• 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·82 Views
  • https://meds4go.com/ivermectin-12-mg/
    https://meds4go.com/ivermectin-12-mg/
    Buy Ivermectin 12 mg (Iverheal): Safe Uses, Dosage, Price
    meds4go.com
    Ivermectin 12 mg tablet is FDA approved for use in humans to treat a variety of parasitic infections. Buy iverheal online at low price and free delivery.
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·90 Views
  • Habari ya jion tena .leo tunaendelea tena na tafsiri ya ndoto kiroho kwa kutumia biblia .

    Ukiota ndoto umekaa na viongozi wakuu wanchi ,unawawakilisha au hata unashare nao majukumu au company ywko ndotoni nini maana yake.?

    Mithali 18:16

    1.Ndoto hii inaashiria karama au kibali kinacho kuja mbele yako au uwezo wako wa ndani rohoni jinsi unavyo tizamwa.

    2.Inawakilisha kuwa kuna msimu mpya unakuja na nafasi mpya njema katika maisha yako.

    3. Inaonyesha pia unaweza ukawa unashare naye destiny huyo kiongozi yaani rohoni mko level moja sasa inategemea huyo uongozi wake msingi wake ni upi?


    Mwanzo 40:9-23 wote waliota ndoto zinazo elekeana lakini hazikufanana

    4.Unaukuu ndani yako wa kiuongozi ni vile tu umejisahau sana .anza kuliishi kusudi lako ili uifikie hatma yako.
    Zaburi 113:7-8

    Maana ya jumla .
    Viongozi katika ndotocwanawakilisha roho yenye mamlaka ya kutawala na yenye nguvu wakutawala na kumiliki juu ya nchi.

    Unapo wakilisha wakuu au kuona nafasi ya ukuu ndani yako wanawakikisha kutiwa mafuta kwa nafsi yako ili upate kuwa mtu fulani katika nchi.

    Ndoto za ukuu mara nyingi zinakuwaga na vita sana zinataka kusimama sana na Mungu kwani ukitaka kuona msome yusuph katika mwanzo 37

    NB .Kuota swala moja na kutimia swala moja ili litimie lazima ujifunze namna ya kuomba Mungu.

    Namna ya kuomba .

    1.kuwa mtu wa imani amini anza kuomba rehema na shukrani.

    2.Omba Mungu aifanikishe isibaki kuwa ndoto tu (ndoto iliyo zuiwa rohoni)

    3.Chuchumilia mbele za Mungu mpaka itimie kwa mifungo mingi na maombi mengi sana.

    4.Kama kuna nafasi chuku hatua ya kuomba Mungu akusogezee watu sahii ambao wanaweza kuwa wakuu.

    Ok naitwa sylvester kutoka (build new eden.
    Habari ya jion tena .leo tunaendelea tena na tafsiri ya ndoto kiroho kwa kutumia biblia . Ukiota ndoto umekaa na viongozi wakuu wanchi ,unawawakilisha au hata unashare nao majukumu au company ywko ndotoni nini maana yake.? Mithali 18:16 1.Ndoto hii inaashiria karama au kibali kinacho kuja mbele yako au uwezo wako wa ndani rohoni jinsi unavyo tizamwa. 2.Inawakilisha kuwa kuna msimu mpya unakuja na nafasi mpya njema katika maisha yako. 3. Inaonyesha pia unaweza ukawa unashare naye destiny huyo kiongozi yaani rohoni mko level moja sasa inategemea huyo uongozi wake msingi wake ni upi? Mwanzo 40:9-23 wote waliota ndoto zinazo elekeana lakini hazikufanana 4.Unaukuu ndani yako wa kiuongozi ni vile tu umejisahau sana .anza kuliishi kusudi lako ili uifikie hatma yako. Zaburi 113:7-8 Maana ya jumla . Viongozi katika ndotocwanawakilisha roho yenye mamlaka ya kutawala na yenye nguvu wakutawala na kumiliki juu ya nchi. Unapo wakilisha wakuu au kuona nafasi ya ukuu ndani yako wanawakikisha kutiwa mafuta kwa nafsi yako ili upate kuwa mtu fulani katika nchi. Ndoto za ukuu mara nyingi zinakuwaga na vita sana zinataka kusimama sana na Mungu kwani ukitaka kuona msome yusuph katika mwanzo 37 NB .Kuota swala moja na kutimia swala moja ili litimie lazima ujifunze namna ya kuomba Mungu. Namna ya kuomba . 1.kuwa mtu wa imani amini anza kuomba rehema na shukrani. 2.Omba Mungu aifanikishe isibaki kuwa ndoto tu (ndoto iliyo zuiwa rohoni) 3.Chuchumilia mbele za Mungu mpaka itimie kwa mifungo mingi na maombi mengi sana. 4.Kama kuna nafasi chuku hatua ya kuomba Mungu akusogezee watu sahii ambao wanaweza kuwa wakuu. Ok naitwa sylvester kutoka (build new eden.
    Share on WhatsApp
    w.app
    WhatsApp Messenger: More than 2 billion people in over 180 countries use WhatsApp to stay in touch with friends and family, anytime and anywhere. WhatsApp is free and offers simple, secure, reliable messaging and calling, available on phones all over the world.
    Love
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·677 Views
  • Like
    Love
    4
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·154 Views
  • Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·115 Views
  • Habari ya usiku ndugu zangu ni siku ya nne leo japo kwa kuchelewe tunaendelea na mwendelezo wa fasiri za ndoto kiblia .

    *Ungana nami Sylvester Mwakabende kwa ufafanuzi zaidi kadiri roho wa Bwana Atakavyo niongoza*

    *Je umewai kuota unafukuzwa na mbwa ? nini maana yake*? .


    Zaburi 22:16
    *[16]Kwa maana mbwa wamenizunguka Kusanyiko la waovu wamenisonga;
    Wamenizua mikono na miguu*
    For dogs have compassed me: the assembly of the wicked have inclosed me: they pierced my hands and my feet.

    1.Kufuatiliwa na roho chafu kama zinaa na uasherati

    Mithali26:11 SUV

    *Kama vile mbwa arudiavyo matapiko yake; Kadhalika mpumbavu afanya upumbavu tena.*

    Kutoka 22:31 BHN
    *Nyinyi mtakuwa watu waliowekwa wakfu kwangu. Kwa hiyo hamtakula nyama ya mnyama aliyeuawa na mnyama wa porini. Nyama hiyo mtawatupia mbwa.*

    Chochote kile kilicho kichafu upaswi kukila .

    Torati 23:18 BHN
    *Usilete ujira wa kahaba, wala mshahara wa mbwa, katika nyumba ya BWANA, Mungu wako, kwa ajili ya nadhiri yoyote; kwani haya ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako, yote mawili.*
    2wafalme 9;10

    Zaburi 22;20 BHN
    *Iokoe nafsi yangu mbali na upanga, yaokoe maisha yangu makuchani mwa mbwa hao!*

    *Mbwa ana nguvu maana yake mbwa anawakilisha roho chafu za zinaa, uasherati na machafu yote ya shetani .*
    .
    2.kuiacha njia ya bwana kama kuhani.

    Isaya 56:11 BHN
    *Hao ni kama mbwa wenye uchu sana, wala hawawezi kamwe kutoshelezwa. Wachungaji hao hawana akili yoyote; kila mmoja hutafuta faida yake mwenyewe.*

    Naombaje ?NAMNA YA KUOMBA

    1.Toba ya kweli kwa sababu ya kufungua mlango .

    2.kuhalibu kila njia ya uovu inayo kufuatilia

    3.Muone kuhani kwa ajiri ya ukombozi .

    4.kataa kabisa roho za uharibifu kwa kusimamisha madhabau ya Mungu kwa sadaka.

    Zingatia :Ndoto ni mlango Mungu anao utumia kupitisha ujumbe wake na shetani naye anatumia hivyo hivyo jifunze kuomba uongozi wa roho mtakatifu katika fasiri sahiii japo zingine uja kwa uchovu na shughuli nyingi.

    Ok naitwa Sylvester Mwakabende wa (Build new eden)
    Unaweza share somo hili kwa rafiki wengine.
    Simu no :0622625340
    Habari ya usiku ndugu zangu ni siku ya nne leo japo kwa kuchelewe tunaendelea na mwendelezo wa fasiri za ndoto kiblia . *Ungana nami Sylvester Mwakabende kwa ufafanuzi zaidi kadiri roho wa Bwana Atakavyo niongoza* *Je umewai kuota unafukuzwa na mbwa ? nini maana yake*? . Zaburi 22:16 *[16]Kwa maana mbwa wamenizunguka Kusanyiko la waovu wamenisonga; Wamenizua mikono na miguu* For dogs have compassed me: the assembly of the wicked have inclosed me: they pierced my hands and my feet. 1.Kufuatiliwa na roho chafu kama zinaa na uasherati Mithali26:11 SUV *Kama vile mbwa arudiavyo matapiko yake; Kadhalika mpumbavu afanya upumbavu tena.* Kutoka 22:31 BHN *Nyinyi mtakuwa watu waliowekwa wakfu kwangu. Kwa hiyo hamtakula nyama ya mnyama aliyeuawa na mnyama wa porini. Nyama hiyo mtawatupia mbwa.* Chochote kile kilicho kichafu upaswi kukila . Torati 23:18 BHN *Usilete ujira wa kahaba, wala mshahara wa mbwa, katika nyumba ya BWANA, Mungu wako, kwa ajili ya nadhiri yoyote; kwani haya ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako, yote mawili.* 2wafalme 9;10 Zaburi 22;20 BHN *Iokoe nafsi yangu mbali na upanga, yaokoe maisha yangu makuchani mwa mbwa hao!* *Mbwa ana nguvu maana yake mbwa anawakilisha roho chafu za zinaa, uasherati na machafu yote ya shetani .* . 2.kuiacha njia ya bwana kama kuhani. Isaya 56:11 BHN *Hao ni kama mbwa wenye uchu sana, wala hawawezi kamwe kutoshelezwa. Wachungaji hao hawana akili yoyote; kila mmoja hutafuta faida yake mwenyewe.* Naombaje ?NAMNA YA KUOMBA 1.Toba ya kweli kwa sababu ya kufungua mlango . 2.kuhalibu kila njia ya uovu inayo kufuatilia 3.Muone kuhani kwa ajiri ya ukombozi . 4.kataa kabisa roho za uharibifu kwa kusimamisha madhabau ya Mungu kwa sadaka. Zingatia :Ndoto ni mlango Mungu anao utumia kupitisha ujumbe wake na shetani naye anatumia hivyo hivyo jifunze kuomba uongozi wa roho mtakatifu katika fasiri sahiii japo zingine uja kwa uchovu na shughuli nyingi. Ok naitwa Sylvester Mwakabende wa (Build new eden) Unaweza share somo hili kwa rafiki wengine. Simu no :0622625340
    Love
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·656 Views
  • Kutoka Nchini China , Kuanzia Septemba 1, 2025, Nchi hiyo itaanzisha rasmi elimu ya lazima ya kujifunza matumizi ya Akili Bandia “Artificial intelligence" (Al) kwa wanafunzi wote katika Shule za msingi na sekondari, kuanzia Wanafunzi wakiwa na umri wa miaka sita (6). Wanafunzi watapokea angalau saa nane (8) za maelekezo ya (Al) kila mwaka, na maudhui yatapangwa kulingana na makundi ya umri kutoka shule za msingi hadi Sekondari ikihusisha kujifunza kwa "mashine" na roboti.

    Mkakati huu lengo ni kuwafahamisha Wanafunzi kuhusu dhana za (Al) mapema na kuwajengea ujuzi wa kiufundi hatua kwa hatua wanapoendelea kifikra kupitia mfumo wa elimu. Sera hii ni sehemu ya mpango mpana wa China wa kukuza ujuzi wa kidijitali na kupata Wataalamu wa muda mrefu katika Teknolojia zinazoibuka.

    Kwa kupachika elimu ya Al katika mtaala wake wa kitaifa, Nchi ya China inatarajia kuendeleza kizazi cha Teknolojia iliyo na vifaa vya kuongoza katika uchumi wa kimataifa unaokua kwa kasi. Hatua hii inatarajiwa kuleta mageuzi makubwa ya elimu kufikia mwaka 2035.

    Kutoka Nchini China 🇨🇳, Kuanzia Septemba 1, 2025, Nchi hiyo itaanzisha rasmi elimu ya lazima ya kujifunza matumizi ya Akili Bandia “Artificial intelligence" (Al) kwa wanafunzi wote katika Shule za msingi na sekondari, kuanzia Wanafunzi wakiwa na umri wa miaka sita (6). Wanafunzi watapokea angalau saa nane (8) za maelekezo ya (Al) kila mwaka, na maudhui yatapangwa kulingana na makundi ya umri kutoka shule za msingi hadi Sekondari ikihusisha kujifunza kwa "mashine" na roboti. Mkakati huu lengo ni kuwafahamisha Wanafunzi kuhusu dhana za (Al) mapema na kuwajengea ujuzi wa kiufundi hatua kwa hatua wanapoendelea kifikra kupitia mfumo wa elimu. Sera hii ni sehemu ya mpango mpana wa China wa kukuza ujuzi wa kidijitali na kupata Wataalamu wa muda mrefu katika Teknolojia zinazoibuka. Kwa kupachika elimu ya Al katika mtaala wake wa kitaifa, Nchi ya China inatarajia kuendeleza kizazi cha Teknolojia iliyo na vifaa vya kuongoza katika uchumi wa kimataifa unaokua kwa kasi. Hatua hii inatarajiwa kuleta mageuzi makubwa ya elimu kufikia mwaka 2035.
    Like
    2
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·507 Views
  • Privaldinho akijibu hoja pichani.

    "Biashara ya usemaji sio kama biashara ya matikitiki.

    Media ni kiungo muhimu sana kinachounganisha Idara ya Masoko na wanachama na mashibiki
    Idara ya Masoko na Wadau
    Idara ya masoko na jamii

    Usemaji ni zaidi ya tambo za mitandaoni mnazoona.

    Tumefanya activations nyingi sana ambazo msimamizi mkuu ni Ally Kamwe akishirikiana na @i_sammjr

    Ally Kamwe alianzisha match day treatment and agenda, Mfano Aziz Ki Day. Baadae wadau wakaweka fedha kwenye mechi za Bacca Day, Muda Day, Max Day na Pacome Day tulipaka bleech

    Tulipata wadau kama vile, ZIC, ZIPA PZB na CRDB. CRDB walisupport safari yetu ya kwenda Afrika Kusini Twenzetu kwa madiba ambapo Ally Kamwe aliongoza kampeni hiyo kupitia Azam TV.

    Ally Kamwe akaanzisha kampeni ya kupeleka mashabiki Rwanda na DR Congo ambazo zote ni ilikuwa media agenda, na klabu ilikusanya zaidi ya 100m.

    Tulipata dili za Visit Zanzibar ni moja ya dili kubwa sana ambapo klabu imeingiza zaidi ya milion 500. Dili hili limekuja kutokana na hamasa kubwa ya media ambayo imeongozwa na Ally Kamwe

    Supu Day ilidhaminiwa na Sportpesa na GSM klabu iliingiza zaidi ya milion 30. Kitabu, Documentary kote huku tumeingiza mamilion ya fedha.

    Tulikuwa na Public viewing hapa Jangwan tukiwa na GSM, Haier ambapo klabu iliingiza fedha kupitia hilo na yote hayo ilikuwa media agenda.

    Ukiachana na Hamasa ya media, kupitia idara ya media fedha nyingi zimeingia moja kwa moja chini ya usimamizi wa Msemaji wetu.

    Yanga SC inaingiza mamilion ya fedha kila mwezi kupitia Yanga APP ambapo hivi karibu tumekusanya zaidi ya milion 300 kupitia APP

    Yanga ndio klabu namba moja kwa views zaidi kupitia ukurasa wa Youtube barani AFRIKA ikiwa na views 221m. Huku YouTube kila mwezi Yanga inaingiza mamilion ya fedha.

    Media ya Yanga ndio imepush agenda kubwa ya usajili wa wanachama kwa klabu ambapo kwa mwaka tumekuwa na wastani Tsh 1 bilion kwenye zoezi ya usajili.

    Unaposema wasemaji unapaswa kumuondoa Ally Kamwe kwanza kisha ujadili hao wanaobakia.

    Hamasa ni hela. Tunaongelea Hamasa sio comedy. Kazi kubwa ambayo ameifanya Ally Kamwe imeiingizia Yanga mabilion ya hela. Tumeondoka kwenye Hamasa zaidi Makelele tukafanya biashara" - Privaldinho, Mkuu wa kitengo cha maudhui wa klabu ya Yanga SC.

    Privaldinho akijibu hoja pichani. "Biashara ya usemaji sio kama biashara ya matikitiki. Media ni kiungo muhimu sana kinachounganisha Idara ya Masoko na wanachama na mashibiki Idara ya Masoko na Wadau Idara ya masoko na jamii Usemaji ni zaidi ya tambo za mitandaoni mnazoona. Tumefanya activations nyingi sana ambazo msimamizi mkuu ni Ally Kamwe akishirikiana na @i_sammjr Ally Kamwe alianzisha match day treatment and agenda, Mfano Aziz Ki Day. Baadae wadau wakaweka fedha kwenye mechi za Bacca Day, Muda Day, Max Day na Pacome Day tulipaka bleech Tulipata wadau kama vile, ZIC, ZIPA PZB na CRDB. CRDB walisupport safari yetu ya kwenda Afrika Kusini Twenzetu kwa madiba ambapo Ally Kamwe aliongoza kampeni hiyo kupitia Azam TV. Ally Kamwe akaanzisha kampeni ya kupeleka mashabiki Rwanda na DR Congo ambazo zote ni ilikuwa media agenda, na klabu ilikusanya zaidi ya 100m. Tulipata dili za Visit Zanzibar ni moja ya dili kubwa sana ambapo klabu imeingiza zaidi ya milion 500. Dili hili limekuja kutokana na hamasa kubwa ya media ambayo imeongozwa na Ally Kamwe Supu Day ilidhaminiwa na Sportpesa na GSM klabu iliingiza zaidi ya milion 30. Kitabu, Documentary kote huku tumeingiza mamilion ya fedha. Tulikuwa na Public viewing hapa Jangwan tukiwa na GSM, Haier ambapo klabu iliingiza fedha kupitia hilo na yote hayo ilikuwa media agenda. Ukiachana na Hamasa ya media, kupitia idara ya media fedha nyingi zimeingia moja kwa moja chini ya usimamizi wa Msemaji wetu. Yanga SC inaingiza mamilion ya fedha kila mwezi kupitia Yanga APP ambapo hivi karibu tumekusanya zaidi ya milion 300 kupitia APP Yanga ndio klabu namba moja kwa views zaidi kupitia ukurasa wa Youtube barani AFRIKA ikiwa na views 221m. Huku YouTube kila mwezi Yanga inaingiza mamilion ya fedha. Media ya Yanga ndio imepush agenda kubwa ya usajili wa wanachama kwa klabu ambapo kwa mwaka tumekuwa na wastani Tsh 1 bilion kwenye zoezi ya usajili. Unaposema wasemaji unapaswa kumuondoa Ally Kamwe kwanza kisha ujadili hao wanaobakia. Hamasa ni hela. Tunaongelea Hamasa sio comedy. Kazi kubwa ambayo ameifanya Ally Kamwe imeiingizia Yanga mabilion ya hela. Tumeondoka kwenye Hamasa zaidi Makelele tukafanya biashara" - Privaldinho, Mkuu wa kitengo cha maudhui wa klabu ya Yanga SC.
    Like
    Love
    2
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·703 Views
  • Kutoka Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , Mke wa Rais wa zamani wa Nchi hiyo Joseph Kabila Kabange, Olive Lembe Kabila, ametangaza kwamba Wanajeshi wa DR Congo waliopelekwa kwenye Shamba la Ng'ombe la Joseph Kabila lililopo Mkoani Haut-Katanga, waliiba, kuchinja na kula Ng'ombe wao waliowakuta katika Shamba hilo.

    Olive Lembe amesema hayo kwamba Wanajeshi hao walikuwa kwenye Shamba la Kundelungu lililoko katika Mkoa wa Haut-Katanga na kwamba hawakuwa na ruhusa ya kuingia kwenye mali ya familia yao. Mbali na kuchukua kompyuta na simu za mkononi za Wafanyakazi wa shamba hilo, Mwanamama huyo alieleza pia kuwa Wanajeshi hao walikuwa wakichinja Ng'ombe wao kwa ajili ya kula kwa sababu hawakuwa na chakula walichobeba.

    "Wanajeshi hawa walikuwa wakiiba kompyuta na simu za Wafanyakazi wa shamba. Walikuja bila chakula, sasa walichinja Ng'ombe wetu ili kula." alisema Lembe.

    Ikumbukwe kwamba Serikali ya DR Congo ilitangaza kuchukua mali zote za Kabila (kustaafisha) baada ya ziara yake ya tarehe 18 Aprili katika Jiji la Goma linalodhibitiwa na Muungano wa AFC/M23. Serikali ilikuwa ilituma Wanajeshi wa upelelezi kwenye mali zake, ikiwemo Nyumba yake iliyo katika eneo la Limete Mjini Kinshasa, wakisema walikuwa wakitafuta vifaa vya kijeshi ambavyo vinaweza kuwa vimefichwa.

    Lembe anasema kuwa Serikali ya DR Congo inaendelea kufanya mateso kwa familia yao, na kudai kwamba ina mpango wa kuwaangamiza.

    Kutoka Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩, Mke wa Rais wa zamani wa Nchi hiyo Joseph Kabila Kabange, Olive Lembe Kabila, ametangaza kwamba Wanajeshi wa DR Congo waliopelekwa kwenye Shamba la Ng'ombe la Joseph Kabila lililopo Mkoani Haut-Katanga, waliiba, kuchinja na kula Ng'ombe wao waliowakuta katika Shamba hilo. Olive Lembe amesema hayo kwamba Wanajeshi hao walikuwa kwenye Shamba la Kundelungu lililoko katika Mkoa wa Haut-Katanga na kwamba hawakuwa na ruhusa ya kuingia kwenye mali ya familia yao. Mbali na kuchukua kompyuta na simu za mkononi za Wafanyakazi wa shamba hilo, Mwanamama huyo alieleza pia kuwa Wanajeshi hao walikuwa wakichinja Ng'ombe wao kwa ajili ya kula kwa sababu hawakuwa na chakula walichobeba. "Wanajeshi hawa walikuwa wakiiba kompyuta na simu za Wafanyakazi wa shamba. Walikuja bila chakula, sasa walichinja Ng'ombe wetu ili kula." alisema Lembe. Ikumbukwe kwamba Serikali ya DR Congo ilitangaza kuchukua mali zote za Kabila (kustaafisha) baada ya ziara yake ya tarehe 18 Aprili katika Jiji la Goma linalodhibitiwa na Muungano wa AFC/M23. Serikali ilikuwa ilituma Wanajeshi wa upelelezi kwenye mali zake, ikiwemo Nyumba yake iliyo katika eneo la Limete Mjini Kinshasa, wakisema walikuwa wakitafuta vifaa vya kijeshi ambavyo vinaweza kuwa vimefichwa. Lembe anasema kuwa Serikali ya DR Congo inaendelea kufanya mateso kwa familia yao, na kudai kwamba ina mpango wa kuwaangamiza.
    Like
    Love
    3
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·378 Views
  • Like
    2
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·104 Views