Suchergebnis
Zeige alle Suchergebnisse
Socialpop Socialpop Socialpop
Home
Gruppen
Seiten
Marktplatz
Mehr sehen
Gruppen Seiten Marktplatz Veranstaltungen Blogs Finanzierung Angebote Jobs Courses Foren Filme
Login
Anmelden Registrieren
Theme Switcher
Night Mode
Verzeichnis
User
Beiträge
Seiten
Gruppen
Veranstaltungen
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-24 08:15:40 ·
    Uwezi nipata kwa hisIA,,ukifa sifa zako unasikIA..

    Umekua ulikuwa mtoto ujui msoTO,,chupi ilikuwa mtoko ukizingua mboKO..

    Sasa umejua utamu wa penzi uwe peku kama mpoTO,,utambuzi akili fupi godoro halitimizi ndoTO..
    Uwezi nipata kwa hisIA,,ukifa sifa zako unasikIA.. Umekua ulikuwa mtoto ujui msoTO,,chupi ilikuwa mtoko ukizingua mboKO.. Sasa umejua utamu wa penzi uwe peku kama mpoTO,,utambuzi akili fupi godoro halitimizi ndoTO..
    Like
    2
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·78 Ansichten
    Please log in to like, share and comment!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-24 08:25:23 ·
    Its so cuty like malaiKA,,nimwonapo naburudiKA..

    Tabasamu flani huwezi eleZEA,,akitembea mwendo,pozi ongeZEA..

    Jina falzana mzuri kila idara,,daktari bila zana white colour..

    Kiuno cha swala thamani ya dola,,nyuma kombola nyumbani angolla..

    Wapi nianzie ili nimfate,,kipi nimpatie il nimpate..
    Its so cuty like malaiKA,,nimwonapo naburudiKA.. Tabasamu flani huwezi eleZEA,,akitembea mwendo,pozi ongeZEA.. Jina falzana mzuri kila idara,,daktari bila zana white colour.. Kiuno cha swala thamani ya dola,,nyuma kombola nyumbani angolla.. Wapi nianzie ili nimfate,,kipi nimpatie il nimpate..
    Like
    2
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·205 Ansichten
    Please log in to like, share and comment!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-24 08:35:33 ·
    Naifunika game kibishi,,maywetha kwenye uandishi..
    Nikupe news mwandishi,,leo ndo mazishi..::
    Kuwa like me unawish,,na ukiwa me hauishi..::
    ukinoga msosi tunamla na mpishi,,tukiamua tunaua hatutishi..
    ndo tulivyo sisi wabishi,,tunajua kula na mpishi shishi..
    snura chura wema sura,,sengeli makabila mkulya mura..
    niacheni kidogo nitumie mkongo,,adui komando nimsukumie gogo..
    Naifunika game kibishi,,maywetha kwenye uandishi.. Nikupe news mwandishi,,leo ndo mazishi..:: Kuwa like me unawish,,na ukiwa me hauishi..:: ukinoga msosi tunamla na mpishi,,tukiamua tunaua hatutishi.. ndo tulivyo sisi wabishi,,tunajua kula na mpishi shishi.. snura chura wema sura,,sengeli makabila mkulya mura.. niacheni kidogo nitumie mkongo,,adui komando nimsukumie gogo..
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·85 Ansichten
    Please log in to like, share and comment!
  • Funny Clips & media @ronny_funny_clips_media Geteilt @𝖞𝖔𝖓𝖓𝖞 𝖔𝖋𝖋𝖎𝖈𝖎𝖆𝖑𝖑_👌🏾 S Fotos
    2024-06-24 08:47:25 ·
    @𝖞𝖔𝖓𝖓𝖞 𝖔𝖋𝖋𝖎𝖈𝖎𝖆𝖑𝖑_👌🏾 @officiall_ronny added 8 Fotos CHEKA KWA SAUTI
    2024-06-24 08:42:09 ·
    Vipi kama......




    [Neemadish]
    #SocialPop
    #tanzaniasocialmedia
    #socialpoptanzania
    #Supportsocialpop
    +4
    Like
    3
    · 1 Kommentare ·0 Anteile ·542 Ansichten
    Please log in to like, share and comment!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-24 08:48:09 ·
    mishe nyingi pisi nyingi,,wadau wengi mambo mengi..
    tuna umoja hakuna wingi,,usoni kioja akinoga ujue wigi..
    ugali mboga moja seven up soda,,utajiri nyonga ukiwa nae uroda..
    tulipo bondeni south boda,,kwetu easy kinachomata oda..
    ukiamka usikae chini mchizi,,tonge la kibishi kulipata mbizi..
    kuna wachambuzi like mpenja,,kabali za ujuzi like mejja..
    kawaida msukuma nijisukume,,easy geto aje nimkune..
    wa kubeti over/under ushindi kibosi,,wa kufeki fake bosi hawakosi..
    mishe nyingi pisi nyingi,,wadau wengi mambo mengi.. tuna umoja hakuna wingi,,usoni kioja akinoga ujue wigi.. ugali mboga moja seven up soda,,utajiri nyonga ukiwa nae uroda.. tulipo bondeni south boda,,kwetu easy kinachomata oda.. ukiamka usikae chini mchizi,,tonge la kibishi kulipata mbizi.. kuna wachambuzi like mpenja,,kabali za ujuzi like mejja.. kawaida msukuma nijisukume,,easy geto aje nimkune.. wa kubeti over/under ushindi kibosi,,wa kufeki fake bosi hawakosi..
    Like
    3
    · 1 Kommentare ·0 Anteile ·674 Ansichten
    Please log in to like, share and comment!
  • Funny Clips & media @ronny_funny_clips_media ein Foto hinzugefügt
    2024-06-24 08:53:32 ·
    Unapokuja kugundua kua





    [Neemadish]
    #SocialPop
    #tanzaniasocialmedia
    #socialpoptanzania
    #Supportsocialpop
    Unapokuja kugundua kua 😢😢😰😰 [Neemadish] #SocialPop #tanzaniasocialmedia #socialpoptanzania #Supportsocialpop
    Haha
    Like
    3
    · 1 Kommentare ·0 Anteile ·2KB Ansichten
    Please log in to like, share and comment!
  • Funny Clips & media @ronny_funny_clips_media aktualisierte Seite Bild
    2024-06-24 08:54:42 ·
    Comment AMEEN






    [Neemadish]
    #SocialPop
    #tanzaniasocialmedia
    #socialpoptanzania
    #Supportsocialpop
    Comment AMEEN [Neemadish] #SocialPop #tanzaniasocialmedia #socialpoptanzania #Supportsocialpop
    Like
    2
    · 0 Kommentare ·1 Anteile ·2KB Ansichten
    Please log in to like, share and comment!
  • Funny Clips & media @ronny_funny_clips_media aktualisiert ihr Titelbild
    2024-06-24 08:55:51 ·
    Haha
    Like
    3
    · 2 Kommentare ·0 Anteile ·524 Ansichten
    Please log in to like, share and comment!
  • Bernard John @Ben666 ein Foto hinzugefügt
    2024-06-24 08:59:53 ·
    hivi majuZI,,stori mbili tatu nipo na machiZI,,,
    #ghafla
    Akatokea shoRI,,flani yupo kwenye gaRI,,,
    #ghafla
    Akastopisha ndiNGA,,kidogo tufe kwa uwoGA,,,
    #Ghafla
    ikashushwa tintED,,nikahisi kuna mwana ni wantED,,,
    #ghafla
    kwa ishaRA,, akaniita nikaitika fasta bila hiRA,,,
    #ghafla
    akaniuliza kwa utaTA,,ntafanya nini akinipa fasTA,,,
    #ghafla
    nikasita labda,,jini nikazama ndani
    kabla,,,
    #ghafla
    akanigusa ruNGU,,mtoto white kama zuNGU,,,
    #ghafla
    kwa
    uCHU,,nikamshika chuchu mlaini like zuCHU,,,
    #ghafla
    ile kushtuKA,,asubuhi kumepambazuKA,,,
    #ghafla
    njozi imekwiSHA,,na stori imeiSHA,,,
    hivi majuZI,,stori mbili tatu nipo na machiZI,,, #ghafla Akatokea shoRI,,flani yupo kwenye gaRI,,, #ghafla Akastopisha ndiNGA,,kidogo tufe kwa uwoGA,,, #Ghafla ikashushwa tintED,,nikahisi kuna mwana ni wantED,,, #ghafla kwa ishaRA,, akaniita nikaitika fasta bila hiRA,,, #ghafla akaniuliza kwa utaTA,,ntafanya nini akinipa fasTA,,, #ghafla nikasita labda,,jini nikazama ndani kabla,,, #ghafla akanigusa ruNGU,,mtoto white kama zuNGU,,, #ghafla kwa uCHU,,nikamshika chuchu mlaini like zuCHU,,, #ghafla ile kushtuKA,,asubuhi kumepambazuKA,,, #ghafla njozi imekwiSHA,,na stori imeiSHA,,,
    Like
    Wow
    3
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·936 Ansichten
    Please log in to like, share and comment!
  • @𝖞𝖔𝖓𝖓𝖞 𝖔𝖋𝖋𝖎𝖈𝖎𝖆𝖑𝖑_👌🏾 @officiall_ronny ein Foto hinzugefügt
    2024-06-24 09:17:20 ·
    KUMBUKA HAKUNA KINACHO DUMU




    [Neemadish]
    #SocialPop
    #tanzaniasocialmedia
    #socialpoptanzania
    #Supportsocialpop
    KUMBUKA HAKUNA KINACHO DUMU [Neemadish] #SocialPop #tanzaniasocialmedia #socialpoptanzania #Supportsocialpop
    Like
    Love
    Yay
    Wow
    6
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·2KB Ansichten
    Please log in to like, share and comment!
  • Anzeigen (6751-6760 von 29823)
  • «
  • zurück
  • 674
  • 675
  • 676
  • 677
  • 678
  • Next Step
  • »
Upgrade to Pro
Choose the Plan That's Right for You
Upgrade
© 2025 Socialpop
Deutsch
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
Über Bedingungen Datenschutz Kontaktieren Sie uns Verzeichnis Entwickler