• shangwe la mashabiki wa mnyama

    Hali yako ilikuwaje baada ya goli kufungwa? #paulswai
    shangwe la mashabiki wa mnyama Hali yako ilikuwaje baada ya goli kufungwa? #paulswai
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·284 Views
  • Bodi ya Ligi Kuu imefanya maboresho ya ratiba ya michezo yetu miwili.

    • Mchezo dhidi ya Singida Big Stars ambao awali haukupangiwa tarehe sasa utachezwa Disemba 28, 2024 kwenye Uwanja wa Liti mkoani Singida.

    • Mchezo dhidi ya Tabora United ambao ulipangwa kuchezwa Disemba 28, 2024 kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora umeondolewa na utapangiwa tarehe mpya.

    #paulswai
    ℹ️ Bodi ya Ligi Kuu imefanya maboresho ya ratiba ya michezo yetu miwili. • Mchezo dhidi ya Singida Big Stars ambao awali haukupangiwa tarehe sasa utachezwa Disemba 28, 2024 kwenye Uwanja wa Liti mkoani Singida. • Mchezo dhidi ya Tabora United ambao ulipangwa kuchezwa Disemba 28, 2024 kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora umeondolewa na utapangiwa tarehe mpya. #paulswai
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·303 Views
  • SIMBA KUCHUKULIWA HATUA KUTOKANA NA KUHUSIKA NA VURUGU NA UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU YA UWANJA WA TAIFA
    SIMBA KUCHUKULIWA HATUA KUTOKANA NA KUHUSIKA NA VURUGU NA UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU YA UWANJA WA TAIFA
    Love
    Like
    3
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·309 Views
  • .Dear Customer your ATM Card has been BL0CKED because you have NoT updated yet. If you want to keep using your ATM card please Call our number at ..92146993


    Ndugu zangu mkipata message hiyo hapo juu
    msiwapigie, ni *waongo na wezi*
    usitoe maelezo yako ya bank wala ATM CARD YAKO YA BANK !

    WATUMIE WENGINE MESSAGE HII WASIOJUA, WASIJE KUIBIWA PESA ZAO !
    .Dear Customer your ATM Card has been BL0CKED because you have NoT updated yet. If you want to keep using your ATM card please Call our number at ..92146993 Ndugu zangu mkipata message hiyo hapo juu msiwapigie, ni *waongo na wezi* usitoe maelezo yako ya bank wala ATM CARD YAKO YA BANK ! WATUMIE WENGINE MESSAGE HII WASIOJUA, WASIJE KUIBIWA PESA ZAO !
    Like
    Love
    4
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·802 Views
  • TUNAANZIA HAPA
    TUNAANZIA HAPA
    Love
    Like
    3
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·170 Views
  • Vurugu za Mashabiki wa Klabu ya CS Sfaxien, waking'oa viti na kuwashambulia mashabiki wa Klabu ya Simba.
    Vurugu za Mashabiki wa Klabu ya CS Sfaxien, waking'oa viti na kuwashambulia mashabiki wa Klabu ya Simba.
    Love
    Like
    3
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·175 Views
  • Like
    Love
    4
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·172 Views ·23
  • . CAF AWARDS LIVE UPDATES

    [12/16, 20:39]

    *YOUNG PLAYER OF THE YEAR (WOMEN)* :
    Doha El Madani (Morocco / AS FAR)

    [12/16, 20:40]
    *YOUNG PLAYER OF THE YEAR (MEN)* :
    Lamine Camara (Senegal / AS Monaco)

    [12/16, 20:40] *NATIONAL TEAM OF THE YEAR (WOMEN)* :
    Nigeria

    *NATIONAL TEAM OF THE YEAR (MEN)* :
    Ivory Coast
    [12/16, 21:11]

    *CLUB OF THE YEAR (MEN)* :
    Al Ahly (Egypt)
    [12/16, 21:12]

    *CLUB OF THE YEAR (WOMEN)* :
    TP Mazembe (DR Congo)

    [12/16, 21:12] *INTERCLUB PLAYER OF THE YEAR (MEN)*
    Ronwen Williams (South Africa / Mamelodi Sundowns)
    [12/16, 21:13]

    *INTERCLUB PLAYER OF THE YEAR (WOMEN)*
    Sanaâ Mssoudy (Morocco / AS FAR)
    [12/16, 21:15]

    *GOALKEEPER OF THE YEAR (WOMEN)*
    Chiamaka Nnadozie (Nigeria / Paris FC)
    [12/16, 21:28]

    *GOALKEEPER OF THE YEAR (MEN)*
    Ronwen Williams (South Africa / Mamelodi Sundowns)
    .🌟 CAF AWARDS LIVE UPDATES 🌟 [12/16, 20:39] *YOUNG PLAYER OF THE YEAR (WOMEN)* : Doha El Madani (Morocco / AS FAR) [12/16, 20:40] *YOUNG PLAYER OF THE YEAR (MEN)* : Lamine Camara (Senegal / AS Monaco) [12/16, 20:40] *NATIONAL TEAM OF THE YEAR (WOMEN)* : Nigeria *NATIONAL TEAM OF THE YEAR (MEN)* : Ivory Coast [12/16, 21:11] *CLUB OF THE YEAR (MEN)* : Al Ahly (Egypt) [12/16, 21:12] *CLUB OF THE YEAR (WOMEN)* : TP Mazembe (DR Congo) [12/16, 21:12] *INTERCLUB PLAYER OF THE YEAR (MEN)* Ronwen Williams (South Africa / Mamelodi Sundowns) [12/16, 21:13] *INTERCLUB PLAYER OF THE YEAR (WOMEN)* Sanaâ Mssoudy (Morocco / AS FAR) [12/16, 21:15] *GOALKEEPER OF THE YEAR (WOMEN)* Chiamaka Nnadozie (Nigeria / Paris FC) [12/16, 21:28] *GOALKEEPER OF THE YEAR (MEN)* Ronwen Williams (South Africa / Mamelodi Sundowns)
    Love
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·906 Views
  • Like
    Love
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·193 Views
  • Kocha Fadlu kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Ken Gold.

    #paulswai
    Kocha Fadlu kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Ken Gold. #paulswai
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·171 Views