
-
Wakati mwengine chuki haina uhusiano wowote na mafanikio, Binadamu wanaweza wakawa wamekuzidi kila kitu lakini bado wakakuchukia✍🏿 Usiache kuishi kwa furahaWakati mwengine chuki haina uhusiano wowote na mafanikio, Binadamu wanaweza wakawa wamekuzidi kila kitu lakini bado wakakuchukia✍🏿 Usiache kuishi kwa furaha
-
-
Uliyemfundisha kuvuka barabara jana leo ndiyo anayekuombea ugongwe na gari. Ishi nao tu sababu malipo ya wema ni ubaya kwenye hii dunia ya leo."Uliyemfundisha kuvuka barabara jana leo ndiyo anayekuombea ugongwe na gari. Ishi nao tu sababu malipo ya wema ni ubaya kwenye hii dunia ya leo."😎😎
-
"Tunasamehe sababu hatua tunazopitia zinahitaji amani zaidi kuliko chuki""Tunasamehe sababu hatua tunazopitia zinahitaji amani zaidi kuliko chuki"
-
My best series 2024 #socialpopMy best series 2024 #socialpop💪🔥🔥🔥
-
Changamoto katika maisha uleta chachu ya maendeleoChangamoto katika maisha uleta chachu ya maendeleo
-
-
-