• ''Watu ni ngazi, watu ni daraja, watu ni ukuta na watu ni shimo. Wanaweza kukuvusha, wanaweza kukuhifadhi na wanaweza kukuangusha. Huwezi kuwakwepa kabisa watu katika maisha yako jitahdi kuwa na maarifa ya kuwajulia, kunufaika nao, na kunufaishana nao''.
    ''Watu ni ngazi, watu ni daraja, watu ni ukuta na watu ni shimo. Wanaweza kukuvusha, wanaweza kukuhifadhi na wanaweza kukuangusha. Huwezi kuwakwepa kabisa watu katika maisha yako jitahdi kuwa na maarifa ya kuwajulia, kunufaika nao, na kunufaishana nao''.
    Like
    Love
    4
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·448 Ansichten

  • Katika =MAISHA yako kamwe usikumbuke =MATATIZO yaliyopita kwa sababu =YANAUMIZA Pia usiwaze yajayo maana yanatia =HOFU

    =MAISHA ni hapo ulipo ila =MALENGO ni kielelezo cha maisha
    Katika =MAISHA yako kamwe usikumbuke =MATATIZO yaliyopita kwa sababu =YANAUMIZA Pia usiwaze yajayo maana yanatia =HOFU =MAISHA ni hapo ulipo ila =MALENGO ni kielelezo cha maisha
    Like
    Love
    4
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·433 Ansichten
  • Kwenye maisha unaweza kucheka na wengi ila ukalia na wachache kwani wengi hupenda tabasamu lako kuliko kuthamini chozi lako.
    Kwenye maisha unaweza kucheka na wengi ila ukalia na wachache kwani wengi hupenda tabasamu lako kuliko kuthamini chozi lako.
    Like
    Love
    4
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·497 Ansichten
  • Hatima yako ipo mkononi mwa Mungu si kwa wanadamu,, hivyo yakupasa kumuangalia Mungu tu!!
    Hatima yako ipo mkononi mwa Mungu si kwa wanadamu,, hivyo yakupasa kumuangalia Mungu tu!!
    Like
    Love
    4
    · 1 Kommentare ·0 Anteile ·479 Ansichten
  • *Badili fikra na mtazamo wako kama unataka kufanikiwa zaidi*

    Kama kuna kazi unaifanya iko mbele yako, acha kuifikiria kwamba kazi hiyo ni ngumu, bali ifikirie kazi hiyo ni ya muhimu unatakiwa kuifanya kwa umakini na usahihi mkubwa.

    Unapojiwekea fikra ya kuwa kazi hiyo ni ngumu, itakuwa ngumu kweli kwako. Kila wakati toa mawazo kabisa, yanayosema kazi hii ni ngumu au majukumu hayo ni magumu sana kwako.

    Ukiacha kufikiria hivyo kuwa kazi ni ngumu na ukaamua kuchukua hatua za kufanya kama kazi ya muhimu, basi utaweza kufanikisha kazi hiyo unayosema ni ngumu, tena kwa urahisi.

    Badili fikra zako, badili mtazamo wako, unaowaza kazi hii ni ngumu na kuwaza ni kazi ya kawaida na muhimu inayoweza kufanyika bila tatizo kubwa kwako. Ifanye kazi hiyo.

    *AMKA DUNIA INAKUSUBILI TWENDE TUKALIJENGE TAIFA*
    *Badili fikra na mtazamo wako kama unataka kufanikiwa zaidi* ✨Kama kuna kazi unaifanya iko mbele yako, acha kuifikiria kwamba kazi hiyo ni ngumu, bali ifikirie kazi hiyo ni ya muhimu unatakiwa kuifanya kwa umakini na usahihi mkubwa. ✨Unapojiwekea fikra ya kuwa kazi hiyo ni ngumu, itakuwa ngumu kweli kwako. Kila wakati toa mawazo kabisa, yanayosema kazi hii ni ngumu au majukumu hayo ni magumu sana kwako. ✨Ukiacha kufikiria hivyo kuwa kazi ni ngumu na ukaamua kuchukua hatua za kufanya kama kazi ya muhimu, basi utaweza kufanikisha kazi hiyo unayosema ni ngumu, tena kwa urahisi. ✨Badili fikra zako, badili mtazamo wako, unaowaza kazi hii ni ngumu na kuwaza ni kazi ya kawaida na muhimu inayoweza kufanyika bila tatizo kubwa kwako. Ifanye kazi hiyo. *AMKA DUNIA INAKUSUBILI TWENDE TUKALIJENGE TAIFA*
    Like
    Love
    4
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·580 Ansichten
  • Like
    Love
    3
    · 1 Kommentare ·0 Anteile ·37 Ansichten
  • Sasa kama hajakutafta cku nzima atakua amemtafta nani sas nawe uli2ambia Kam mnpendan saana

    Siku zote usiruhusu m2 ambae hajawah kuvaa vyako akakufundisha jinc ya kufunga kamba

    NB..... Nyakati ngum hazidum
    Sasa kama hajakutafta cku nzima atakua amemtafta nani sas🤗 nawe uli2ambia Kam mnpendan saana😁🤣😇🙌 Siku zote usiruhusu 👉 m2 ambae hajawah kuvaa👞👞 vyako akakufundisha🙄 jinc ya kufunga kamba👌🙌 NB..... Nyakati ngum hazidum
    Like
    Love
    4
    · 1 Kommentare ·0 Anteile ·493 Ansichten
  • inaitwaje
    inaitwaje
    Like
    3
    · 1 Kommentare ·0 Anteile ·36 Ansichten
  • Like
    Love
    3
    · 2 Kommentare ·0 Anteile ·37 Ansichten
  • Like
    Love
    3
    · 2 Kommentare ·0 Anteile ·35 Ansichten