• Huu Mwaka tutaona mengi
    Huu Mwaka tutaona mengi😂
    Like
    1
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·6 Views
  • Klabu ya Juventus imethibitisha kukamilisha Usajili wa Mshambuliaji wa PSG Randal Kolo Muani kwa mkopo hadi Mwisho wa Msimu.
    Klabu ya Juventus imethibitisha kukamilisha Usajili wa Mshambuliaji wa PSG Randal Kolo Muani kwa mkopo hadi Mwisho wa Msimu.
    Like
    1
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·7 Views
  • Nawakumbusha tu kuanzia wiki ijayo kitaumana
    Nawakumbusha tu kuanzia wiki ijayo kitaumana
    Like
    1
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·7 Views
  • Nyingine hii
    Nyingine hii
    Like
    1
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·14 Views
  • Nyingine tena
    Nyingine tena
    Love
    1
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·8 Views
  • Ya Mwisho
    Ya Mwisho👐
    Like
    1
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·7 Views
  • Mataifa mengi makubwa ambayo yanajiweza kifedha, miundombinu Nk lakini bado waliamini kwenye kuwapatia wachezaji wenye ubora mkubwa uraia

    ‎Mataifa kama Ufaransa, England Ubelgiji ni miongoni mwa mataifa ambayo yameweka nguvu juu ya wachezaji wenye ubora kuwashawishi hili waweze kuwa raia wao

    ‎Nazani jambo la msingi kwa sasa sio mchezaji aombe uraia wenda tukakosa top players kunahaja sasa ya sisi kama taifa kuwaomba wale top level ambao mataifa yao hayana mpango nao

    ‎Huu utakuwa utaratibu mzuri ambao mataifa mengi ambayo yanafaida hufanya hivyo maana ni rahisi kupata wenye ubora kuliko wachache ambao wanaomba

    ‎Kama mtu mkongo anachezea Ufaransa sembuse Mgana kuchezea Tanzania.

    ‎Note: Ukweli kama taifa kwa sasa kuna level ya wachezaji ambao tunawataka kwenye kikosi chetu cha taifa stars haipatikani kwa wingi yaani kuna idadi ndogo ambayo inaubora ambao unaoweza kusaidia taifa kwenye level kubwa ya kimashindano
    Mataifa mengi makubwa ambayo yanajiweza kifedha, miundombinu Nk lakini bado waliamini kwenye kuwapatia wachezaji wenye ubora mkubwa uraia ‎ ‎Mataifa kama Ufaransa, England Ubelgiji ni miongoni mwa mataifa ambayo yameweka nguvu juu ya wachezaji wenye ubora kuwashawishi hili waweze kuwa raia wao ‎ ‎Nazani jambo la msingi kwa sasa sio mchezaji aombe uraia wenda tukakosa top players kunahaja sasa ya sisi kama taifa kuwaomba wale top level ambao mataifa yao hayana mpango nao ‎ ‎Huu utakuwa utaratibu mzuri ambao mataifa mengi ambayo yanafaida hufanya hivyo maana ni rahisi kupata wenye ubora kuliko wachache ambao wanaomba ‎ ‎Kama mtu mkongo anachezea Ufaransa sembuse Mgana kuchezea Tanzania. ‎ ‎Note: Ukweli kama taifa kwa sasa kuna level ya wachezaji ambao tunawataka kwenye kikosi chetu cha taifa stars haipatikani kwa wingi yaani kuna idadi ndogo ambayo inaubora ambao unaoweza kusaidia taifa kwenye level kubwa ya kimashindano
    Like
    1
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·20 Views
  • Nahodha msaidizi namba moja wa klabu ya FC Barcelona raia wa Uruguay Ronald Araujo ameongeza mkataba wa kuendelea kusalia katika klabu hiyo kwa kipindi Cha miaka 6 mpaka June 2031.
    Nahodha msaidizi namba moja wa klabu ya FC Barcelona raia wa Uruguay 🇺🇾 Ronald Araujo ameongeza mkataba wa kuendelea kusalia katika klabu hiyo kwa kipindi Cha miaka 6 mpaka June 2031.
    Like
    1
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·7 Views
  • “Sio kwamba tuna wachezaji kumi na moja bora wa kikosi cha Young Africans bali wachezaji wote ishirini na tano ni bora na wako tayari kwa mechi” Kocha wa Young Africans Sead Ramovic
    “Sio kwamba tuna wachezaji kumi na moja bora wa kikosi cha Young Africans bali wachezaji wote ishirini na tano ni bora na wako tayari kwa mechi” Kocha wa Young Africans Sead Ramovic
    Like
    1
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·8 Views
  • Maxi Mpia Nzengeli
    Maxi Mpia Nzengeli
    Like
    1
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·8 Views