• 0 Commenti 0 condivisioni 3 Views
  • OFFICIAL - Klabu y Bournemouth imethibitisha kukamilisha usajili Amine Adli kutoka Leverkusen kwa ada ya £29m na mkataba hadi June 20230.

    #SportsElite
    馃毃 OFFICIAL - Klabu y Bournemouth imethibitisha kukamilisha usajili Amine Adli kutoka Leverkusen kwa ada ya £29m na mkataba hadi June 20230.馃嚥馃嚘馃敶 #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 13 Views
  • BREAKING - Eberechi Eze atafanyiwa Vipimo vya Afya kesho Ijumaa baada ya kucheza mchezo wa mwisho leo wa Crystal Palace dhidi ya Fredrikstand..

    Kesho Ijumaa Eze atafanyiwa Vipimo kama mchezaji mpya wa Arsenal kwa ada ya £68m na mkataba 2030.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    馃彺鬆仹鬆仮鬆仴鬆伄鬆仹鬆伩馃毃 BREAKING - Eberechi Eze atafanyiwa Vipimo vya Afya kesho Ijumaa baada ya kucheza mchezo wa mwisho leo wa Crystal Palace dhidi ya Fredrikstand.. Kesho Ijumaa Eze atafanyiwa Vipimo kama mchezaji mpya wa Arsenal kwa ada ya £68m na mkataba 2030. Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 17 Views
  • Winga wa Brighton Julio Enciso sasa yuko njiani kuelekea Uingereza kukamilisha usajili wa kujiunga na BlueCo kisha msimu ujao atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2031 na nyongeza hadi June 2032

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    馃毃 Winga wa Brighton Julio Enciso sasa yuko njiani kuelekea Uingereza kukamilisha usajili wa kujiunga na BlueCo kisha msimu ujao atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2031 na nyongeza hadi June 2032 Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 11 Views
  • Tottenham sasa wako tayari kuwasilisha ofa mpya ya £80m kwa Manchester City ili kumsajili Savinho.

    Source Cahe Mota.

    #SportsElite
    馃毃 Tottenham sasa wako tayari kuwasilisha ofa mpya ya £80m kwa Manchester City ili kumsajili Savinho.馃挵 Source Cahe Mota. #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 9 Views
  • OFFICIAL : Baada ya Kufanyiwa Upasuaji wa Goti sasa Romelu Lukaku atakuwa njee kwa miezi minne.

    Source Sky Sports

    #SportsElite
    馃毃 OFFICIAL : Baada ya Kufanyiwa Upasuaji wa Goti sasa Romelu Lukaku atakuwa njee kwa miezi minne. Source Sky Sports #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 10 Views
  • Fahamu Arsenal na Crystal Palace wanakamilisha Kila kitu leo kuhusu Nyaraka zote za Eberechi Eze na Kisha kesho Ijumaa Atafanyiwa Vipimo vya afya kwa ada ya £68m na mkataba wa miaka mitano hadi 2030.

    Source Sacha Tavolieri

    #SportsElite
    馃毃Fahamu Arsenal na Crystal Palace wanakamilisha Kila kitu leo kuhusu Nyaraka zote za Eberechi Eze na Kisha kesho Ijumaa Atafanyiwa Vipimo vya afya kwa ada ya £68m na mkataba wa miaka mitano hadi 2030. Source Sacha Tavolieri #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 10 Views
  • 饾悋饾悇饾悜饾悇 饾悥饾悇 饾悊饾悗 Julio Enciso to Strasbourg/Chelsea

    Kikundi cha BlueCo Kimefikia makubaliano kamili na Brighton kumsajili winga Julio Enciso kwa jumla ya ada ya £20m na mkataba wa miaka Saba hadi 2032.

    Julio Enciso atajiunga na Strasbourg msimu 2025-26 kisha atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2032.

    Enciso Atafanyiwa vipimo vya Afya Kesho #herewego

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    馃毃 饾悋饾悇饾悜饾悇 饾悥饾悇 饾悊饾悗 Julio Enciso to Strasbourg/Chelsea 馃毃Kikundi cha BlueCo Kimefikia makubaliano kamili na Brighton kumsajili winga Julio Enciso kwa jumla ya ada ya £20m na mkataba wa miaka Saba hadi 2032. Julio Enciso atajiunga na Strasbourg msimu 2025-26 kisha atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2032. Enciso Atafanyiwa vipimo vya Afya Kesho #herewego Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 9 Views
  • Mshambuliaji Rasmus Højlund ameziweka wazi klabu zote zinazomtaka Kuwa yuko tayari Kuondoka kwa mkopo wenye kipengele cha kununuliwa mazima.

    Rasmus Højlund alikuwa alitaka kubakia Man United lakini ikibidi yuko tayari kuondoka na hakikisho la Kununuliwa moja kwa moja kwa klabu zinazomtaka.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    馃毃 Mshambuliaji Rasmus Højlund ameziweka wazi klabu zote zinazomtaka Kuwa yuko tayari Kuondoka kwa mkopo wenye kipengele cha kununuliwa mazima. Rasmus Højlund alikuwa alitaka kubakia Man United lakini ikibidi yuko tayari kuondoka na hakikisho la Kununuliwa moja kwa moja kwa klabu zinazomtaka. Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 10 Views
  • Siku Jamie Vardy alipompigia simu N'Golo Kanté baada ya kushinda Champions League

    馃帣"Siku moja baada ya fainali ya Champions League, nilijaribu kumpigia Simu ili nimpongeze, lakini hakupokea simu yangu"

    Baada ya saa chache, alinipigia akiniomba msamaha kwa kutopokea, na kusema alikuwa nje akikimbia na hakuwa nyumbani.

    Hii inaonyesha tu kujitolea kwake."

    Humble N'golo


    #SportsElite
    馃槃馃摫馃彺鬆仹鬆仮鬆仴鬆伄鬆仹鬆伩Siku Jamie Vardy alipompigia simu N'Golo Kanté baada ya kushinda Champions League 馃帣"Siku moja baada ya fainali ya Champions League, nilijaribu kumpigia Simu ili nimpongeze, lakini hakupokea simu yangu" Baada ya saa chache, alinipigia akiniomba msamaha kwa kutopokea, na kusema alikuwa nje akikimbia na hakuwa nyumbani. Hii inaonyesha tu kujitolea kwake." Humble N'golo #SportsElite
    0 Commenti 0 condivisioni 16 Views