نتائج البحث
عرض كل النتائج
Socialpop Socialpop Socialpop
الرئيسية
المجموعات
الصفحات
سوق المنتجات
شاهد المزيد
المجموعات الصفحات سوق المنتجات المناسبات المدونات التمويل مفاوضاتي وظائف Courses المنتديات الافلام
انضم إلينا
تسجيل الدخول تسجيل
Theme Switcher
الوضع المظلم
الدليل
المستخدمون
المنشورات
الصفحات
المجموعات
المناسبات
  • Park Joseph @Parkinho أضاف صورة
    2025-01-02 19:37:22 ·
    Huyu mdada kwenye wrong house alicheza kama mrembo babu kishoka movie nzuri sana ile horror movie
    Huyu mdada kwenye wrong house alicheza kama mrembo babu kishoka movie nzuri sana ile horror movie☠️
    Like
    Love
    2
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·980 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • David Atto @Mefa أضاف فيديو in عام
    2025-01-02 20:23:16 ·
    Like
    Love
    Haha
    6
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·314 مشاهدة ·120
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Papillon Tz @PapillonTz9 أضاف صورة
    2025-01-02 21:10:28 ·
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·141 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Papillon Tz @PapillonTz9 أضاف صورة
    2025-01-02 21:11:15 ·
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·143 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Papillon Tz @PapillonTz9 أضاف صورة
    2025-01-02 21:11:32 ·
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·140 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Papillon Tz @PapillonTz9 أضاف صورة
    2025-01-02 21:11:51 ·
    "Kunipata katika picha nimevaa jezi ya Simba SC ni mara chache sana kipindi kile. Lakini leo hata nikiwa nyumbani huwa navaa jezi za Yanga SC. Ikiwa inacheza ndiyo lazima nivae. Siwezi kutazama mechi ya Yanga SC hivi sasa bila kuvaa jezi. Nimejiwekea utamaduni huu na hii ni kama imani kuwa nikivaa jezi tunashinda. Nimetazama mechi ya Tabora United bila kuvaa jezi tukafungwa mabao 3-1" - Haji Manara

    "Kunipata katika picha nimevaa jezi ya Simba SC ni mara chache sana kipindi kile. Lakini leo hata nikiwa nyumbani huwa navaa jezi za Yanga SC. Ikiwa inacheza ndiyo lazima nivae. Siwezi kutazama mechi ya Yanga SC hivi sasa bila kuvaa jezi. Nimejiwekea utamaduni huu na hii ni kama imani kuwa nikivaa jezi tunashinda. Nimetazama mechi ya Tabora United bila kuvaa jezi tukafungwa mabao 3-1" - Haji Manara
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·456 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • ECHO NOVEMBER @Bonge1 أضاف صورة
    2025-01-02 22:12:53 ·
    Like
    Haha
    2
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·264 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Abdul Mbonde @Abdul_09 شارك David Atto فيديو
    2025-01-03 05:25:21 ·
    David Atto @Mefa أضاف فيديو in عام
    2024-12-30 21:13:26 ·
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·264 مشاهدة ·109
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Duduu Mendez @Duduu_mendez شارك رابطًا
    2025-01-03 06:34:56 ·
    Become Real MEMBER

    https://mendez-website.vercel.app/
    Become Real MEMBER https://mendez-website.vercel.app/
    mendez-website.vercel.app
    Like
    Haha
    2
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·328 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • ECHO NOVEMBER @Bonge1
    2025-01-03 07:31:09 ·
    MABADILIKO NI MZIZI WA MAISHA

    "Mabadiliko ni kiini cha maisha; kitu pekee ambacho kinabaki bila kubadilika ni sheria ya mabadiliko" Heraclitus

    Asili ya kila kitu kinabadilika,wale tuliokuwa 2024 sio ambao tutakuwa 2025, kwasababu hata wewe ukikataa kubadilika bado utabadilika kwa namna ya kiasili

    Ulimwengu unapo yaendea mabadiliko ya kiasili unahitaji kujiboresha, unahitaji kuwaonesha watu taswira ya jinsi ya kuufanya uwe sehemu bora ya wengine kuishi, kuna wakati tunabadilika ili kuboresha na pia tuna badilika ili kutengeneza uwili wa maisha

    Maisha yanatuambia ni vigumu kuyagusa maji ya mto mara mbili yalio katika mtiririko hivyo kwakua maji yanasonga nasi tunahitajika kusonga, miaka inaongezeka kuonesha jinsi gani tunahitajika kujiboresha

    Matukio,watu na mawazo katika maisha ni sawa mtiririko wa maji hivyo badala ya kung'ang'ania yaliyopita, ni wakati wa kujifunza jinsi ya kukumbatia mabadiliko yasiyoepukika ambayo maisha hutupa

    Anasema Anatole ""Mtu kamwe asipoteze muda katika kujutia bure yaliyopita au katika kulalamika dhidi ya mabadiliko ambayo yanatuletea usumbufu, kwa maana mabadiliko ndio kiini cha maisha."

    Mwaka umebadilika , kuna mambo ambayo hatutaweza kuyabadilisha lakini kwaye ni sisi tutahitajika kujidhibiti kwa kubadilika namna ya kuyakabili, hatuwezi kubadilisha kwakua ni nje ya uwezo wetu lakini tunaweza kubadilisha namna ya kukabili kwasababu ipo ndani ya uwezo wetu

    Kadiri tunavyokubali mabadiliko yanapotokea, ndivyo tunavyozidi kupunguza woga, na kuwa makini na kufahamu mawazo na hisia zetu tunaongeza hali kujiamini na kusadiki kwamba tutakuwa sawa mambo yanapobadilika. Mabadiliko daima yatakuwa, mara kwa mara katika maisha yetu.

    Sekomba Ngovi
    MABADILIKO NI MZIZI WA MAISHA "Mabadiliko ni kiini cha maisha; kitu pekee ambacho kinabaki bila kubadilika ni sheria ya mabadiliko" Heraclitus Asili ya kila kitu kinabadilika,wale tuliokuwa 2024 sio ambao tutakuwa 2025, kwasababu hata wewe ukikataa kubadilika bado utabadilika kwa namna ya kiasili Ulimwengu unapo yaendea mabadiliko ya kiasili unahitaji kujiboresha, unahitaji kuwaonesha watu taswira ya jinsi ya kuufanya uwe sehemu bora ya wengine kuishi, kuna wakati tunabadilika ili kuboresha na pia tuna badilika ili kutengeneza uwili wa maisha Maisha yanatuambia ni vigumu kuyagusa maji ya mto mara mbili yalio katika mtiririko hivyo kwakua maji yanasonga nasi tunahitajika kusonga, miaka inaongezeka kuonesha jinsi gani tunahitajika kujiboresha Matukio,watu na mawazo katika maisha ni sawa mtiririko wa maji hivyo badala ya kung'ang'ania yaliyopita, ni wakati wa kujifunza jinsi ya kukumbatia mabadiliko yasiyoepukika ambayo maisha hutupa Anasema Anatole ""Mtu kamwe asipoteze muda katika kujutia bure yaliyopita au katika kulalamika dhidi ya mabadiliko ambayo yanatuletea usumbufu, kwa maana mabadiliko ndio kiini cha maisha." Mwaka umebadilika , kuna mambo ambayo hatutaweza kuyabadilisha lakini kwaye ni sisi tutahitajika kujidhibiti kwa kubadilika namna ya kuyakabili, hatuwezi kubadilisha kwakua ni nje ya uwezo wetu lakini tunaweza kubadilisha namna ya kukabili kwasababu ipo ndani ya uwezo wetu Kadiri tunavyokubali mabadiliko yanapotokea, ndivyo tunavyozidi kupunguza woga, na kuwa makini na kufahamu mawazo na hisia zetu tunaongeza hali kujiamini na kusadiki kwamba tutakuwa sawa mambo yanapobadilika. Mabadiliko daima yatakuwa, mara kwa mara katika maisha yetu. Sekomba Ngovi
    Love
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·384 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • عرض (20311-20320 من 28204)
  • «
  • السابق
  • 2030
  • 2031
  • 2032
  • 2033
  • 2034
  • التالي
  • »
ترقية الحساب
اختر الخطة التي تناسبك
ترقية
© 2025 Socialpop
Arabic
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
الشروط الخصوصية اتصل بنا الدليل المطوريين