نتائج البحث
عرض كل النتائج
Socialpop Socialpop Socialpop
الرئيسية
المجموعات
الصفحات
سوق المنتجات
شاهد المزيد
المجموعات الصفحات سوق المنتجات المناسبات المدونات التمويل مفاوضاتي وظائف Courses المنتديات الافلام
انضم إلينا
تسجيل الدخول تسجيل
Theme Switcher
الوضع المظلم
الدليل
المستخدمون
المنشورات
الصفحات
المجموعات
المناسبات
  • Kelvin Nyamwesa @Anta_tz أضاف صورة
    2025-01-30 06:41:10 ·
    Screen wallpaper hd
    Screen wallpaper hd
    Like
    Love
    2
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·690 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Kelvin Nyamwesa @Anta_tz أضاف صورة
    2025-01-30 06:41:55 ·
    Wallpaper
    Wallpaper
    Love
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·681 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Elena Williams @elenawilliams تحديث صورة الملف الشخصي
    2025-01-30 07:00:05 ·
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·302 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Elena Williams @elenawilliams أضاف وظيفة جديدة in Health
    2025-01-30 07:04:37 ·
    Overcoming ED Together: Strategies for Couples to Maintain Their Closeness and Self-Belief
    Many men suffer from erectile dysfunction (ED), but the effects of the disorder extend beyond the person. Relationship dynamics may also be impacted, leading to tension, ambiguity, and emotional detachment. Couples that face this obstacle together, however, might deepen their relationship and discover fresh approaches of remaining close and self-assured. Couples can control ED and have a happy...
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·780 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Mofokeng Elvis @Kas11 أضاف صورة
    2025-01-30 08:12:35 ·
    mauaji haya
    mauaji haya😃
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·373 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • David Atto @Mefa أضاف عرض جديد
    2025-01-30 14:33:55 ·
    Like
    Love
    Haha
    3
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·360 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Paul Swai @paulswai أضاف فيديو in عام
    2025-01-30 15:58:50 ·
    Unampa maksi ngapi uyu jamaa kati ya 1-10

    #paulswai
    Unampa maksi ngapi uyu jamaa kati ya 1-10 #paulswai
    Love
    Haha
    2
    · 1 التعليقات ·0 المشاركات ·451 مشاهدة ·5
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • David Atto @Mefa أضاف صورة
    2025-01-30 17:37:54 ·
    Love
    2
    · 3 التعليقات ·0 المشاركات ·290 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 أضاف صورة
    2025-01-30 18:14:31 ·
    Wataalamu wa kutafsiri katuni mpo wapi
    Wataalamu wa kutafsiri katuni mpo wapi 👇
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·187 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Dullah Tz98 @DullahX98 أضاف صورة
    2025-01-30 18:14:59 ·
    Katika hotuba yake kwa Taifa lake la Congo kwa njia ya Televisheni, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , Felex Tshekesedi ameweka msimamo kuwa hakuna mazungumzo na Waasi wa M23 na badala yake akasema "majibu makali yaliyoratibiwa" dhidi ya kile alichokiita "Magaidi". Tshisekedi amehimiza Wacongo wote kuungana pamoja na kuunga mkono mapambano ya Jeshi kutwaa tena udhibiti wa Mji wa Goma pamoja na zenye fujo Mashariki mwa Congo.

    " Kuweni na uhakika wa jambo moja: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo haitajiruhusu kufedheheshwa . Tutapigana na tutashinda," amekaririwa akisema Rais huyo.

    Mchambuzi wa Siasa za Kimataifa Kutoka Nchini Tanzania, Zungu alikuwa na hayo ya kusema

    "Huu mzozo unaenda kupanuka zaidi jeshi la Congo ni dhaifu ni wazi kuwa halina uwezo wa kutosha kupambana na M23 sasa basi watahitaji washirika ili kurejesha uthibiti na kuwafukuza M23 wanaoungwa mkono na Kagame nini kitatokea?

    Kingine ni wazi kuwa mzozo huu umeushinda nguvu jumuiya ya AFRIKA MASHARIKI, si Kagame wala Tshisekedi wote ukiwasikiliza hawana imani na jumuiya hii, rejea kikao cha mwisho cha marais wa Afrika mashariki ambapo Congo iligoma kuhudhuria kisa Rwanda!!

    Tuimboee Congo pande zote zinazopigana zimechagua mtutu na sio meza!!"

    Katika hotuba yake kwa Taifa lake la Congo kwa njia ya Televisheni, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩, Felex Tshekesedi ameweka msimamo kuwa hakuna mazungumzo na Waasi wa M23 na badala yake akasema "majibu makali yaliyoratibiwa" dhidi ya kile alichokiita "Magaidi". Tshisekedi amehimiza Wacongo wote kuungana pamoja na kuunga mkono mapambano ya Jeshi kutwaa tena udhibiti wa Mji wa Goma pamoja na zenye fujo Mashariki mwa Congo. " Kuweni na uhakika wa jambo moja: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo haitajiruhusu kufedheheshwa . Tutapigana na tutashinda," amekaririwa akisema Rais huyo. Mchambuzi wa Siasa za Kimataifa Kutoka Nchini Tanzania, Zungu alikuwa na hayo ya kusema "Huu mzozo unaenda kupanuka zaidi jeshi la Congo ni dhaifu ni wazi kuwa halina uwezo wa kutosha kupambana na M23 sasa basi watahitaji washirika ili kurejesha uthibiti na kuwafukuza M23 wanaoungwa mkono na Kagame nini kitatokea? Kingine ni wazi kuwa mzozo huu umeushinda nguvu jumuiya ya AFRIKA MASHARIKI, si Kagame wala Tshisekedi wote ukiwasikiliza hawana imani na jumuiya hii, rejea kikao cha mwisho cha marais wa Afrika mashariki ambapo Congo iligoma kuhudhuria kisa Rwanda!! Tuimboee Congo pande zote zinazopigana zimechagua mtutu na sio meza!!"
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·635 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • عرض (22341-22350 من 25760)
  • «
  • السابق
  • 2233
  • 2234
  • 2235
  • 2236
  • 2237
  • التالي
  • »
ترقية الحساب
اختر الخطة التي تناسبك
ترقية
© 2025 Socialpop
Arabic
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
الشروط الخصوصية اتصل بنا الدليل المطوريين