Αναζήτηση αποτελεσμάτων
Δες όλα τα αποτελέσματα
Socialpop Socialpop Socialpop
Κεντρική Σελίδα
Ομάδες
Σελίδες
Marketplace
δες περισσότερα..
Ομάδες Σελίδες Marketplace Events Blogs Χρηματοδότηση Προσφορές Εργασίες Courses Forum Ταινίες
Γίνε Μέλος
Σύνδεση Εγγραφή
Theme Switcher
Night Mode
Κατάλογος
Χρήστες
Δημοσιεύσεις
Σελίδες
Ομάδες
Events
  • Kelvin John @Jumae πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-01-13 15:42:08 ·
    Wewe
    Wewe 😂😂
    Like
    2
    · 1 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·145 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Iddy Omary @Iddy_Omary was live
    2025-01-13 17:21:15 ·
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·363 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Iddy Omary @Iddy_Omary was live
    2025-01-13 17:21:38 ·
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·384 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Raymond Stephen @Proxy
    2025-01-13 17:35:04 ·
    Dunia imetufunza adabu, kupitia kwa wale ambao ni favourite kwetu.

    Somo la maumivu, sisi tulifundishwa na wale tuliojua wanatupenda sana..

    Ili kuelewa moyo unaumaje, tulielekezwa na wale tusiowadhania hata kidogo..

    Ni kama wafiwa tuliofutwa machozi, kwa kutumia kanga ya marehemu.

    Huzuni zetu hazikutoka mbali, wala kilio chetu hakikusababishwa na wageni.

    Ni wale wale tuliowahadithia yanayotukabili, tukijua
    wana dawa ya upweke wetu..

    Msiite ni ugonjwa wa kujitakia, imani yetu ilikuwa kubwa kuliko matarajio..

    Msituite wabinafsi, kwa sababu tumechagua kujitibuwenyewe vidonda vyetu..

    Kwenye maisha yenu mmetupoteza vibaya sana,mtuelewe..
    NINJA..


    Dunia imetufunza adabu, kupitia kwa wale ambao ni favourite kwetu. Somo la maumivu, sisi tulifundishwa na wale tuliojua wanatupenda sana.. Ili kuelewa moyo unaumaje, tulielekezwa na wale tusiowadhania hata kidogo.. Ni kama wafiwa tuliofutwa machozi, kwa kutumia kanga ya marehemu. Huzuni zetu hazikutoka mbali, wala kilio chetu hakikusababishwa na wageni. Ni wale wale tuliowahadithia yanayotukabili, tukijua wana dawa ya upweke wetu.. Msiite ni ugonjwa wa kujitakia, imani yetu ilikuwa kubwa kuliko matarajio.. Msituite wabinafsi, kwa sababu tumechagua kujitibuwenyewe vidonda vyetu.. Kwenye maisha yenu mmetupoteza vibaya sana,mtuelewe.. NINJA..
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·732 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Raymond Stephen @Proxy
    2025-01-13 18:11:29 ·
    Karibu kwenye huu usiku, wewe unaeamini kukosa
    kwako ni bahati mbaya, njoo ukutane na kundi kubwa la
    wenzio nyakati hizi.

    Wale waliorudi kama walivyoenda, hawana chochote
    zaidi ya tabasamu, Iinalomaanisha kesho wataenda
    tena..

    Njoo kwenye huu usiku wetu, usife moyo, kesho
    haiwezi kuwa kama leo, be brave..


    Karibu kwenye huu usiku, wewe unaeamini kukosa kwako ni bahati mbaya, njoo ukutane na kundi kubwa la wenzio nyakati hizi. Wale waliorudi kama walivyoenda, hawana chochote zaidi ya tabasamu, Iinalomaanisha kesho wataenda tena.. Njoo kwenye huu usiku wetu, usife moyo, kesho haiwezi kuwa kama leo, be brave..
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·203 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Papillon Tz @PapillonTz9 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-01-13 18:13:17 ·
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·106 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Papillon Tz @PapillonTz9 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-01-13 18:13:42 ·
    Haha
    1
    · 1 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·120 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Papillon Tz @PapillonTz9 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-01-13 18:14:07 ·
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·122 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • NELIUD COSIAH @nelly2020 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-01-13 19:07:29 ·
    MOYO SAFI WA SADIO MANÉ NDIO SILAHA YA MAFANIKIO YAKE.

    Sadio Mané amesaidia mambo mengi sana katika Kijiji alichotoka mara Baada ya kupata mafanikio katika soka.

    Sadio Mané amezaliwa katika Kijiji Cha Bambali nchini Senegal,amekulia huko na wanakijiji wengi walimsapoti na kumuombea sana Dua za mafanikio kipindi anaenda rasmi ulaya kujaribu bahati yake katika kazi ya kucheza mpira wa miguu.

    Mungu Si Athumani wala Mzee Nkumilwa kijana akatoboa na maisha yakaanza kuwa safi kwa upande wake,lakini pamoja na yote hakuwasahau watu waliomfanya awe hapo Leo.

    Alianza kukata fungu kwenye Kila mshahara wake wa mwezi kwa ajili ya kusaidia Kijiji chake kutoka kuwa Cha kimasikini mpaka kuwa Cha maisha ya kati kabla ya kuwa Cha kitajiri kabisa.

    Baadae zile pesa alizokuwa anahifadhi kutoka kwenye Kila mshahara wake zilianza kufanya kazi vyema na kufanikisha kukamklisha vitu vifuatavyo:

    1. Alijenga hospital yenye thamani ya €530K sawa na pesa za kitanzania Billion Moja,million mia tatu sabini na mbili,laki tano na Elfu tisini na nne.

    2. Alijenga Shule yenye thamani ya €270K sawa na pesa za kitanzania Million mia sita tisa tisa,laki mbili na Elfu Arobaini na sita.

    3. Pia huwa anatoa kiasi Cha €70 Kwa Kila kaya iliyopo Katika Kijiji hicho kwa mwezi ambayo ni sawa na pesa za kitanzania Laki moja,Elfu themanini na Moja,mia mbili themanini na sita.

    4. Kutoa nguo za bure Kwa watoto wote waliopo ndani ya Kijiji hicho.

    5. Kufanikisha kupeleka internet yenye Kasi ya 4G katika Kijiji hicho.

    6. Kufanikisha kupeleka vituo vya gas katika Kijiji hicho akishirikiana na kampuni ya Oryx.

    7. Kajenga uwanja wa soka pia.

    NDIO MAANA ANAFANIKIWA KILA ANAPOENDA HATA KAMA AKISEMEWA MABAYA KUNA WENGI WAPO NYUMA YAKE WANAMUOMBEA MEMA

    #neliudcosiah
    MOYO SAFI WA SADIO MANÉ NDIO SILAHA YA MAFANIKIO YAKE. Sadio Mané amesaidia mambo mengi sana katika Kijiji alichotoka mara Baada ya kupata mafanikio katika soka. Sadio Mané amezaliwa katika Kijiji Cha Bambali nchini Senegal,amekulia huko na wanakijiji wengi walimsapoti na kumuombea sana Dua za mafanikio kipindi anaenda rasmi ulaya kujaribu bahati yake katika kazi ya kucheza mpira wa miguu. Mungu Si Athumani wala Mzee Nkumilwa kijana akatoboa na maisha yakaanza kuwa safi kwa upande wake,lakini pamoja na yote hakuwasahau watu waliomfanya awe hapo Leo. Alianza kukata fungu kwenye Kila mshahara wake wa mwezi kwa ajili ya kusaidia Kijiji chake kutoka kuwa Cha kimasikini mpaka kuwa Cha maisha ya kati kabla ya kuwa Cha kitajiri kabisa. Baadae zile pesa alizokuwa anahifadhi kutoka kwenye Kila mshahara wake zilianza kufanya kazi vyema na kufanikisha kukamklisha vitu vifuatavyo: 1. Alijenga hospital yenye thamani ya €530K sawa na pesa za kitanzania Billion Moja,million mia tatu sabini na mbili,laki tano na Elfu tisini na nne. 2. Alijenga Shule yenye thamani ya €270K sawa na pesa za kitanzania Million mia sita tisa tisa,laki mbili na Elfu Arobaini na sita. 3. Pia huwa anatoa kiasi Cha €70 Kwa Kila kaya iliyopo Katika Kijiji hicho kwa mwezi ambayo ni sawa na pesa za kitanzania Laki moja,Elfu themanini na Moja,mia mbili themanini na sita. 4. Kutoa nguo za bure Kwa watoto wote waliopo ndani ya Kijiji hicho. 5. Kufanikisha kupeleka internet yenye Kasi ya 4G katika Kijiji hicho. 6. Kufanikisha kupeleka vituo vya gas katika Kijiji hicho akishirikiana na kampuni ya Oryx. 7. Kajenga uwanja wa soka pia. NDIO MAANA ANAFANIKIWA KILA ANAPOENDA HATA KAMA AKISEMEWA MABAYA KUNA WENGI WAPO NYUMA YAKE WANAMUOMBEA MEMA ♥️📌 #neliudcosiah
    Like
    2
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·839 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • NELIUD COSIAH @nelly2020 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-01-13 19:08:43 ·
    Ni kweli Khalid Aucho anaongoza kucheza faulo nyingi but jana kacheza technically faulo ambazo zimesaidia kuibeba Yanga kwenye mchezo dhidi ya Al Hilal, kwa bahati mbaya umri wake unaenda but kwa miaka mitatu kaonyesha ubora wa hali ya juu

    #neliudcosiah
    Ni kweli Khalid Aucho anaongoza kucheza faulo nyingi but jana kacheza technically faulo ambazo zimesaidia kuibeba Yanga kwenye mchezo dhidi ya Al Hilal, kwa bahati mbaya umri wake unaenda but kwa miaka mitatu kaonyesha ubora wa hali ya juu #neliudcosiah
    Like
    2
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·803 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Δείχνουμε (20861-20870 από 27998)
  • «
  • Προηγούμενο
  • 2085
  • 2086
  • 2087
  • 2088
  • 2089
  • Επόμενο
  • »
Upgrade to Pro
διάλεξε το πλάνο που σου ταιριάζει
Αναβάθμισε
© 2025 Socialpop
Greek
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
Σχετικά Όρους Ιδιωτικότητα Επικοινώνησε μαζί μας Κατάλογος Developers