Socialpop Socialpop
Результаты поиска
Все результаты
  • Вступить
    Войти
    Регистрация
    Поиск
    Ночной режим

Каталог

Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village

  • Пользователи
  • Записей
  • Страницы
  • Группы
  • Мероприятия
  • Статьи пользователей
  • Marketplace
  • Funding
  • Offers
  • Jobs
  • Courses
  • Форумы
  • Кинозал
  • Paulswai добавлено видео Общий
    2024-08-16 09:16:19 -
    Like
    Love
    4
    2 Комментарии 0 Поделились 124 Просмотры 82
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Bernald Peter добавлены фото & является Настроение Сила
    2024-08-16 09:33:28 -
    #socilapop #bernaldpeter #therapist
    #socilapop #bernaldpeter #therapist
    Love
    Like
    Haha
    11
    17 Комментарии 0 Поделились 1Кб Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Paul Swai
    добавлено видео Общий
    2024-08-16 11:53:27 -
    Vipimo vya afya vimekamilika vyema kwa Ateba 🩻.
    🩺 Vipimo vya afya vimekamilika vyema kwa Ateba 🩻.
    Love
    3
    2 Комментарии 0 Поделились 317 Просмотры 37
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Van Tawa
    2024-08-16 12:59:06 -
    It's another day say amen kwenye comment ✊🏿
    It's another day say amen kwenye comment ✊🏿
    Love
    Like
    3
    2 Комментарии 0 Поделились 619 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Paul Swai
    добавлены фото
    2024-08-16 13:46:31 -

    Kitendo hicho kimelaaniwa vikali na msimamizi wa CAF akidai sio uungwana kwa klabu kama Yanga kushindwa kutii maagizo ya CAF angali Taarifa wanayo.

    Hata hivyo kwa mujibu wa Yanga kupitia mmoja wa ofisa wa benchi la ufundi alipopigiwa simu na waandishi kujua shida nini alidai hawana taarifa yoyote ya muda na wapi Mkutano unafanyika
    Kitendo hicho kimelaaniwa vikali na msimamizi wa CAF akidai sio uungwana kwa klabu kama Yanga kushindwa kutii maagizo ya CAF angali Taarifa wanayo. Hata hivyo kwa mujibu wa Yanga kupitia mmoja wa ofisa wa benchi la ufundi alipopigiwa simu na waandishi kujua shida nini alidai hawana taarifa yoyote ya muda na wapi Mkutano unafanyika
    Love
    1
    1 Комментарии 0 Поделились 144 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Papillon Tz добавлены фото
    2024-08-16 16:52:17 -
    "Moja kati ya wachezaji ambao nilikuwa navutiwa nao katika nchi hii, waliowahi kucheza kwenye ligi kuu ya Tanzania ni Clatous Chama. Ni moja kati ya wachezaji bora, kiwango alichokuwa nacho na mchango wake kwenye timu ni mkubwa sana"

    "Hii ni heshima kubwa kwa mchezaji kama huyo kuja kucheza Young Africans, na haikuwa rahisi pia kumleta. Kwahiyo tusidharau hiki kitu kwa kutuambia eti Chama ni mzee sijui maji ya jioni hizi ni kauli tunazijua sizitaki mbichi hizi,"

    "Dhamira yetu ni ile ile kama Yanga, kila mashindano tunayoshiriki tunataka kubeba kombe, kwahiyo klabu bingwa tukiweka mguu Jumamosi dhamira kubwa na kwa baraka za mwenyezi Mungu kwanini tusiwe timu ya kwanza kuleta kombe la Afrika hapa Tanzania? Hayo ndio malengo yetu," Inj. Hersi Said, Rais wa klabu ya Yanga SC.

    "Moja kati ya wachezaji ambao nilikuwa navutiwa nao katika nchi hii, waliowahi kucheza kwenye ligi kuu ya Tanzania ni Clatous Chama. Ni moja kati ya wachezaji bora, kiwango alichokuwa nacho na mchango wake kwenye timu ni mkubwa sana" "Hii ni heshima kubwa kwa mchezaji kama huyo kuja kucheza Young Africans, na haikuwa rahisi pia kumleta. Kwahiyo tusidharau hiki kitu kwa kutuambia eti Chama ni mzee sijui maji ya jioni hizi ni kauli tunazijua sizitaki mbichi hizi," "Dhamira yetu ni ile ile kama Yanga, kila mashindano tunayoshiriki tunataka kubeba kombe, kwahiyo klabu bingwa tukiweka mguu Jumamosi dhamira kubwa na kwa baraka za mwenyezi Mungu kwanini tusiwe timu ya kwanza kuleta kombe la Afrika hapa Tanzania? Hayo ndio malengo yetu," Inj. Hersi Said, Rais wa klabu ya Yanga SC.
    Like
    4
    2 Комментарии 0 Поделились 284 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Papillon Tz добавлены фото
    2024-08-16 16:52:33 -
    Like
    3
    2 Комментарии 0 Поделились 171 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Papillon Tz добавлены фото
    2024-08-16 16:52:52 -
    Like
    Love
    4
    3 Комментарии 0 Поделились 171 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Papillon Tz добавлены фото
    2024-08-16 16:53:07 -
    Like
    4
    3 Комментарии 0 Поделились 177 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Papillon Tz добавлены фото
    2024-08-16 16:53:46 -
    Kwani majini hayaruhusiwi kunyoa kiduku? inabidi tufanye utafiti hapa maana "No Research, No Right to Speak"!

    Naam hili ni kosa la Muongozaji (Director) wa Filamu pamoja na Mtu wake wa "Make Up" maana ndiyo wahusika zaidi katika ubunifu wa muonekano wa Wachezaji (Waigizaji) yaani"Characters".

    Waongozaji simamieni ubora wa kazi zenu, Watazamaji wa sasa siyo wa enzi hizo, Watazamaji wa sasa wanaangalia Filamu kibao za nje hivyo wanajua pumba na mchele ni upi, wakiona kazi fulani wanajua hii ndiyo au hii hapana, hizi siyo enzi za "Nsyuka" jini anaangalia magari asigongwe kisha anavuka barabara, enzi hizo tulishindwa kukosoa kwa sababu tulikuwa nyuma sana kifikra.
    Kwani majini hayaruhusiwi kunyoa kiduku? inabidi tufanye utafiti hapa maana "No Research, No Right to Speak"! 🤣🤣 Naam hili ni kosa la Muongozaji (Director) wa Filamu pamoja na Mtu wake wa "Make Up" maana ndiyo wahusika zaidi katika ubunifu wa muonekano wa Wachezaji (Waigizaji) yaani"Characters". Waongozaji simamieni ubora wa kazi zenu, Watazamaji wa sasa siyo wa enzi hizo, Watazamaji wa sasa wanaangalia Filamu kibao za nje hivyo wanajua pumba na mchele ni upi, wakiona kazi fulani wanajua hii ndiyo au hii hapana, hizi siyo enzi za "Nsyuka" jini anaangalia magari asigongwe kisha anavuka barabara, enzi hizo tulishindwa kukosoa kwa sababu tulikuwa nyuma sana kifikra.
    Like
    Love
    5
    3 Комментарии 0 Поделились 1Кб Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Отображение (2551-2560 из 36382)
  • «
  • Назад
  • 254
  • 255
  • 256
  • 257
  • 258
  • Далее
  • »
© 2026 Socialpop Russian
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
О нас Условия использования Конфиденциальность Свяжитесь с нами Каталог