• Israel Mwenda amesaini mkataba mpya kuendelea kusalia katika kikosi chetu.

    #NguvuMoja #WenyeNchi
    Israel Mwenda amesaini mkataba mpya kuendelea kusalia katika kikosi chetu. #NguvuMoja #WenyeNchi
    Like
    2
    · 1 Комментарии ·0 Поделились ·233 Просмотры
  • Israel Mwenda amesaini mkataba mpya kuendelea kusalia katika kikosi chetu.

    #NguvuMoja #WenyeNchi
    Israel Mwenda amesaini mkataba mpya kuendelea kusalia katika kikosi chetu. #NguvuMoja #WenyeNchi
    Like
    Love
    2
    · 1 Комментарии ·0 Поделились ·205 Просмотры
  • Sukari ndo utamu wa kitumbua..
    Nahodha kuzamisha meli utamu wa mua..
    Utamu wa asali compare na halua..
    Utamu wa mapenzi hasa ukiyajua..
    Utamu wa chumvi kwenye chakula..
    Kuramba chumvi chumvini utapata safura..
    Utamu wa simba iwepo Yanga..
    Utamu wa game zao zinaanza kuchezwa kwa waganga..
    Utamu wa smartphone uwe na emcee bando..
    Ila utamu wa YESU muulize Rose muhando..
    Utamu wa supu chapati mbili..
    Utamu wa chipsi kidogo na pilipili..
    Utamu wa kijiti upate cha Arushwa .
    Kisiwe kibichi kiwe kimekaushwa..
    Utamu wa kigodoro kubambia..
    Utamu wake adi mke wa mtu unamkamatia..
    Sukari ndo utamu wa kitumbua.. Nahodha kuzamisha meli utamu wa mua.. Utamu wa asali compare na halua.. Utamu wa mapenzi hasa ukiyajua.. Utamu wa chumvi kwenye chakula.. Kuramba chumvi chumvini utapata safura.. Utamu wa simba iwepo Yanga.. Utamu wa game zao zinaanza kuchezwa kwa waganga.. Utamu wa smartphone uwe na emcee bando.. Ila utamu wa YESU muulize Rose muhando.. Utamu wa supu chapati mbili.. Utamu wa chipsi kidogo na pilipili.. Utamu wa kijiti upate cha Arushwa . Kisiwe kibichi kiwe kimekaushwa.. Utamu wa kigodoro kubambia.. Utamu wake adi mke wa mtu unamkamatia..
    0 Комментарии ·0 Поделились ·689 Просмотры
  • Tunatumia.. sio kwamba ni muhimu kutumia.. Hapna! kwasababu tunaona tu nasisi tunaiitaji kuitumia..
    Thamani ya maandishi,, utegemea na ufahamu wa anayeyasoma... Ila thamani ya Fumbo.. itabaki kuwa funguo ya Ufahamu wa jambo..
    Acha tujifunze na kulinda Aibu ya Ujinga.. japo jamii uelewa ukiwa Tajiri, ni Nguo tosha yakuvaa Akili na Hekima.
    Ukatili kwao ndio ujasili na Uluma juu Yao Bado watakuita muoga, acha kuchagua njia ipi ikufanye kuwa Bora kwao.. Wewe fanya kinachostaili ila Usiyawinde Sana Mafao..
    Tunatumia.. sio kwamba ni muhimu kutumia.. Hapna! kwasababu tunaona tu nasisi tunaiitaji kuitumia.. Thamani ya maandishi,, utegemea na ufahamu wa anayeyasoma... Ila thamani ya Fumbo.. itabaki kuwa funguo ya Ufahamu wa jambo.. Acha tujifunze na kulinda Aibu ya Ujinga.. japo jamii uelewa ukiwa Tajiri, ni Nguo tosha yakuvaa Akili na Hekima. Ukatili kwao ndio ujasili na Uluma juu Yao Bado watakuita muoga, acha kuchagua njia ipi ikufanye kuwa Bora kwao.. Wewe fanya kinachostaili ila Usiyawinde Sana Mafao..
    0 Комментарии ·0 Поделились ·765 Просмотры
  • Hawakunitenga.. ila wengi niliwaacha..
    Wengine hunijenga.. tukiwa sambamba kama mapacha..
    Walionitenda walinipenga haukuwa msada..
    Wapo waliotamani njia ingeziba ili nikose rada..
    Bado nasafiri.. kwa mashaka..
    Kila atua najipa ujasiri.. japo naambiwa siwezi fika..
    Hawakunitenga.. ila wengi niliwaacha.. Wengine hunijenga.. tukiwa sambamba kama mapacha.. Walionitenda walinipenga haukuwa msada.. Wapo waliotamani njia ingeziba ili nikose rada.. Bado nasafiri.. kwa mashaka.. Kila atua najipa ujasiri.. japo naambiwa siwezi fika..
    0 Комментарии ·0 Поделились ·68 Просмотры
  • Ili uanze kuzitumia akili zako namna inavyo takiwa Nenda Kakope Hela.
    Ili uanze kuzitumia akili zako namna inavyo takiwa Nenda Kakope Hela.
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·115 Просмотры
  • Hii nchi hii kuanzisha tu mahusiano, Ni lazima kwanza uwe na mtaji.
    Hii nchi hii kuanzisha tu mahusiano, Ni lazima kwanza uwe na mtaji.
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·123 Просмотры
  • Nimewahi kuachana na mwanamke kisa tu kaniomba Elfu kumi.
    Nimewahi kuachana na mwanamke kisa tu kaniomba Elfu kumi.
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·125 Просмотры

  • Ridhika na ulicho nacho,,utapata unachotafta!!
    Komaa usikodoe macho,,dawa ya kikohoz cofta!!
    Mzigo wako,mwenyewe,,hakuna wa kukubea!!
    Ulacho,peke yako wewe,,usijali wakizomea!!
    Uendako,usichelewe,,chochote kujiokotea!!
    Usicheze rafu ukipiga pafu,,utaumiza kifua!!
    Kila moja na mzigo wake,,tembo hashindwi na pembe!!
    Kila nyumba na ubora wake,,hata ikiwa nyumba ya tembe!!
    Redio imenyimwa mdomo,,lakini habari inatupasha!!
    Jiulize kwanini victoria,,ni ziwa ila mtoto hanyonyi!!
    Ridhika na ulicho nacho,,utapata unachotafta!! Komaa usikodoe macho,,dawa ya kikohoz cofta!! Mzigo wako,mwenyewe,,hakuna wa kukubea!! Ulacho,peke yako wewe,,usijali wakizomea!! Uendako,usichelewe,,chochote kujiokotea!! Usicheze rafu ukipiga pafu,,utaumiza kifua!! Kila moja na mzigo wake,,tembo hashindwi na pembe!! Kila nyumba na ubora wake,,hata ikiwa nyumba ya tembe!! Redio imenyimwa mdomo,,lakini habari inatupasha!! Jiulize kwanini victoria,,ni ziwa ila mtoto hanyonyi!!
    0 Комментарии ·0 Поделились ·316 Просмотры
  • Usiringie Mwili Kila Mtu anayo kinachofaa Ni Akili!!
    Usifuate Wasemayo wala usijaribu Kunakili!!
    Huu ni mtumbwi ndani ya maji!!
    Shabiki piga kasia,Ili ujue lzm uwe mfatiliaji!!
    Na sio kukisia,
    Usiringie Mwili Kila Mtu anayo kinachofaa Ni Akili!! Usifuate Wasemayo wala usijaribu Kunakili!! Huu ni mtumbwi ndani ya maji!! Shabiki piga kasia,Ili ujue lzm uwe mfatiliaji!! Na sio kukisia,
    0 Комментарии ·0 Поделились ·75 Просмотры