• Ni tetesi

    Kupitia Rais wa heshima na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurungezi wa klabu ya Simba SC, Mohamed Dewji wametuma ofa ya dola laki tatu (300,000) ambazo ni zaidi ya Shilingi milioni (730) za Kitanzania pamoja Mlinda lango wao Aishi Manula kwa klabu ya Azam FC ili kumhitaji Feisal Salum "Fei Toto".

    NB : Dola laki tatu + Aishi Manula = Fei Toto?

    Ni tetesi Kupitia Rais wa heshima na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurungezi wa klabu ya Simba SC, Mohamed Dewji wametuma ofa ya dola laki tatu (300,000) ambazo ni zaidi ya Shilingi milioni (730) za Kitanzania pamoja Mlinda lango wao Aishi Manula kwa klabu ya Azam FC ili kumhitaji Feisal Salum "Fei Toto". NB : Dola laki tatu + Aishi Manula = Fei Toto?
    0 Kommentare ·0 Anteile ·268 Ansichten
  • "Kiuhalisia mimi napenda sana kujichu@ kuliko kufanya mapenz! na mwanamke, kwasababu naamini ni salama zaidi lakini inaniepusha na mambo mengi"- Baba Levo, Msanii wa muziki na Mtangazaji.

    "Kiuhalisia mimi napenda sana kujichu@ kuliko kufanya mapenz! na mwanamke, kwasababu naamini ni salama zaidi lakini inaniepusha na mambo mengi"- Baba Levo, Msanii wa muziki na Mtangazaji.
    0 Kommentare ·0 Anteile ·647 Ansichten
  • 0 Kommentare ·0 Anteile ·126 Ansichten
  • Mpaka sasa hakuna mawasiliano rasmi juu ya uhamisho wa kiungo Feisal Salum ambae amebakisha mwaka mmoja na nusu na Azam fc.

    Taarifa za kuaminika kabisa zinaeleza kuwa namna pekee ya Feisal kuondoka Azam ni kumaliza mkataba au kuuzwa kwa zaid ya 1B kwa klabu ya Tanzania .

    Klabu yake ya zamani Yanga itapata asilimia zisizo pungua 25% kutokana na mauzo hayo iwapo itapatikana klabu ya nje ya Tanzania na Azam fc itapaswa kuilipa Yanga 1B iwapo mchezaji huyo atauzwa ndani ya Tanzania au kwenda mkopo ndani ya nchi.

    Ni kweli Kaizer chiefs wameulizia upatikanaji wa kiungo huyo lakini bado hawaja wasilisha ofa yao.
    (George Job)

    Mpaka sasa hakuna mawasiliano rasmi juu ya uhamisho wa kiungo Feisal Salum ambae amebakisha mwaka mmoja na nusu na Azam fc. Taarifa za kuaminika kabisa zinaeleza kuwa namna pekee ya Feisal kuondoka Azam ni kumaliza mkataba au kuuzwa kwa zaid ya 1B kwa klabu ya Tanzania 🇹🇿. Klabu yake ya zamani Yanga itapata asilimia zisizo pungua 25% kutokana na mauzo hayo iwapo itapatikana klabu ya nje ya Tanzania na Azam fc itapaswa kuilipa Yanga 1B iwapo mchezaji huyo atauzwa ndani ya Tanzania au kwenda mkopo ndani ya nchi. Ni kweli Kaizer chiefs wameulizia upatikanaji wa kiungo huyo lakini bado hawaja wasilisha ofa yao. (George Job)
    0 Kommentare ·0 Anteile ·177 Ansichten
  • Klabu za Afrika zilizofunga idadi kubwa ya mabao katika Ligi Kuu zao, Makombe ya Ligi na michuano ya Afrika kwa ngazi ya klabu.

    3. Yanga SC: 102
    8. Simba SC: 82

    Klabu za Afrika zilizofunga idadi kubwa ya mabao katika Ligi Kuu zao, Makombe ya Ligi na michuano ya Afrika kwa ngazi ya klabu. 3. Yanga SC: 102 8. Simba SC: 82
    0 Kommentare ·0 Anteile ·157 Ansichten
  • Like
    Love
    5
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·302 Ansichten ·145
  • Huyu mdada kwenye wrong house alicheza kama mrembo babu kishoka movie nzuri sana ile horror movie
    Huyu mdada kwenye wrong house alicheza kama mrembo babu kishoka movie nzuri sana ile horror movie☠️
    Like
    Love
    2
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·801 Ansichten
  • Like
    Love
    Haha
    6
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·304 Ansichten ·120
  • 0 Kommentare ·0 Anteile ·129 Ansichten
  • 0 Kommentare ·0 Anteile ·131 Ansichten