1 Commentaires
·50 Vue
Annuaire
Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village
-
-
Rais Burkina Faso, Ibrahim Traoré wamesisitiza uamuzi wake wa kukataa mikopo kutoka Shirika la kimataifa la Fedha Duniani (IMF) na Benki ya Dunia akipendekeza kuwa Nchi yake itaegemea kwenye kujitegemea.
Akizungumza katika kongamano la kiuchumi la kanda, amesema kuwa iko haja ya mataifa ya Afrika kutegemea rasilimali zao na kujikomboa kutoka kwa kile alichokitaja kuwa "utumwa wa kifedha."
"Afrika haihitaji Benki ya Dunia, IMF, Ulaya, au Amerika. Tunavyo vinavyohitajika kukuza uchumi wetu bila mikopo na kukataa kuwa watumwa wa kifedha." Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso .
Rais Burkina Faso, Ibrahim Traoré wamesisitiza uamuzi wake wa kukataa mikopo kutoka Shirika la kimataifa la Fedha Duniani (IMF) na Benki ya Dunia akipendekeza kuwa Nchi yake itaegemea kwenye kujitegemea. Akizungumza katika kongamano la kiuchumi la kanda, amesema kuwa iko haja ya mataifa ya Afrika kutegemea rasilimali zao na kujikomboa kutoka kwa kile alichokitaja kuwa "utumwa wa kifedha." "Afrika haihitaji Benki ya Dunia, IMF, Ulaya, au Amerika. Tunavyo vinavyohitajika kukuza uchumi wetu bila mikopo na kukataa kuwa watumwa wa kifedha." Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso 🇧🇫.·63 Vue -
Van Dijk amezungumzia kuhusu changamoto za Ligi ya Premier League akisema kuwa ingawa klabu haiwezi kuwa kamilifu kila wakati, juhudi zilizowekwa hadi sasa zitawapa imani ya kuendelea na kuonyesha uwezo wao.
"Hivyo, je, sasa tuko katika mgogoro? Hii inathibitisha tu kwamba Premier League ni Ligi ngumu sana...
Hatuwezi kuwa wakamilifu kila wakati, lakini kazi ngumu ambayo tumefanya hadi sasa inapaswa kutupa imani ya kutosha kutoka nje na kuonyesha sisi ni nani" Van Dijk
Van Dijk amezungumzia kuhusu changamoto za Ligi ya Premier League akisema kuwa ingawa klabu haiwezi kuwa kamilifu kila wakati, juhudi zilizowekwa hadi sasa zitawapa imani ya kuendelea na kuonyesha uwezo wao. "Hivyo, je, sasa tuko katika mgogoro? Hii inathibitisha tu kwamba Premier League ni Ligi ngumu sana... Hatuwezi kuwa wakamilifu kila wakati, lakini kazi ngumu ambayo tumefanya hadi sasa inapaswa kutupa imani ya kutosha kutoka nje na kuonyesha sisi ni nani" Van Dijk·62 Vue -
KUMBE USALITI SIO KATIKA MAPENZI PEKEE? HADI KWENYE SOKA UPO, SAID BAHANUZI ALIPOGEUKA MSALITI.
Kuna mshikaji wangu niliwahi kumwambia kuwa Neyma Jr kasaliti wapenda soka lakini alikataa, Ila imani Yangu inaniambia Neyma Jr ni miongoni mwa wasaliti wa Soka.
Kwa kipaji cha Neyma Jr wapenda soka wengi walitaraji makubwa kutoka kwake badala Yake imekuwa kinyume na kwasasa anamalizia soka lake uko Saudia Rabbia.
Huenda ni muda? Hapana! Yupo wapi Mohamed Ibrahim? Kipaji kikubwa sana cha soka lakini kilipotea gafla mithili ya moto wa mabua.
Sikuizi nasikia Ramadhani Singano ni imamu wa msikiti! Kiufupi kawa ustadhi ni sawa. Lakini kwa machizi soka ataendelea kudumu na kutambulika kama msaliti. Ramadhani Singano kipaji kikubwa kiasi cha kufananishwa na Laprga kwa kuitwa Messi.
Kuna wakati huwa tunasema kuhusu muda lakini sio kila jambo tunaweza kuhusianisha na muda, Mambo mengine yanakuwa ni usaliti.
Tukisema kuhusu muda, Ukweli umetubariki mengi sana lakini kuhusu usaliti umetuacha na maumivu mengi sana.
Saidi Bahanuzi sio jina geni kabisa kwa watu wa mpira, Miaka ya 2011+ Alikuwa wa moto sana pale mitaa ya Jangwani kariakoo.
Bahanuzi aliwaka sana, Nakumbuka usajili wake alitokea Lamasia ya bongo Mtibwa Sugar. Wakati ule alikuwa muhimili haswa wa Yanga Afrika.
Kutokana na ustaa wa Bahanuzi kwa kipindi kile hata baadhi ya masela tuliokuwa tunasoma nao waliokuwa wanaitwa Saidi basi walijiita Bahanuzi.
Bahanuzi kafanya momenti nyingi sana na Yanga Afrika ila nadhani momenti ya kukosa penati ya maamuzi dhidi ya Al Ahly ndio momenti mbaya zaidi kwake, Maana ilikuwa penati ya maamuzi.
Leo nimekumbuka jina la Bahanuzi na kujiuliza Yupo wapi? Huenda watu wa soka wanatamani kufahamu alipo fundi wa mpira Saidi Bahanuzi.
Kwa wakati ule Saidi Bahanuzi aliwaka sana aise, Ilikuwa haiwezi kusemwa Yanga bila kusemwa Yeye lakini cha kushangaza alitoweka Gafla sana kusikojulikana na kuwaacha wapenda soka midomo wazi.
Kutoka kwa Moja ya Wadau WA Soka
#neliudcosih
🚨 KUMBE USALITI SIO KATIKA MAPENZI PEKEE? HADI KWENYE SOKA UPO, SAID BAHANUZI ALIPOGEUKA MSALITI. Kuna mshikaji wangu niliwahi kumwambia kuwa Neyma Jr kasaliti wapenda soka lakini alikataa, Ila imani Yangu inaniambia Neyma Jr ni miongoni mwa wasaliti wa Soka. Kwa kipaji cha Neyma Jr wapenda soka wengi walitaraji makubwa kutoka kwake badala Yake imekuwa kinyume na kwasasa anamalizia soka lake uko Saudia Rabbia. Huenda ni muda? Hapana! Yupo wapi Mohamed Ibrahim? Kipaji kikubwa sana cha soka lakini kilipotea gafla mithili ya moto wa mabua. Sikuizi nasikia Ramadhani Singano ni imamu wa msikiti! Kiufupi kawa ustadhi ni sawa. Lakini kwa machizi soka ataendelea kudumu na kutambulika kama msaliti. Ramadhani Singano kipaji kikubwa kiasi cha kufananishwa na Laprga kwa kuitwa Messi. Kuna wakati huwa tunasema kuhusu muda lakini sio kila jambo tunaweza kuhusianisha na muda, Mambo mengine yanakuwa ni usaliti. Tukisema kuhusu muda, Ukweli umetubariki mengi sana lakini kuhusu usaliti umetuacha na maumivu mengi sana. Saidi Bahanuzi sio jina geni kabisa kwa watu wa mpira, Miaka ya 2011+ Alikuwa wa moto sana pale mitaa ya Jangwani kariakoo. Bahanuzi aliwaka sana, Nakumbuka usajili wake alitokea Lamasia ya bongo Mtibwa Sugar. Wakati ule alikuwa muhimili haswa wa Yanga Afrika. Kutokana na ustaa wa Bahanuzi kwa kipindi kile hata baadhi ya masela tuliokuwa tunasoma nao waliokuwa wanaitwa Saidi basi walijiita Bahanuzi. Bahanuzi kafanya momenti nyingi sana na Yanga Afrika ila nadhani momenti ya kukosa penati ya maamuzi dhidi ya Al Ahly ndio momenti mbaya zaidi kwake, Maana ilikuwa penati ya maamuzi. Leo nimekumbuka jina la Bahanuzi na kujiuliza Yupo wapi? Huenda watu wa soka wanatamani kufahamu alipo fundi wa mpira Saidi Bahanuzi. Kwa wakati ule Saidi Bahanuzi aliwaka sana aise, Ilikuwa haiwezi kusemwa Yanga bila kusemwa Yeye lakini cha kushangaza alitoweka Gafla sana kusikojulikana na kuwaacha wapenda soka midomo wazi. ✍️Kutoka kwa Moja ya Wadau WA Soka 🙌 #neliudcosih·183 Vue -
𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒
“Maxi ni mchezaji wa maajabu, lakini bado hajawa sawa kucheza hapo kesho, Chama amerejea pia sina haraka nae kwa sababu tayari nina wachezaji 24 ambao wanaweza kutupatia matokeo, sina sababu ya kulazimisha wachezaji ambao bado hawapo fiti kucheza kesho. Tutaangalia mwenendo wa kila mchezaji kimwili na kiakili kabla ya kufanya maamuzi” Sead Ramovic.
#timuyawananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
#neliudcosih
𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 “Maxi ni mchezaji wa maajabu, lakini bado hajawa sawa kucheza hapo kesho, Chama amerejea pia sina haraka nae kwa sababu tayari nina wachezaji 24 ambao wanaweza kutupatia matokeo, sina sababu ya kulazimisha wachezaji ambao bado hawapo fiti kucheza kesho. Tutaangalia mwenendo wa kila mchezaji kimwili na kiakili kabla ya kufanya maamuzi” Sead Ramovic. #timuyawananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko #neliudcosih·166 Vue -
𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒
“Hatujawahi kwenda kucheza mchezo kwa ajili ya droo sisi lengo letu namba moja ni ushindi, sina haja ya kuongelea kuhusu matokeo mengine zaidi ya ushindi hapo kesho, nina wachezaji ambao wanaweza kubadilika kutokana na mbinu zangu au kutokana na mfumo wa wapinzani, sina mashaka na mbinu zangu kwenye kupata matokeo ya ushindi hapo kesho” Sead Ramovic
#timuyawananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
#neliudcosih
𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 “Hatujawahi kwenda kucheza mchezo kwa ajili ya droo sisi lengo letu namba moja ni ushindi, sina haja ya kuongelea kuhusu matokeo mengine zaidi ya ushindi hapo kesho, nina wachezaji ambao wanaweza kubadilika kutokana na mbinu zangu au kutokana na mfumo wa wapinzani, sina mashaka na mbinu zangu kwenye kupata matokeo ya ushindi hapo kesho” Sead Ramovic #timuyawananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko #neliudcosih·152 Vue