• Hiki Hapa Kikosi Bora Cha Wiki Cha La Liga Kwa Mujibu Wa Sofascore

    #SportsElite
    馃毃 Hiki Hapa Kikosi Bora Cha Wiki Cha La Liga Kwa Mujibu Wa Sofascore #SportsElite
    0 Commentarios 0 Acciones 54 Views
  • ...Klabu ya namungo imekamilisha usajili wa golikipa wa kvz ya Zanzibar,Suleiman Said kwa mkataba wa miaka miwili.

    Unaambiwa jamaa anataka vibaya mnoo

    #SportsElite
    鉁嶏笍...Klabu ya namungo imekamilisha usajili wa golikipa wa kvz ya Zanzibar,Suleiman Said kwa mkataba wa miaka miwili. 馃弲Unaambiwa jamaa anataka vibaya mnoo #SportsElite
    0 Commentarios 0 Acciones 186 Views
  • Klabu ya Chelsea ili msajili Renato Veiga kwa ada ya £12M dirisha lililopita.

    Amecheza mchezo mmoja ndani ya Premier League lakini dirisha hili anauzwa kwenda Villarreal kwa ada ya £25M.

    Biashara nzuri Sanaa kwa Chelsea

    #SportsElite
    馃毃Klabu ya Chelsea ili msajili Renato Veiga kwa ada ya £12M dirisha lililopita. Amecheza mchezo mmoja ndani ya Premier League lakini dirisha hili anauzwa kwenda Villarreal kwa ada ya £25M. 馃く馃く馃く Biashara nzuri Sanaa kwa Chelsea 馃挵 #SportsElite
    0 Commentarios 0 Acciones 223 Views
  • Wolverhampton na West Ham United zinamtaka kiungo wa kazi chafu kutoka klabu ya FC Barcelona Marc Casado

    Lakini mchezaji huyo hana mpango wa kuachana na klabu hiyo

    馃毃馃毃Wolverhampton na West Ham United zinamtaka kiungo wa kazi chafu kutoka klabu ya FC Barcelona Marc Casado 馃檶 Lakini mchezaji huyo hana mpango wa kuachana na klabu hiyo 馃檶
    0 Commentarios 0 Acciones 115 Views
  • Sadio Mané: "Ilipofika zamu yangu ya kukaguliwa kulikuwa na mzee mmoja ambaye alinitazama kana kwamba nilikuwa mahali pabaya. Akaniuliza: "upo hapa kwa ajili ya majaribio?" nikasema ndio.
    "Kwa viatu hivyo? Viangalie, unawezaje kufikiria kucheza navyo?", aliniambia.
    Kwa kweli vilikuwa vichakavu, vyazamani na vimeharbiika.

    Kisha akaongeza, "Na hiyo kaptula? Je, huna kaptula yoyote ya soka?"
    Nilimwambia kwamba nilikuwa pale na vifaa bora zaidi nilivyokuwa navyo na kwamba nilitaka tu kucheza na kuonyesha uwezo wangu.

    Na nilipoenda uwanjani nikaona mshangao usoni mwake. Alikuja kwangu na kusema: "Nitakusaini mara moja, utacheza kwenye timu yangu."

    Niliishi maisha ya njaa, nilinusurika katika nyakati ngumu, nilicheza bila viatu na sikuenda shule.

    Sijui ni kitu gani cha kufurahisha, sijawahi kwenda kwenye sherehe kwa sababu najua siwezi kufanya vizuri uwanjani na sitafikia malengo yangu.

    Leo, kwa kile ninachopata, ninaweza kusaidia wengine.

    Nilijenga shule, uwanja wa michezo, tulitoa nguo, viatu na chakula kwa watu walio katika umaskini uliokithiri. Na kisha mimi huchangia euro 70 kwa mwezi kwa wakazi wote wa eneo maskini sana la Senegal, ili kukuza uchumi wa familia zao.

    Kwa nini nitake Ferrari kumi, saa ishirini za almasi na ndege mbili? Je, mambo haya yana faida gani kwa ulimwengu?

    Siwezi hata kucheza Playstation, ambayo ni hobi kubwa ya wachezaji wenzangu. Sijawahi kuitumia, nadhani ni njia tu ya kupoteza muda na sitaki kupoteza muda wangu bila sababu."

    Sadio Mané

    #SportsElite
    馃棧锔忦煄欙笍馃槩馃嚫馃嚦Sadio Mané: "Ilipofika zamu yangu ya kukaguliwa kulikuwa na mzee mmoja ambaye alinitazama kana kwamba nilikuwa mahali pabaya. Akaniuliza: "upo hapa kwa ajili ya majaribio?" nikasema ndio. "Kwa viatu hivyo? Viangalie, unawezaje kufikiria kucheza navyo?", aliniambia. Kwa kweli vilikuwa vichakavu, vyazamani na vimeharbiika. Kisha akaongeza, "Na hiyo kaptula? Je, huna kaptula yoyote ya soka?" Nilimwambia kwamba nilikuwa pale na vifaa bora zaidi nilivyokuwa navyo na kwamba nilitaka tu kucheza na kuonyesha uwezo wangu. Na nilipoenda uwanjani nikaona mshangao usoni mwake. Alikuja kwangu na kusema: "Nitakusaini mara moja, utacheza kwenye timu yangu." Niliishi maisha ya njaa, nilinusurika katika nyakati ngumu, nilicheza bila viatu na sikuenda shule. Sijui ni kitu gani cha kufurahisha, sijawahi kwenda kwenye sherehe kwa sababu najua siwezi kufanya vizuri uwanjani na sitafikia malengo yangu. Leo, kwa kile ninachopata, ninaweza kusaidia wengine. Nilijenga shule, uwanja wa michezo, tulitoa nguo, viatu na chakula kwa watu walio katika umaskini uliokithiri. Na kisha mimi huchangia euro 70 kwa mwezi kwa wakazi wote wa eneo maskini sana la Senegal, ili kukuza uchumi wa familia zao. Kwa nini nitake Ferrari kumi, saa ishirini za almasi na ndege mbili? Je, mambo haya yana faida gani kwa ulimwengu? Siwezi hata kucheza Playstation, ambayo ni hobi kubwa ya wachezaji wenzangu. Sijawahi kuitumia, nadhani ni njia tu ya kupoteza muda na sitaki kupoteza muda wangu bila sababu." Sadio Mané馃嚫馃嚦 #SportsElite
    0 Commentarios 0 Acciones 491 Views
  • 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊:Kocha wa Brazil Ancelotti huwenda asimjumuishe Militão kwenye kikosi chake

    Hivyo anahitaji Militão apate mda wa kupumzika Madrid.

    #SportsElite
    馃毃 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊:Kocha wa Brazil Ancelotti huwenda asimjumuishe Militão kwenye kikosi chake鈿狅笍馃嚙馃嚪 Hivyo anahitaji Militão apate mda wa kupumzika Madrid. #SportsElite
    0 Commentarios 0 Acciones 63 Views
  • Beki wa kati wa klabu ya Manchester City Manuel Akanji raia wa Switzerland anakaribia kujiunga na klabu ya Galatasaray ya uturukii.

    #SportsElite
    馃毃Beki wa kati wa klabu ya Manchester City Manuel Akanji raia wa Switzerland 馃嚚馃嚟 anakaribia kujiunga na klabu ya Galatasaray ya uturukii. #SportsElite
    0 Commentarios 0 Acciones 241 Views
  • Nyota mpya wa Real Madrid Franco Manstantuono(18), amefanikiwa kucheza mchezo wake wa kwanza hii leo dhidi ya Osasuna akiingia dakika ya 68' ya mchezo.

    Manstantuono amesajiliwa na Madrid akitokea River plate na ni moja ya vijana wenye vipaji vikubwa na ni kesho njema kwa Argentina.

    Mchezo umemalizika kwa Real Madrid kuibuka na ushindi wa goli 1锔忊儯 kwa 0锔忊儯.

    Kesho inaandaliwa

    #SportsElite
    馃毃馃毃Nyota mpya wa Real Madrid Franco Manstantuono(18)馃嚘馃嚪, amefanikiwa kucheza mchezo wake wa kwanza hii leo dhidi ya Osasuna akiingia dakika ya 68' ya mchezo. Manstantuono amesajiliwa na Madrid akitokea River plate na ni moja ya vijana wenye vipaji vikubwa na ni kesho njema kwa Argentina. Mchezo umemalizika kwa Real Madrid kuibuka na ushindi wa goli 1锔忊儯 kwa 0锔忊儯. Kesho inaandaliwa馃嚘馃嚪馃敟 #SportsElite
    0 Commentarios 0 Acciones 151 Views
  • Nacho Fernandez amekuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya Saudi Super Cup kujifunga
    馃毃 Nacho Fernandez amekuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya Saudi Super Cup 馃弳 kujifunga
    0 Commentarios 0 Acciones 283 Views
  • Galliani (aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa AC Milan) ameweka wazi namna wachezaji Ronaldo De LIMA na Ronaldinho Gaucho walivyokuwa wasumbufu nje ya Uwanja wakati wakikipiga hapo.

    Galliani anasema: "Ronaldo na Ronaldinho walikuwa wavivu wa hali ya juu kabla ya mechi. Ronaldo alikuwa anakula kwa pupa na hakufuata mlo wowote licha ya kuongezeka uzito. Ronaldinho hakujua hata jina la timu tutakayocheza nayo siku ya mechi.

    "Lakini walipoingia uwanjani walikuwa wanakiwasha na walikuwa hawazuiliki."

    #SportsElite
    馃毃馃毃Galliani (aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa AC Milan) ameweka wazi namna wachezaji Ronaldo De LIMA na Ronaldinho Gaucho walivyokuwa wasumbufu nje ya Uwanja wakati wakikipiga hapo. Galliani anasema: "Ronaldo na Ronaldinho walikuwa wavivu wa hali ya juu kabla ya mechi. Ronaldo alikuwa anakula kwa pupa na hakufuata mlo wowote licha ya kuongezeka uzito. Ronaldinho hakujua hata jina la timu tutakayocheza nayo siku ya mechi. "Lakini walipoingia uwanjani walikuwa wanakiwasha na walikuwa hawazuiliki." #SportsElite
    0 Commentarios 0 Acciones 167 Views