Результаты поиска
Все результаты
Socialpop Socialpop Socialpop
Главная
Группы
Страницы
Marketplace
Больше
Группы Страницы Marketplace Мероприятия Статьи пользователей Funding Offers Jobs Courses Форумы Кинозал
Вступить
Войти Регистрация
Theme Switcher
Ночной режим
Каталог
Пользователи
Записей
Страницы
Группы
Мероприятия
  • Paul Swai @paulswai добавлены фото
    2024-06-23 14:29:50 ·
    Chama wa msimu gani kwako alikuwa bora sana?
    Chama wa msimu gani kwako alikuwa bora sana?
    Like
    2
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·71 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Bernard John @Ben666 добавлены фото
    2024-06-23 14:30:32 ·
    usilolijua lisikushangaze lisikupumbazEE fanya kitu UwashangazEE
    kam una mbawa toa upaEE maisha nisafari chukua kiti ukaEE
    sema nae akila nauli achana NaEE Usipigane naEE
    usilolijua lisikushangaze lisikupumbazEE fanya kitu UwashangazEE kam una mbawa toa upaEE maisha nisafari chukua kiti ukaEE sema nae akila nauli achana NaEE Usipigane naEE
    Like
    Love
    3
    · 1 Комментарии ·0 Поделились ·83 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Paul Swai @paulswai добавлено видео in Общий
    2024-06-23 14:32:17 ·
    sitaki kutolea mfano jamani
    🤣🤣🤣 sitaki kutolea mfano jamani
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·72 Просмотры ·1
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-23 14:37:12 ·
    amin leo tofauti na jaNA mangap magumu yamewezekaNA
    wangap walishindwa wakapambaNA adi isipo kuwa leo kesho itawezekaNA
    kwani wangap waliona sifAI ata ningeogea jiki wangeniona sing'AI
    mungu akinipa mkate akuninyima na chAI dunia duara inazunguka ndo maana sikAI
    amin leo tofauti na jaNA mangap magumu yamewezekaNA wangap walishindwa wakapambaNA adi isipo kuwa leo kesho itawezekaNA kwani wangap waliona sifAI ata ningeogea jiki wangeniona sing'AI mungu akinipa mkate akuninyima na chAI dunia duara inazunguka ndo maana sikAI
    Like
    Love
    3
    · 1 Комментарии ·0 Поделились ·73 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Bernard John @Ben666 добавлены фото
    2024-06-23 15:03:49 ·
    Its true god creator devil predator.. Its you unapenda kutaka ukinifata utadaTA..
    Kwangu succesed ni fasta six finger ni chata.. God is good devil silent the killer is pastor..



    Its true god creator devil predator.. Its you unapenda kutaka ukinifata utadaTA.. Kwangu succesed ni fasta six finger ni chata.. God is good devil silent the killer is pastor..
    Like
    2
    · 1 Комментарии ·0 Поделились ·496 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Paul Swai @paulswai добавлены фото
    2024-06-23 15:05:51 ·
    Eneo ambalo Mnyama atakwenda kuweka kambi ya kujiandaa na msimu 2024/25.

    Tarehe ya kuanza kambi itatoka hivi karibuni. #WenyeNchi #NguvuMoja
    Eneo ambalo Mnyama atakwenda kuweka kambi ya kujiandaa na msimu 2024/25. Tarehe ya kuanza kambi itatoka hivi karibuni. #WenyeNchi #NguvuMoja
    Like
    3
    · 1 Комментарии ·0 Поделились ·274 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Bernard John @Ben666 добавлены фото
    2024-06-23 15:13:37 ·
    kuna mamb naya fanya hadi shetani ana sema sina akili timamu..
    nikitaka kuangalia X mpak nikanunue condom..
    kuna mambo mengi uwa natafakali..
    hv mama mchungaj naye anaijua Dogg style...


    kuna mamb naya fanya hadi shetani ana sema sina akili timamu.. nikitaka kuangalia X mpak nikanunue condom.. kuna mambo mengi uwa natafakali.. hv mama mchungaj naye anaijua Dogg style...
    Like
    2
    · 2 Комментарии ·0 Поделились ·65 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-23 15:24:11 ·
    Dunia sio mbaya.. walimwengu wanazingUA
    Nyuso zao hazina haya.. wapo tayari hata kuUA
    Ee mola tunusuru.. ili tupate kukoMA
    Tuepushe na tanuru.. usituhukumu ka' SodoMA

    Dunia sio mbaya.. walimwengu wanazingUA Nyuso zao hazina haya.. wapo tayari hata kuUA Ee mola tunusuru.. ili tupate kukoMA Tuepushe na tanuru.. usituhukumu ka' SodoMA
    Like
    2
    · 1 Комментарии ·0 Поделились ·453 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-23 15:24:48 ·
    Dunia sio mbaya.. walimwengu wanazingUA
    Nyuso zao hazina haya.. wapo tayari hata kuUA
    Ee mola tunusuru.. ili tupate kukoMA
    Tuepushe na tanuru.. usituhukumu ka' SodoMA

    Dunia sio mbaya.. walimwengu wanazingUA Nyuso zao hazina haya.. wapo tayari hata kuUA Ee mola tunusuru.. ili tupate kukoMA Tuepushe na tanuru.. usituhukumu ka' SodoMA
    Like
    2
    · 1 Комментарии ·0 Поделились ·453 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Bernard John @Ben666 добавлены фото
    2024-06-23 15:41:39 ·
    KuamiNI mzungu yupo juu zaidi yako daima utabaki nyuma kiupEO
    Na ukiamiNI mungu yupo juu ya mzungu hapo hautokua mtumwa wa ukoloni mambo lEO
    Ukifikili walitunyonya kisa wakatupa diNI ina maana dini zao vitabu vyao elimu zAO tafuta asali yako muafriKA
    Ngumu kuelewa hii movie tumekuta mwishoni sisi ni Samson tunatakaje haki kwa farAO tunapewa shuka muda wa kuamKA
    KuamiNI mzungu yupo juu zaidi yako daima utabaki nyuma kiupEO Na ukiamiNI mungu yupo juu ya mzungu hapo hautokua mtumwa wa ukoloni mambo lEO Ukifikili walitunyonya kisa wakatupa diNI ina maana dini zao vitabu vyao elimu zAO tafuta asali yako muafriKA Ngumu kuelewa hii movie tumekuta mwishoni sisi ni Samson tunatakaje haki kwa farAO tunapewa shuka muda wa kuamKA
    Like
    4
    · 1 Комментарии ·0 Поделились ·323 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Отображение (6701-6710 из 29810)
  • «
  • Назад
  • 669
  • 670
  • 671
  • 672
  • 673
  • Далее
  • »
Обновить до Про
Выберите подходящий план
Обновить
© 2025 Socialpop
Russian
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
О нас Условия использования Конфиденциальность Свяжитесь с нами Каталог Разработчики