Upgrade to Pro

  • Like
    2
    ·27 Views
  • Love
    Like
    3
    ·90 Views ·22 Views
  • UNAONA NINI?
    UNAONA NINI?
    Like
    Love
    Haha
    6
    ·90 Views
  • ·62 Views
  • Mshambuliaji Prince Dube ,amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii.
    .
    Dube ambaye hajawa na msimu bora tangu ajiunge na Yanga amejiondoa mjini Instagram na bila shaka ameamua kujiweka kando ili kuepuka presha ya mashabiki ya mitandaoni.
    .
    Je uamuzi huu utamsaidia Dube ?
    Mshambuliaji Prince Dube ,amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii. . Dube ambaye hajawa na msimu bora tangu ajiunge na Yanga amejiondoa mjini Instagram na bila shaka ameamua kujiweka kando ili kuepuka presha ya mashabiki ya mitandaoni. . Je uamuzi huu utamsaidia Dube ?
    Like
    2
    ·82 Views
  • Kauli ya Jeshi la Polisi

    Jana, Desemba 15, 2024 majira ya saa 11:50 jioni katika Uwanja wa Benjamin William Mkapa Temeke Dar es salaam kwenye mchezo wa mpira wa miguu wa kimataifa wa kombe la Shirikisho Afrika kati ya timu ya Simba ya Tanzania na CS SFAXIEN ya Tunisia kulitokea fujo iliyosababishwa na mashabiki wa Timu ya CS SFAXIEN kutoridhika na maamuzi ya refa wa mchezo huo kuchezesha mechi hiyo kwa zaidi ya dakika saba ambazo aliziongeza kama dakika za nyongeza jambo lililo pelekea timu ya Simba kupata goli la pili na la ushindi.

    Kwa Mujibu wa Taarifa ya Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro, Wachezaji wa ndani ya uwanja na “benchi” la ufundi la timu ya CS SFAXIEN walikasirika, wakamfuata mwamuzi wa mchezo na kuanza kufanya vitendo vya kumshambulia.

    Katika fujo hizo shabiki mmoja wa timu ya CS SFAXIEN aliumia na kupatiwa huduma ya kwanza na kuruhusiwa, huku viti vya rangi ya blue 156 na Orange 100 viling’olewa na mashabiki hao.

    “Jeshi la Polisi litashirikiana na mamlaka zingine za kisheria na soka kuona hatua za kuchukua dhidi ya vitendo hivyo ambavyo havikubaliki” Taarifa hiyo imeeleza.

    Kauli ya Jeshi la Polisi Jana, Desemba 15, 2024 majira ya saa 11:50 jioni katika Uwanja wa Benjamin William Mkapa Temeke Dar es salaam kwenye mchezo wa mpira wa miguu wa kimataifa wa kombe la Shirikisho Afrika kati ya timu ya Simba ya Tanzania na CS SFAXIEN ya Tunisia kulitokea fujo iliyosababishwa na mashabiki wa Timu ya CS SFAXIEN kutoridhika na maamuzi ya refa wa mchezo huo kuchezesha mechi hiyo kwa zaidi ya dakika saba ambazo aliziongeza kama dakika za nyongeza jambo lililo pelekea timu ya Simba kupata goli la pili na la ushindi. Kwa Mujibu wa Taarifa ya Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro, Wachezaji wa ndani ya uwanja na “benchi” la ufundi la timu ya CS SFAXIEN walikasirika, wakamfuata mwamuzi wa mchezo na kuanza kufanya vitendo vya kumshambulia. Katika fujo hizo shabiki mmoja wa timu ya CS SFAXIEN aliumia na kupatiwa huduma ya kwanza na kuruhusiwa, huku viti vya rangi ya blue 156 na Orange 100 viling’olewa na mashabiki hao. “Jeshi la Polisi litashirikiana na mamlaka zingine za kisheria na soka kuona hatua za kuchukua dhidi ya vitendo hivyo ambavyo havikubaliki” Taarifa hiyo imeeleza.
    Love
    1
    ·94 Views
  • Like
    1
    ·31 Views
  • Nyota wa mchezo wa leo, Kibu D akizungumzia ushindi wa leo ambao amehusika kwa kufunga magoli mawili.

    #paulswai
    Nyota wa mchezo wa leo, Kibu D akizungumzia ushindi wa leo ambao amehusika kwa kufunga magoli mawili. #paulswai
    Like
    1
    ·76 Views ·16 Views
  • shangwe la mashabiki wa mnyama

    Hali yako ilikuwaje baada ya goli kufungwa? #paulswai
    shangwe la mashabiki wa mnyama Hali yako ilikuwaje baada ya goli kufungwa? #paulswai
    Like
    1
    ·160 Views
  • Bodi ya Ligi Kuu imefanya maboresho ya ratiba ya michezo yetu miwili.

    • Mchezo dhidi ya Singida Big Stars ambao awali haukupangiwa tarehe sasa utachezwa Disemba 28, 2024 kwenye Uwanja wa Liti mkoani Singida.

    • Mchezo dhidi ya Tabora United ambao ulipangwa kuchezwa Disemba 28, 2024 kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora umeondolewa na utapangiwa tarehe mpya.

    #paulswai
    ℹ️ Bodi ya Ligi Kuu imefanya maboresho ya ratiba ya michezo yetu miwili. • Mchezo dhidi ya Singida Big Stars ambao awali haukupangiwa tarehe sasa utachezwa Disemba 28, 2024 kwenye Uwanja wa Liti mkoani Singida. • Mchezo dhidi ya Tabora United ambao ulipangwa kuchezwa Disemba 28, 2024 kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora umeondolewa na utapangiwa tarehe mpya. #paulswai
    Like
    1
    ·151 Views