• 0 Commenti ·0 condivisioni ·40 Views
  • "Raha ya bao la dakika za mwisho liwe la ushindi sio kusawazisha…

    Wa" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC.

    "Raha ya bao la dakika za mwisho liwe la ushindi sio kusawazisha… Wa" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC.
    0 Commenti ·0 condivisioni ·108 Views
  • 0 Commenti ·0 condivisioni ·27 Views
  • Privaldinho amjibu Wilson Orumo, Mchambuzi.

    Hizi nazo ni porojo. Kusema mpira bila takwimu ni stori zenu za vijiwe vya kahawa huko. Wewe ni mmoja kati ya watu mashuhuri kwa takwimu zako. Leo hutaki takwimu kwa sababu utawaudhi maboss zako.

    Unataka tuchambue mpira kwa kutumia nini? Hisia?

    Mnapoteza credibility kwa sababu kuna kundi mnataka kuliridhisha huku mnadidimiza lingine.

    Hivi jana nani hakuona performance ya @jobdick05 ? Nani hakuona fighting spirit ya @auchokhalidofficial ? Jana Djigui Diarra kacheza na maumivu, Chama kacheza na maumivu ulitaka nini kwa hawa vijana?

    Mwalimu alifanya top analysis yake, kaleta vijana watatu kwenye mchezo, Aziz, Dube, Mzize na Chama and yes build up ya goli ilitokea kwake.

    Defence yetu ilikuwa proper and well organized jana, what a performance kutoka kwa Bacca na Yao. Kipindi cha pili no shot on target kutoka kwa Mazembe. Second half tulimanage mchezo kwa 61%.

    Dickson Job jana, tackles 4/4 (100%), aerial won 3/3 (100%), shot off target 2, hajapokonywa mpira, the most touches, ulitaka hawa vijana wafanye nini mechi ya away against semi finalist? Bro tumecheza na timu aliyofika nusu fainal msimu uliopita na sio mabinam zao Libolo

    Takwimu pekee tunazokataa ni takwimu za aina moja. But everything kwa upande wetu we did better katika eneo la ulinzi, tempo ya mchezo na kwenye attacking attributes.

    Second half tulipiga pasi 159 wao 88, tulipiga mashuti 14. Imagine ulitaka nini?

    Individual art Pacome was superb, Yao aliimgia mwenye boksi mara kibao, Duke Abuya what match kwake.

    Mnawatengenezea mashabiki wetu tension ya kijinga ilimradi muwape presha ili wavimba macho wawe kwenye comfortable zone.

    Mpira ni takwimu, art ni sehemu ndogo sana ya mpira wa kisasa.
    Privaldinho amjibu Wilson Orumo, Mchambuzi. Hizi nazo ni porojo. Kusema mpira bila takwimu ni stori zenu za vijiwe vya kahawa huko. Wewe ni mmoja kati ya watu mashuhuri kwa takwimu zako. Leo hutaki takwimu kwa sababu utawaudhi maboss zako. Unataka tuchambue mpira kwa kutumia nini? Hisia? Mnapoteza credibility kwa sababu kuna kundi mnataka kuliridhisha huku mnadidimiza lingine. Hivi jana nani hakuona performance ya @jobdick05 ? Nani hakuona fighting spirit ya @auchokhalidofficial ? Jana Djigui Diarra kacheza na maumivu, Chama kacheza na maumivu ulitaka nini kwa hawa vijana? Mwalimu alifanya top analysis yake, kaleta vijana watatu kwenye mchezo, Aziz, Dube, Mzize na Chama and yes build up ya goli ilitokea kwake. Defence yetu ilikuwa proper and well organized jana, what a performance kutoka kwa Bacca na Yao. Kipindi cha pili no shot on target kutoka kwa Mazembe. Second half tulimanage mchezo kwa 61%. Dickson Job jana, tackles 4/4 (100%), aerial won 3/3 (100%), shot off target 2, hajapokonywa mpira, the most touches, ulitaka hawa vijana wafanye nini mechi ya away against semi finalist? Bro tumecheza na timu aliyofika nusu fainal msimu uliopita na sio mabinam zao Libolo Takwimu pekee tunazokataa ni takwimu za aina moja. But everything kwa upande wetu we did better katika eneo la ulinzi, tempo ya mchezo na kwenye attacking attributes. Second half tulipiga pasi 159 wao 88, tulipiga mashuti 14. Imagine ulitaka nini? Individual art Pacome was superb, Yao aliimgia mwenye boksi mara kibao, Duke Abuya what match kwake. Mnawatengenezea mashabiki wetu tension ya kijinga ilimradi muwape presha ili wavimba macho wawe kwenye comfortable zone. Mpira ni takwimu, art ni sehemu ndogo sana ya mpira wa kisasa.
    Like
    1
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·206 Views
  • Like
    Love
    2
    · 1 Commenti ·0 condivisioni ·29 Views
  • Love
    1
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·38 Views
  • Wake up
    Pray
    eat
    carry your laptop
    and start your Cyber security carrier
    Don't wait untill next year. start now
    Wake up Pray eat carry your laptop and start your Cyber security carrier Don't wait untill next year. start now
    Like
    2
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·185 Views
  • Bitcoin saizi imepanda kiasi kwamba hakuna wakuweka kuishika na kama ulihold tangia zamani saizi wewe utakuwa unamiliki trillion za hela
    Bitcoin saizi imepanda kiasi kwamba hakuna wakuweka kuishika na kama ulihold tangia zamani saizi wewe utakuwa unamiliki trillion za hela
    #traviscroto#kelvinlauden#billionaremindset#bernaldpeter#paulswai#socialpop#dox#jeiva#intellectual_and_developmental_disability_ID@davidatto@omarhassan@abrahmanissa@social pop@drcharlestz@tr_croto
    Like
    1
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·91 Views
  • Like
    1
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·67 Views
  • KAULI YA JESHI LA POLISI VURUGU BAADA YA MECHI KATI YA SIMBA SC NA CS SFAXIEN

    Leo Desemba 15, 2024 majira ya saa 11. 50 jioni katika Uwanja wa Benjamin William Mkapa Temeke Dar es salaam kwenye mchezo wa mpira wa miguu wa kimataifa wa kombe la Shirikisho Afrika kati ya timu ya Simba ya Tanzania na CS SFAXIEN ya Tunisia kulitokea fujo iliyosababishwa na mashabiki wa Timu ya CS SFAXIEN kutoridhika na maamuzi ya refa wa mchezo huo kuchezesha mechi hiyo kwa zaidi ya dakika saba ambazo aliziongeza kama dakika za nyongeza jambo lililo pelekea timu ya Simba kupata goli la pili na la ushindi.

    Kwa Mujibu wa Taarifa ya Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro, Wachezaji wa ndani ya uwanja na "benchi" la ufundi la timu ya CS SFAXIEN walikasirika, wakamfuata mwamuzi wa mchezo na kuanza kufanya vitendo vya kumshambulia.

    Katika fujo hizo shabiki mmoja wa timu ya CS SFAXIEN aliumia na kupatiwa huduma ya kwanza na kuruhusiwa, huku viti vya rangi ya blue 156 na Orange 100 viling’olewa na mashabiki hao.

    "Jeshi la Polisi litashirikiana na mamlaka zingine za kisheria na soka kuona hatua za kuchukua dhidi ya vitendo hivyo ambavyo havikubaliki" Taarifa hiyo imeeleza.

    #neliudcosiah
    KAULI YA JESHI LA POLISI VURUGU BAADA YA MECHI KATI YA SIMBA SC NA CS SFAXIEN Leo Desemba 15, 2024 majira ya saa 11. 50 jioni katika Uwanja wa Benjamin William Mkapa Temeke Dar es salaam kwenye mchezo wa mpira wa miguu wa kimataifa wa kombe la Shirikisho Afrika kati ya timu ya Simba ya Tanzania na CS SFAXIEN ya Tunisia kulitokea fujo iliyosababishwa na mashabiki wa Timu ya CS SFAXIEN kutoridhika na maamuzi ya refa wa mchezo huo kuchezesha mechi hiyo kwa zaidi ya dakika saba ambazo aliziongeza kama dakika za nyongeza jambo lililo pelekea timu ya Simba kupata goli la pili na la ushindi. Kwa Mujibu wa Taarifa ya Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro, Wachezaji wa ndani ya uwanja na "benchi" la ufundi la timu ya CS SFAXIEN walikasirika, wakamfuata mwamuzi wa mchezo na kuanza kufanya vitendo vya kumshambulia. Katika fujo hizo shabiki mmoja wa timu ya CS SFAXIEN aliumia na kupatiwa huduma ya kwanza na kuruhusiwa, huku viti vya rangi ya blue 156 na Orange 100 viling’olewa na mashabiki hao. "Jeshi la Polisi litashirikiana na mamlaka zingine za kisheria na soka kuona hatua za kuchukua dhidi ya vitendo hivyo ambavyo havikubaliki" Taarifa hiyo imeeleza. #neliudcosiah
    Like
    3
    · 4 Commenti ·0 condivisioni ·160 Views