• Love
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·20 Visualizações
  • Like
    1
    · 1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·22 Visualizações
  • Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amelikataa pendekezo la Rais wa Marekani , Donald Trump, la kudhibiti Mji wa Gaza na kuwahamisha Wapalestina katika Nchi za Misri na Jordan. Katika mkutano na Waandishi wa habari alikokuwa na Waziri Mkuu wa Israel , Benjamin Netanyahu, Trump alipendekeza Marekani kuwa na umiliki wa muda mrefu wa Gaza, jambo lililokosolewa vikali na Jumuiya ya kimataifa.

    Guterres alisema katika kamati ya Umoja wa Mataifa kuhusu haki za Wapalestina kwamba haki za Wapalestina zinahusisha kuishi kwa uhuru katika Nchi yao, lakini haki hizo zimekuwa zikididimiza. Pia amesema, suluhisho la kudumu linahitajika kupatikana kwa mataifa mawili, ambapo Israel na Palestina wangeishi kwa amani.

    Msemaji wa Umoja wa Mataifa, Stephane Dujarric, alisema hatua yoyote ya kuwahamisha Wapalestina ni "safisha safisha ya kikabila", akisisitiza umuhimu wa kuheshimu sheria za kimataifa. Baada ya ukosoaji mkubwa, maafisa wa Donald Trump walijitetea, wakisema kuhamisha Wapalestina kutakuwa kwa muda tu, na hakutakuwa na kupeleka Wanajeshi kutekeleza mpango huo.

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amelikataa pendekezo la Rais wa Marekani 🇺🇸, Donald Trump, la kudhibiti Mji wa Gaza na kuwahamisha Wapalestina katika Nchi za Misri na Jordan. Katika mkutano na Waandishi wa habari alikokuwa na Waziri Mkuu wa Israel 🇮🇱, Benjamin Netanyahu, Trump alipendekeza Marekani kuwa na umiliki wa muda mrefu wa Gaza, jambo lililokosolewa vikali na Jumuiya ya kimataifa. Guterres alisema katika kamati ya Umoja wa Mataifa kuhusu haki za Wapalestina kwamba haki za Wapalestina zinahusisha kuishi kwa uhuru katika Nchi yao, lakini haki hizo zimekuwa zikididimiza. Pia amesema, suluhisho la kudumu linahitajika kupatikana kwa mataifa mawili, ambapo Israel na Palestina 🇵🇸 wangeishi kwa amani. Msemaji wa Umoja wa Mataifa, Stephane Dujarric, alisema hatua yoyote ya kuwahamisha Wapalestina ni "safisha safisha ya kikabila", akisisitiza umuhimu wa kuheshimu sheria za kimataifa. Baada ya ukosoaji mkubwa, maafisa wa Donald Trump walijitetea, wakisema kuhamisha Wapalestina kutakuwa kwa muda tu, na hakutakuwa na kupeleka Wanajeshi kutekeleza mpango huo.
    Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·64 Visualizações
  • "Rasmi leo ndio umekua mtu mzima wa kimpira, ingekua kimaumbile tungesema umebaleghe hii leo

    Matusi, kejeli, na dhihaka zote utakazopokea leo ni ukaribisho kwenye ukubwa wako, yasikutishe tamaa na wala yasikuvunje moyo, KARIBU UKUBWANI

    Umeumiza mioyoo ya Wana Simba, lakini wewe sio wa kwanza kwenye mpira, wapo wenzio makosa yao yaliwanyima Kombe la Dunia

    Kosa hili linakuongezea ukomavu

    Ndugu zangu Wana Simba najua tunahisira na kijana wetu lakini kila mtu kazini kwake anakosea

    Na tukumbuke kabla ya kujifunga alishaisaidia timu kupata goli hivyo sukari na chumvi vimechanganyikana hii leo na bahati mbaya chumvi imezidi

    Tukasirike lakini tusimchukie, na kama haitoshi tumsamehe na tuanze kumtia moyo

    Kipindi hiki anatuhitaji zaidi sisi familia yake kumtetea na kumpigania ili arejee kwenye utulivu wake wa kiakali na aendelee kuipigania Simba yetu

    Tunapatia pamoja, tunakosea pamoja, tunajisahihisha pamoja tunasonga mbele" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC.

    "Rasmi leo ndio umekua mtu mzima wa kimpira, ingekua kimaumbile tungesema umebaleghe hii leo Matusi, kejeli, na dhihaka zote utakazopokea leo ni ukaribisho kwenye ukubwa wako, yasikutishe tamaa na wala yasikuvunje moyo, KARIBU UKUBWANI Umeumiza mioyoo ya Wana Simba, lakini wewe sio wa kwanza kwenye mpira, wapo wenzio makosa yao yaliwanyima Kombe la Dunia Kosa hili linakuongezea ukomavu Ndugu zangu Wana Simba najua tunahisira na kijana wetu lakini kila mtu kazini kwake anakosea Na tukumbuke kabla ya kujifunga alishaisaidia timu kupata goli hivyo sukari na chumvi vimechanganyikana hii leo na bahati mbaya chumvi imezidi Tukasirike lakini tusimchukie, na kama haitoshi tumsamehe na tuanze kumtia moyo Kipindi hiki anatuhitaji zaidi sisi familia yake kumtetea na kumpigania ili arejee kwenye utulivu wake wa kiakali na aendelee kuipigania Simba yetu Tunapatia pamoja, tunakosea pamoja, tunajisahihisha pamoja tunasonga mbele" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC.
    Sad
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·119 Visualizações
  • "Ni mambo mawili yakitokea mchambuzi utamlaumu Ladarck Chasambi, moja, ni kama umesahau, mbili, kama haufahamu moja ya msingi wa mpira wa miguu ambao ni kuutunza mpira, na hasa kwa kuutoa mpira sehemu yenye vurugu na kuupeleka palipotulia.

    Kama unafahamu kanuni au principle hii hauwezi kumlaumu Chasambi kupita kiasi, angalia hao wachezaji wa FG niliowawekea mishale, wote wanatoa shinikizo kwa Chasambi, wamefunga njia karibu pande zote na kuacha chaguo moja kubwa la kucheza na golikipa wake.

    Na golikipa Camara alitambua kuwa Chasambi ana chaguo moja tu la kumrudishia yeye mpira na Camara akaonesha utayari wa kuucheza mpira, wanaocheza mpira na walimu wataungana na mimi kuwa mpira una lugha yake na Camara aliitumia kuonesha utayari.

    Kitu pekee ninachoweza kumkumbusha Chasambi ni kuwa wazo lake lilikua sahihi lakini mguso wake kwa mpira ulikuwa mzito na kuufanya mpira uende mbali na kwa kasi zaidi wenzetu wanasema “heavy touch”
    Kitu pekee ninachoweza kumkumbusha Camara ni alitakiwa kusogea kushoto kwa haraka kukutana na boli, ni kama alichelewa kidogo kushiriki mchezo, na misstiming kwa Camara imewai kutokea pia katika mechi ambayo Coastal Union wanasawazisha dhidi ya Simba SC" - Amri Kiemba, Mchambuzi.

    "Ni mambo mawili yakitokea mchambuzi utamlaumu Ladarck Chasambi, moja, ni kama umesahau, mbili, kama haufahamu moja ya msingi wa mpira wa miguu ambao ni kuutunza mpira, na hasa kwa kuutoa mpira sehemu yenye vurugu na kuupeleka palipotulia. Kama unafahamu kanuni au principle hii hauwezi kumlaumu Chasambi kupita kiasi, angalia hao wachezaji wa FG niliowawekea mishale, wote wanatoa shinikizo kwa Chasambi, wamefunga njia karibu pande zote na kuacha chaguo moja kubwa la kucheza na golikipa wake. Na golikipa Camara alitambua kuwa Chasambi ana chaguo moja tu la kumrudishia yeye mpira na Camara akaonesha utayari wa kuucheza mpira, wanaocheza mpira na walimu wataungana na mimi kuwa mpira una lugha yake na Camara aliitumia kuonesha utayari. Kitu pekee ninachoweza kumkumbusha Chasambi ni kuwa wazo lake lilikua sahihi lakini mguso wake kwa mpira ulikuwa mzito na kuufanya mpira uende mbali na kwa kasi zaidi wenzetu wanasema “heavy touch” Kitu pekee ninachoweza kumkumbusha Camara ni alitakiwa kusogea kushoto kwa haraka kukutana na boli, ni kama alichelewa kidogo kushiriki mchezo, na misstiming kwa Camara imewai kutokea pia katika mechi ambayo Coastal Union wanasawazisha dhidi ya Simba SC" - Amri Kiemba, Mchambuzi.
    Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·114 Visualizações
  • Bunge la Nchi ya Uganda limependekeza Wabunge Wanajeshi kuvaa mavazi rasmi ya Bunge wakiwa Bungeni, badala ya kuvaa sare zao wakati wa mijadala.

    Kamati ya Bunge inayosimamia masuala ya utaratibu na nidhamu imesema si sahihi kwa Wabunge hao wanaowakilisha Wanajeshi kuingia na magwanda yao, kwa kuwa yanaonyesha ishara ya kuwa vitani.

    Ikumbukwe kwamba Nchi ya Uganda ndio Nchi pekee barani Afrika wenye Wabunge Wanajeshi. Wanajeshi hao huteuliwa Jeshini kisha kupigiwa kura na kupatikana Wabunge hao huku Watatu (3) kati yao lazima wawe Wanawake.

    Bunge la Nchi ya Uganda 🇺🇬 limependekeza Wabunge Wanajeshi kuvaa mavazi rasmi ya Bunge wakiwa Bungeni, badala ya kuvaa sare zao wakati wa mijadala. Kamati ya Bunge inayosimamia masuala ya utaratibu na nidhamu imesema si sahihi kwa Wabunge hao wanaowakilisha Wanajeshi kuingia na magwanda yao, kwa kuwa yanaonyesha ishara ya kuwa vitani. Ikumbukwe kwamba Nchi ya Uganda ndio Nchi pekee barani Afrika wenye Wabunge Wanajeshi. Wanajeshi hao huteuliwa Jeshini kisha kupigiwa kura na kupatikana Wabunge hao huku Watatu (3) kati yao lazima wawe Wanawake.
    Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·28 Visualizações
  • Dunia inaweza kukuumiza ila akatokea mtu mmoja tu akakupa furaha, Ila mtu huyo huyo akikuumiza uenda Dunia nzima ikashindwa kukupa furaha.
    Dunia inaweza kukuumiza ila akatokea mtu mmoja tu akakupa furaha, Ila mtu huyo huyo akikuumiza uenda Dunia nzima ikashindwa kukupa furaha.
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·22 Visualizações
  • Kula kambale kwa bei chee
    Kula kambale kwa bei chee
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·18 Visualizações
  • 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·11 Visualizações
  • ila chasambi au bx tu
    😔😔😔ila chasambi au bx tu
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·12 Visualizações