mefa]
    Like
    2
    ·313 Views
  • Baba mkwe wa marioo Legend Majani akiwa kwenye maojiano na soggydoggy amefunguka kuwa Marioo hajalipa mahari ya binti yake na pia kuhusu watu kusema kwasasa marioo ndie msanii namba moja Tanzania.

    “Marioo sio msanii namba moja na bado hajalipa mahari ya binti yangu paula” — P Funk majani
    Baba mkwe wa marioo Legend Majani akiwa kwenye maojiano na soggydoggy amefunguka kuwa Marioo hajalipa mahari ya binti yake na pia kuhusu watu kusema kwasasa marioo ndie msanii namba moja Tanzania. “Marioo sio msanii namba moja na bado hajalipa mahari ya binti yangu paula” — P Funk majani😁
    Like
    1
    ·107 Views
  • Aliyewahi kuwa kocha wa klab ya YangaSc Cedric Kaze anarejea ndani ya klab hiyo.

    Cedric kaze anarejea kikosini humo kwa lengo la kuongeza nguvu kwenye benchi la Ufundi lililo chini ya Kocha Saed Ramovic,

    Muda wowote kuanzia sasa Kocha Kaze atawaaga wachezaji wa klab yake ya sasa ya Kaizer Chiefs na kuanza safari ya Kuja Tanzania kuanza majukumu yake mapya ndani ya waajiri wake wa zamani Young Africans.
    Aliyewahi kuwa kocha wa klab ya YangaSc Cedric Kaze anarejea ndani ya klab hiyo. Cedric kaze anarejea kikosini humo kwa lengo la kuongeza nguvu kwenye benchi la Ufundi lililo chini ya Kocha Saed Ramovic, Muda wowote kuanzia sasa Kocha Kaze atawaaga wachezaji wa klab yake ya sasa ya Kaizer Chiefs na kuanza safari ya Kuja Tanzania kuanza majukumu yake mapya ndani ya waajiri wake wa zamani Young Africans.
    Like
    1
    ·178 Views
  • || NANI AMEMTAMBUA HUYU MCHEZAJI_____?||
    || NANI AMEMTAMBUA HUYU MCHEZAJI_____?||
    Like
    1
    ·33 Views
  • ·51 Views
  • Wapendwa nawasalimu kwa jina la Bwana popote mlipo Tanzania,nawatakia asubuhi njema
    Wapendwa nawasalimu kwa jina la Bwana popote mlipo Tanzania,nawatakia asubuhi njema
    Like
    Love
    2
    ·68 Views