• How to Use Cenforce Tablet for Best Results
    How to Use Cenforce Tablet for Best Results
    0 Комментарии ·0 Поделились ·35 Просмотры
  • 0 Комментарии ·0 Поделились ·22 Просмотры
  • 0 Комментарии ·0 Поделились ·14 Просмотры
  • A space made just for them

    Welcome to our Ampang outlet, thoughtfully designed to support every child’s journey. With a sensory-friendly playground, climbing area and mock classrooms for both group and 1-on-1 sessions. We make space for different ways of learning for your child to thrive.

    Located in KL Trillion
    Visit Now:- https://abcautism.com.my/
    ✨A space made just for them✨ Welcome to our Ampang outlet, thoughtfully designed to support every child’s journey. With a sensory-friendly playground, climbing area and mock classrooms for both group and 1-on-1 sessions. We make space for different ways of learning for your child to thrive. 📍Located in KL Trillion 🌐 Visit Now:- https://abcautism.com.my/
    0 Комментарии ·0 Поделились ·120 Просмотры
  • Real Madrid wametoa taarifa ya KUKATAA VIKALI wazo la kuchezwa kwa mechi ya La Liga kati ya Villarreal na Barcelona huko Miami

    Wazo hilo lilitekelezwa bila kushauriana awali na vilabu vinavyoshiriki La Liga, jambo linalokiuka kanuni muhimu ya "mshikamano wa maeneo" inayosimamia mfumo wa ligi wa mechi za nyumbani na ugenini.

    Mabadiliko ya aina hii yanapaswa kuwa na idhini ya wazi na ya pamoja kutoka kwa vilabu vyote vinavyoshiriki, pamoja na kutimiza kikamilifu masharti ya kitaifa na kimataifa yanayosimamia uendeshaji wa mashindano rasmi.

    Katika kutetea kanuni hii, Real Madrid imechukua hatua tatu mahsusi:

    1. Kuwasilisha ombi kwa FIFA kuzuia mechi hiyo kuchezwa bila idhini ya awali kutoka kwa vilabu vyote vya La Liga.

    2. Kuwasilisha ombi kwa UEFA kuomba RFEF iondoe au ikatae ombi hilo, ikisisitiza vigezo vilivyowekwa mwaka 2018 vinavyokataza kuchezwa kwa mechi rasmi za mashindano ya ndani nje ya ardhi ya taifa, isipokuwa kwa hali za kipekee na zilizo na sababu za msingi ambazo katika kesi hii hazikutimia.

    3. Kuwasilisha ombi kwa Baraza Kuu la Michezo(Consejo Superior de Deportes) kuto kutoa vibali vya kiutawala vinavyohitajika bila kuwepo kwa idhini ya pamoja kutoka kwa vilabu vyote.

    #SportsElite
    ❌⛔🇪🇸Real Madrid wametoa taarifa ya KUKATAA VIKALI wazo la kuchezwa kwa mechi ya La Liga kati ya Villarreal na Barcelona huko Miami Wazo hilo lilitekelezwa bila kushauriana awali na vilabu vinavyoshiriki La Liga, jambo linalokiuka kanuni muhimu ya "mshikamano wa maeneo" inayosimamia mfumo wa ligi wa mechi za nyumbani na ugenini. Mabadiliko ya aina hii yanapaswa kuwa na idhini ya wazi na ya pamoja kutoka kwa vilabu vyote vinavyoshiriki, pamoja na kutimiza kikamilifu masharti ya kitaifa na kimataifa yanayosimamia uendeshaji wa mashindano rasmi. Katika kutetea kanuni hii, Real Madrid imechukua hatua tatu mahsusi: 1. Kuwasilisha ombi kwa FIFA kuzuia mechi hiyo kuchezwa bila idhini ya awali kutoka kwa vilabu vyote vya La Liga. 2. Kuwasilisha ombi kwa UEFA kuomba RFEF iondoe au ikatae ombi hilo, ikisisitiza vigezo vilivyowekwa mwaka 2018 vinavyokataza kuchezwa kwa mechi rasmi za mashindano ya ndani nje ya ardhi ya taifa, isipokuwa kwa hali za kipekee na zilizo na sababu za msingi ambazo katika kesi hii hazikutimia. 3. Kuwasilisha ombi kwa Baraza Kuu la Michezo(Consejo Superior de Deportes) kuto kutoa vibali vya kiutawala vinavyohitajika bila kuwepo kwa idhini ya pamoja kutoka kwa vilabu vyote. #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·88 Просмотры
  • Real Madrid pamoja na PSG ziko kwenye mbio za kuiwania saini ya beki Ibrahima Konaté.

    Kiwango cha ada ya uhamisho inaweza kutolewa na vilabu vyote viwili..

    (Source: Diario AS)

    #SportsElite
    🚨 Real Madrid pamoja na PSG ziko kwenye mbio za kuiwania saini ya beki Ibrahima Konaté. 😳🇫🇷 Kiwango cha ada ya uhamisho inaweza kutolewa na vilabu vyote viwili.. (Source: Diario AS) #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·59 Просмотры
  • Iwapo Savinho atajiunga na Tottenham, Manchester City imepanga kumnunua Rodrygo..

    (Source: Fabrizio Romano)

    #SportsElite
    🚨 Iwapo Savinho atajiunga na Tottenham, Manchester City imepanga kumnunua Rodrygo.. (Source: Fabrizio Romano) #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·28 Просмотры
  • Manchester City imemuongeza mchezaji Maghnes Akliouche kwenye rada zake .

    (Source: Florian Plettenberg)

    #SportsElite
    🚨 Manchester City imemuongeza mchezaji Maghnes Akliouche kwenye rada zake . 🇫🇷🔵 (Source: Florian Plettenberg) #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·55 Просмотры
  • Manchester United iko tayari kutoa kiasi chochote cha pesa ili kumsajiri Carlos Baleba dirisha hili .

    (Source: TEAMtalk)

    #SportsElite
    🚨 Manchester United iko tayari kutoa kiasi chochote cha pesa ili kumsajiri Carlos Baleba dirisha hili . (Source: TEAMtalk) #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·35 Просмотры
  • Barcelona imeumizwa na uhamisho wa Benjamin Sesko kwenda Manchester United.

    Kwani walitarajia kumuuza Robert Lewandowski kwenda Saudi Arabia ndio wamesajili Benjamin Sesko amesema Deco.

    (Source: Sport)

    #SportsElite
    🚨 Barcelona imeumizwa na uhamisho wa Benjamin Sesko kwenda Manchester United. Kwani walitarajia kumuuza Robert Lewandowski kwenda Saudi Arabia ndio wamesajili Benjamin Sesko amesema Deco. (Source: Sport) #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·60 Просмотры