0 Comments
·0 Shares
·68 Views
-
-
-
-
-
"Kongole sana Singida Black stars kwa hii project. Ni mchoro wa uwanja utakaozinduliwa Machi 24, 2025. Mafanikio ya miradi namna hii kwa kushirikiana na wadau yanaeeza kutoka somo kwa klabu nyingine juu ya nini cha kufanya katika kufanikisha ujenzi wake wakishirikiana na wabia wenye kuweza kunufaika na haki kama za jina la uwanja n.k. Je, itakuwa vipi? Ni suala la kusubiri uzinduzi wake rasmi: KONGOLE SANA SBS!!" - Ramadhani Mbwaduke, Mchambuzi akiwapokeza klabu ya Singida Black Stars kwa kuzindua mradi wao kujenga Uwanja.
"Kongole sana Singida Black stars kwa hii project. Ni mchoro wa uwanja utakaozinduliwa Machi 24, 2025. Mafanikio ya miradi namna hii kwa kushirikiana na wadau yanaeeza kutoka somo kwa klabu nyingine juu ya nini cha kufanya katika kufanikisha ujenzi wake wakishirikiana na wabia wenye kuweza kunufaika na haki kama za jina la uwanja n.k. Je, itakuwa vipi? Ni suala la kusubiri uzinduzi wake rasmi: KONGOLE SANA SBS!!" - Ramadhani Mbwaduke, Mchambuzi akiwapokeza klabu ya Singida Black Stars kwa kuzindua mradi wao kujenga Uwanja.0 Comments ·0 Shares ·7 Views -
-
-
-
Baada ya sauti yake kuvuja kwenye mitandao ya kijamii akimkejeli Mume wa Hamisa Mobetto, Aziz Ki kwa kumsema vibaya eti "ana mdomo mbaya", Rushayna alimuomba msamaha Hamisa Mobetto kwa kosa hilo lakini ameendelea kukazia msamaha huo kupitia ujumbe aliomuandikia Hamisa Mobetto kama inavyosemekana pichani.
Baada ya sauti yake kuvuja kwenye mitandao ya kijamii akimkejeli Mume wa Hamisa Mobetto, Aziz Ki kwa kumsema vibaya eti "ana mdomo mbaya", Rushayna alimuomba msamaha Hamisa Mobetto kwa kosa hilo lakini ameendelea kukazia msamaha huo kupitia ujumbe aliomuandikia Hamisa Mobetto kama inavyosemekana pichani.0 Comments ·0 Shares ·7 Views