0 Комментарии
·0 Поделились
·105 Просмотры
-
-
"Kongole sana Singida Black stars kwa hii project. Ni mchoro wa uwanja utakaozinduliwa Machi 24, 2025. Mafanikio ya miradi namna hii kwa kushirikiana na wadau yanaeeza kutoka somo kwa klabu nyingine juu ya nini cha kufanya katika kufanikisha ujenzi wake wakishirikiana na wabia wenye kuweza kunufaika na haki kama za jina la uwanja n.k. Je, itakuwa vipi? Ni suala la kusubiri uzinduzi wake rasmi: KONGOLE SANA SBS!!" - Ramadhani Mbwaduke, Mchambuzi akiwapokeza klabu ya Singida Black Stars kwa kuzindua mradi wao kujenga Uwanja.
"Kongole sana Singida Black stars kwa hii project. Ni mchoro wa uwanja utakaozinduliwa Machi 24, 2025. Mafanikio ya miradi namna hii kwa kushirikiana na wadau yanaeeza kutoka somo kwa klabu nyingine juu ya nini cha kufanya katika kufanikisha ujenzi wake wakishirikiana na wabia wenye kuweza kunufaika na haki kama za jina la uwanja n.k. Je, itakuwa vipi? Ni suala la kusubiri uzinduzi wake rasmi: KONGOLE SANA SBS!!" - Ramadhani Mbwaduke, Mchambuzi akiwapokeza klabu ya Singida Black Stars kwa kuzindua mradi wao kujenga Uwanja.0 Комментарии ·0 Поделились ·291 Просмотры -
-
-
-
Baada ya sauti yake kuvuja kwenye mitandao ya kijamii akimkejeli Mume wa Hamisa Mobetto, Aziz Ki kwa kumsema vibaya eti "ana mdomo mbaya", Rushayna alimuomba msamaha Hamisa Mobetto kwa kosa hilo lakini ameendelea kukazia msamaha huo kupitia ujumbe aliomuandikia Hamisa Mobetto kama inavyosemekana pichani.
Baada ya sauti yake kuvuja kwenye mitandao ya kijamii akimkejeli Mume wa Hamisa Mobetto, Aziz Ki kwa kumsema vibaya eti "ana mdomo mbaya", Rushayna alimuomba msamaha Hamisa Mobetto kwa kosa hilo lakini ameendelea kukazia msamaha huo kupitia ujumbe aliomuandikia Hamisa Mobetto kama inavyosemekana pichani. -
-
KLABU YA AL AHLY YAKATWA ALAMA NA ZAMALEK YAPEWA USHINDI CAIRO DERBY
Taarifa kutoka nchini Misri zinaripoti taarifa rasmi kutoka Shirikisho la Vilabu nchini Misri kuwa Zamalek imepewa ushindi wa mabao matatu na alama tatu baada ya Al Ahly kutotokea uwanjani kwa kutumia kifungu cha 4(17) kwenye Sheria na Kanuni za Mashindano.
Sambamba na hilo Al Ahly, wamekatwa alama tatu (zitachukuliwa mwishoni mwa msimu) huku pia wakiagizwa kulipa gharama zote za kibiashara pamoja na gharama za Warusha matangazo sambamba na gharama nyingine za ziada kwa mujibu wa kifungu cha 8(17).
Wakati Tanzania Mashabiki wakilalamika, wakati Tanzania Mrusha Matangazo akiingia gharama ambazo mchezo haukuoneshwa, huko Misri Al Ahly kaambiwa awalipe Wadau wote akiwemo Mrusha matangazo kwa hasara aliyomletea, hapa wanalinda maslahi ya Wadhamini.
Licha ya hivyo Al Ahly wamepeleka malalamiko yao kwa Kamati ya Olympic nchini humo ambapo Shirikisho la soka Misri likisubiri majibu ya sakata hilo.
(Farhan JR)
KLABU YA AL AHLY YAKATWA ALAMA NA ZAMALEK YAPEWA USHINDI CAIRO DERBY Taarifa kutoka nchini Misri zinaripoti taarifa rasmi kutoka Shirikisho la Vilabu nchini Misri kuwa Zamalek imepewa ushindi wa mabao matatu na alama tatu baada ya Al Ahly kutotokea uwanjani kwa kutumia kifungu cha 4(17) kwenye Sheria na Kanuni za Mashindano. Sambamba na hilo Al Ahly, wamekatwa alama tatu (zitachukuliwa mwishoni mwa msimu) huku pia wakiagizwa kulipa gharama zote za kibiashara pamoja na gharama za Warusha matangazo sambamba na gharama nyingine za ziada kwa mujibu wa kifungu cha 8(17). Wakati Tanzania Mashabiki wakilalamika, wakati Tanzania Mrusha Matangazo akiingia gharama ambazo mchezo haukuoneshwa, huko Misri Al Ahly kaambiwa awalipe Wadau wote akiwemo Mrusha matangazo kwa hasara aliyomletea, hapa wanalinda maslahi ya Wadhamini. Licha ya hivyo Al Ahly wamepeleka malalamiko yao kwa Kamati ya Olympic nchini humo ambapo Shirikisho la soka Misri likisubiri majibu ya sakata hilo. (Farhan JR) -