• Ndugu zangu kwema???
    Ndugu zangu kwema???
    0 Commenti ·0 condivisioni ·33 Views
  • Aliyewahi kuwa Mke wa Haji Manara, Rubyna amshutumu Haji Manara kutotoa huduma ya Mtoto wao.

    Aliyewahi kuwa Mke wa Haji Manara, Rubyna amshutumu Haji Manara kutotoa huduma ya Mtoto wao.
    Love
    1
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·56 Views
  • Love
    1
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·36 Views
  • Love
    1
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·36 Views
  • Mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu kutoka Nchini Liberia , George Weah, amekana kufanya mazungumzo yoyote na Mmiliki wa mtandao wa X Elon Musk kuhusiana na kununua tuzo yake ya Ballon D’or aliyoshinda mwaka 1995 kwa thamani ya Dola bilioni moja (1).

    Mchezaji huyo amesema kuwa Musk hakuwahi kutaka kununua tuzo hiyo kutoka kwake, kama ilivyoripotiwa mitandaoni hivi karibuni. Pamoja na hayo, Weah ameongeza kuwa Tuzo hiyo haiuzwi hata Watoto wake alishawaambia kuwa Tuzo hiyo ni mali ya Afrika, hata ikitokea wakapatwa na shida, haitakiwi kuuzwa kwa sababu ndio Tuzo pekee bara la Afrika inajivunia.

    Mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu kutoka Nchini Liberia 🇱🇷, George Weah, amekana kufanya mazungumzo yoyote na Mmiliki wa mtandao wa X Elon Musk kuhusiana na kununua tuzo yake ya Ballon D’or aliyoshinda mwaka 1995 kwa thamani ya Dola bilioni moja (1). Mchezaji huyo amesema kuwa Musk hakuwahi kutaka kununua tuzo hiyo kutoka kwake, kama ilivyoripotiwa mitandaoni hivi karibuni. Pamoja na hayo, Weah ameongeza kuwa Tuzo hiyo haiuzwi hata Watoto wake alishawaambia kuwa Tuzo hiyo ni mali ya Afrika, hata ikitokea wakapatwa na shida, haitakiwi kuuzwa kwa sababu ndio Tuzo pekee bara la Afrika inajivunia.
    Love
    1
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·198 Views
  • "Wakati anachukua madaraka mwamba Ibrahim Traore Rais wa Burkina Faso alichagua kuwa upande wa Urusi na kumtosa mfaransa, wakati huo waasi walikuwa wamechukua sehemu fulani ya ya nchi, faida ya Traore kuchagua upande wa mashariki ambao ni Urusi tunaiona hadi leo, nchi yake imetulia kwa kiasi kikubwa, waasi wanakiona cha moto, Urusi kupitia Wagner wameamua kuilinda mazima Burkina faso, mwisho wa siku Traore anaonekana kama shujaa wa nchi yake na Afrika kwa ujumla

    Somo kwa Rais Tshisekedi chagua upande acha kuwa vuguvugu hii haitosaidia Congo, hata vikao vya AU, SADC, NA EAC, havijasaidia chochote Congo, chagua upande papa Tshisekedi ili Congo ilindwe na waasi wapate upinzani , coz jeshi la Congo ni dhaifu mnoo halina hata uwezo nusu wa kukabiliana na waasi,chagua upande uikomboe Congo yako

    Changamoto kubwa Rais Tshisekedi na ufaransa ni pete na kidole na hakuna ubaya kwenye hilo lakini swali kubwa urafiki wa Congo na nchi za magharibi kama Ufaransa umeisadia vipi Congo tena dhidi ya waasi kama M23 ?

    Chagua upande Tshisekedi hakuna namna!! Vinginevyo wanakuchezea too bad" - Zungu, Mtangazaji na Mchambuzi wa Siasa.

    "Wakati anachukua madaraka mwamba Ibrahim Traore Rais wa Burkina Faso🇧🇫 alichagua kuwa upande wa Urusi na kumtosa mfaransa, wakati huo waasi walikuwa wamechukua sehemu fulani ya ya nchi, faida ya Traore kuchagua upande wa mashariki ambao ni Urusi tunaiona hadi leo, nchi yake imetulia kwa kiasi kikubwa, waasi wanakiona cha moto, Urusi kupitia Wagner wameamua kuilinda mazima Burkina faso🇧🇫, mwisho wa siku Traore anaonekana kama shujaa wa nchi yake na Afrika kwa ujumla Somo kwa Rais Tshisekedi chagua upande acha kuwa vuguvugu hii haitosaidia Congo, hata vikao vya AU, SADC, NA EAC, havijasaidia chochote Congo, chagua upande papa Tshisekedi ili Congo ilindwe na waasi wapate upinzani , coz jeshi la Congo ni dhaifu mnoo halina hata uwezo nusu wa kukabiliana na waasi,chagua upande uikomboe Congo yako Changamoto kubwa Rais Tshisekedi na ufaransa ni pete na kidole na hakuna ubaya kwenye hilo lakini swali kubwa urafiki wa Congo na nchi za magharibi kama Ufaransa umeisadia vipi Congo tena dhidi ya waasi kama M23 ? Chagua upande Tshisekedi hakuna namna!! Vinginevyo wanakuchezea too bad" - Zungu, Mtangazaji na Mchambuzi wa Siasa.
    Love
    1
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·193 Views
  • Like
    1
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·37 Views
  • Like
    2
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·38 Views
  • "Tangu nilipokutana nawe (Hamisa), nilijua kuwa wewe ni wangu wa milele. Wewe ni ushindi wangu mkubwa, ndoto yangu nzuri zaidi imetimia."

    "Mwaka jana, nilipiga shuti muhimu zaidi-sio uwanjani, lakini kwa goti moja. Na uliposema NDIYO, Dunia yangu ilibadilika milele." — Aziz Ki, Mchezaji wa klabu ya Yanga SC.

    "Tangu nilipokutana nawe (Hamisa), nilijua kuwa wewe ni wangu wa milele. Wewe ni ushindi wangu mkubwa, ndoto yangu nzuri zaidi imetimia." "Mwaka jana, nilipiga shuti muhimu zaidi-sio uwanjani, lakini kwa goti moja. Na uliposema NDIYO, Dunia yangu ilibadilika milele." — Aziz Ki, Mchezaji wa klabu ya Yanga SC.
    Like
    2
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·143 Views
  • Kundi la Waasi wa M23 wameingia Mjini Bukavu Mkoani Sud-Kivu ambao ni Mji wa pili (2) kwa ukubwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakati huo huo Rais wa Nchi Tshisekedi yupo zake Jijini Munich Nchini Ujerumani kwenye kikao cha usalama.

    Kundi la Waasi wa M23 wameingia Mjini Bukavu Mkoani Sud-Kivu ambao ni Mji wa pili (2) kwa ukubwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 wakati huo huo Rais wa Nchi Tshisekedi yupo zake Jijini Munich Nchini Ujerumani 🇩🇪 kwenye kikao cha usalama.
    Like
    Love
    2
    · 1 Commenti ·0 condivisioni ·138 Views