Αναζήτηση αποτελεσμάτων
Δες όλα τα αποτελέσματα
Socialpop Socialpop Socialpop
Κεντρική Σελίδα
Ομάδες
Σελίδες
Marketplace
δες περισσότερα..
Ομάδες Σελίδες Marketplace Events Blogs Χρηματοδότηση Προσφορές Εργασίες Courses Forum Ταινίες
Γίνε Μέλος
Σύνδεση Εγγραφή
Theme Switcher
Night Mode
Κατάλογος
Χρήστες
Δημοσιεύσεις
Σελίδες
Ομάδες
Events
  • Enea Marko @eneamarko0
    2024-06-14 12:57:56 ·

    Angalizo: *Kuwa makini na uvumilivu wako kwani uvumilivu na kupoteza muda vinakaribiana sana ,,, Nakupenda Sana
    Angalizo: 🌀 *Kuwa makini na uvumilivu wako kwani uvumilivu na kupoteza muda vinakaribiana sana ,,, Nakupenda Sana 💘💓👨‍👦‍👦🤰
    Like
    Love
    4
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·468 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Lucas Sasa15 @Jump15 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-06-14 13:06:51 ·
    Kwee kwee kweeeh
    Kwee kwee kweeeh🤣
    Love
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·612 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • E_Play 🎧 @Elicom ενημερώθηκε η φωτογραφία εξώφυλλου
    2024-06-14 14:05:45 ·
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·238 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Jay Drama @Jay_drama_on_the_beats ενημερώθηκε η φωτογραφία προφίλ
    2024-06-14 14:29:07 ·
    Love
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·216 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Lucas Sasa15 @Jump15 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-06-14 14:31:26 ·
    🙏🥺
    Love
    Sad
    2
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·610 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Masunga Daniel @Electrician πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-06-14 14:31:55 ·
    Maisha ni kupambana
    Maisha ni kupambana
    Like
    2
    · 1 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·584 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Ivan Mtanzania @Ivanmtanzania ενημερώθηκε η φωτογραφία προφίλ
    2024-06-14 14:49:16 ·
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·504 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Ivan Mtanzania @Ivanmtanzania
    2024-06-14 14:52:46 ·
    Hellow guys how are you
    Hellow guys how are you
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·520 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Nnang'umbe Ahmadi @ungurudigital ενημερώθηκε η φωτογραφία προφίλ
    2024-06-14 15:36:46 ·
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·604 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Social Pop @Socialpop1
    2024-06-14 16:02:24 ·
    HEBU LEO TUJIFUNZE KITU KWANZA Mwanamke mmoja mrembo aliyachoka maisha ya ndoa na alitaka kumuua mume wake.

    Asubuhi moja alimkimbilia mama yake na kumwambia "mama nimemchoka mume wangu siwezi tena kuvumilia upuuzi wake nataka kumuua lakini naogopa Sheria ya nchi itanifunga, tafadhali unaweza kunisaidia?"

    Mama yake akajibu:

    - Ndio binti yangu naweza kukusaidia, lakini, kuna kazi ndogo utatakiwa kufanya.

    Binti akauliza "kazi gani? Niko tayari na niko tayari kufanya kazi yoyote ili tu huyu mwanaume aondoke kwenye maishayangu"

    Sawa, mama yake akakubali,

    1..Itabidi urejeshe amani kwanza, ili mtu asije akakushuku siku akikutwa amekufa.

    2.. Itabidi ujirembe ili uonekane binti na wa kuvutia kwake

    3.. Unatakiwa kumtunza vizuri na kuwa mwenye shukrani kwake

    4.. Unatakiwa kuwa mvumilivu, mwenye upendo na usiwe na wivu sana, uwe na masikio zaidi ya kusikiliza, kuwa na heshima na utii zaidi.

    5. Tumia pesa yako kumuhudumia na usikasirike hata anapokosa pesa ya kununua chochote nyumbani..

    6. Usipaze sauti yako dhidi yake bali penda Amani na upendo vitawale ili siku atakapokufa, watu wasikufikirie vibaya waone jinsi gani umempoteza mtu uliyekuwa unampenda...

    " Je, unaweza kufanya yote hayo?". Mama yake aliuliza.

    "Ndiyo naweza." Alijibu

    "Sawa"

    "Chukua unga huu na uwe unamwekea kila siku kwenye chakula chake, utakuwa unamuua polepole."

    Baada ya siku 30 yule mwanamke alirudi kwa mama yake na kusema.

    "Mama sina nia ya kumuua mume wangu tena. Kwa sasa ninampenda kwa sababu amebadilika kabisa, sasa ni mume mtamu sana kuliko nilivyofikiria.Je! nifanye nini kuzuia sumu isimuue? Tafadhali nisaidie mama." Aliomba kwa sauti ya huzuni.

    Mama akajibu;

    "Usijali binti yangu. Nilichokupa ni Unga wa kawaida tu. Hautamuua. Wewe ndiye ulikuwa sumu ambayo ilikuwa inamuua mumeo polepole kwa mikwaruzano na chuki uliyokuwa umeibeba. Ulipoanza kumpenda, kumuheshimu na kumthamini, ulimwokoa"
    HEBU LEO TUJIFUNZE KITU KWANZA Mwanamke mmoja mrembo aliyachoka maisha ya ndoa na alitaka kumuua mume wake. Asubuhi moja alimkimbilia mama yake na kumwambia "mama nimemchoka mume wangu siwezi tena kuvumilia upuuzi wake nataka kumuua lakini naogopa Sheria ya nchi itanifunga, tafadhali unaweza kunisaidia?" Mama yake akajibu: - Ndio binti yangu naweza kukusaidia, lakini, kuna kazi ndogo utatakiwa kufanya. Binti akauliza "kazi gani? Niko tayari na niko tayari kufanya kazi yoyote ili tu huyu mwanaume aondoke kwenye maishayangu" Sawa, mama yake akakubali, 1..Itabidi urejeshe amani kwanza, ili mtu asije akakushuku siku akikutwa amekufa. 2.. Itabidi ujirembe ili uonekane binti na wa kuvutia kwake 3.. Unatakiwa kumtunza vizuri na kuwa mwenye shukrani kwake 4.. Unatakiwa kuwa mvumilivu, mwenye upendo na usiwe na wivu sana, uwe na masikio zaidi ya kusikiliza, kuwa na heshima na utii zaidi. 5. Tumia pesa yako kumuhudumia na usikasirike hata anapokosa pesa ya kununua chochote nyumbani.. 6. Usipaze sauti yako dhidi yake bali penda Amani na upendo vitawale ili siku atakapokufa, watu wasikufikirie vibaya waone jinsi gani umempoteza mtu uliyekuwa unampenda... " Je, unaweza kufanya yote hayo?". Mama yake aliuliza. "Ndiyo naweza." Alijibu "Sawa" "Chukua unga huu na uwe unamwekea kila siku kwenye chakula chake, utakuwa unamuua polepole." Baada ya siku 30 yule mwanamke alirudi kwa mama yake na kusema. "Mama sina nia ya kumuua mume wangu tena. Kwa sasa ninampenda kwa sababu amebadilika kabisa, sasa ni mume mtamu sana kuliko nilivyofikiria.Je! nifanye nini kuzuia sumu isimuue? Tafadhali nisaidie mama." Aliomba kwa sauti ya huzuni. Mama akajibu; "Usijali binti yangu. Nilichokupa ni Unga wa kawaida tu. Hautamuua. Wewe ndiye ulikuwa sumu ambayo ilikuwa inamuua mumeo polepole kwa mikwaruzano na chuki uliyokuwa umeibeba. Ulipoanza kumpenda, kumuheshimu na kumthamini, ulimwokoa"
    Like
    Love
    Sad
    17
    · 7 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·656 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Δείχνουμε (5481-5490 από 29296)
  • «
  • Προηγούμενο
  • 547
  • 548
  • 549
  • 550
  • 551
  • Επόμενο
  • »
Upgrade to Pro
διάλεξε το πλάνο που σου ταιριάζει
Αναβάθμισε
© 2025 Socialpop
Greek
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
Σχετικά Όρους Ιδιωτικότητα Επικοινώνησε μαζί μας Κατάλογος Developers