• Nyingine hii
    Nyingine hii
    Like
    1
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·119 Views
  • Nyingine tena
    Nyingine tena
    Love
    1
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·102 Views
  • Ya Mwisho
    Ya Mwisho👐
    Like
    1
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·102 Views
  • Mataifa mengi makubwa ambayo yanajiweza kifedha, miundombinu Nk lakini bado waliamini kwenye kuwapatia wachezaji wenye ubora mkubwa uraia

    ‎Mataifa kama Ufaransa, England Ubelgiji ni miongoni mwa mataifa ambayo yameweka nguvu juu ya wachezaji wenye ubora kuwashawishi hili waweze kuwa raia wao

    ‎Nazani jambo la msingi kwa sasa sio mchezaji aombe uraia wenda tukakosa top players kunahaja sasa ya sisi kama taifa kuwaomba wale top level ambao mataifa yao hayana mpango nao

    ‎Huu utakuwa utaratibu mzuri ambao mataifa mengi ambayo yanafaida hufanya hivyo maana ni rahisi kupata wenye ubora kuliko wachache ambao wanaomba

    ‎Kama mtu mkongo anachezea Ufaransa sembuse Mgana kuchezea Tanzania.

    ‎Note: Ukweli kama taifa kwa sasa kuna level ya wachezaji ambao tunawataka kwenye kikosi chetu cha taifa stars haipatikani kwa wingi yaani kuna idadi ndogo ambayo inaubora ambao unaoweza kusaidia taifa kwenye level kubwa ya kimashindano
    Mataifa mengi makubwa ambayo yanajiweza kifedha, miundombinu Nk lakini bado waliamini kwenye kuwapatia wachezaji wenye ubora mkubwa uraia ‎ ‎Mataifa kama Ufaransa, England Ubelgiji ni miongoni mwa mataifa ambayo yameweka nguvu juu ya wachezaji wenye ubora kuwashawishi hili waweze kuwa raia wao ‎ ‎Nazani jambo la msingi kwa sasa sio mchezaji aombe uraia wenda tukakosa top players kunahaja sasa ya sisi kama taifa kuwaomba wale top level ambao mataifa yao hayana mpango nao ‎ ‎Huu utakuwa utaratibu mzuri ambao mataifa mengi ambayo yanafaida hufanya hivyo maana ni rahisi kupata wenye ubora kuliko wachache ambao wanaomba ‎ ‎Kama mtu mkongo anachezea Ufaransa sembuse Mgana kuchezea Tanzania. ‎ ‎Note: Ukweli kama taifa kwa sasa kuna level ya wachezaji ambao tunawataka kwenye kikosi chetu cha taifa stars haipatikani kwa wingi yaani kuna idadi ndogo ambayo inaubora ambao unaoweza kusaidia taifa kwenye level kubwa ya kimashindano
    Like
    1
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·564 Views
  • Nahodha msaidizi namba moja wa klabu ya FC Barcelona raia wa Uruguay Ronald Araujo ameongeza mkataba wa kuendelea kusalia katika klabu hiyo kwa kipindi Cha miaka 6 mpaka June 2031.
    Nahodha msaidizi namba moja wa klabu ya FC Barcelona raia wa Uruguay 🇺🇾 Ronald Araujo ameongeza mkataba wa kuendelea kusalia katika klabu hiyo kwa kipindi Cha miaka 6 mpaka June 2031.
    Like
    1
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·245 Views
  • “Sio kwamba tuna wachezaji kumi na moja bora wa kikosi cha Young Africans bali wachezaji wote ishirini na tano ni bora na wako tayari kwa mechi” Kocha wa Young Africans Sead Ramovic
    “Sio kwamba tuna wachezaji kumi na moja bora wa kikosi cha Young Africans bali wachezaji wote ishirini na tano ni bora na wako tayari kwa mechi” Kocha wa Young Africans Sead Ramovic
    Like
    1
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·452 Views
  • Maxi Mpia Nzengeli
    Maxi Mpia Nzengeli
    Like
    1
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·180 Views
  • Football daah
    Football daah😭
    Like
    1
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·258 Views
  • 0 Reacties ·0 aandelen ·145 Views
  • “Tumejiandaa vizuri kuwakabili Young Africans, tumekuja na malengo yetu tutahakikisha yanatimia” Kocha wa Copco FC Lucas Mligwa
    “Tumejiandaa vizuri kuwakabili Young Africans, tumekuja na malengo yetu tutahakikisha yanatimia” Kocha wa Copco FC Lucas Mligwa
    Like
    1
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·339 Views