• napanda kitandani na movie ya kuzimu ndio inaanza/
    narudisha miaka nyuma kurudisha enzi za HBC na KWANZA/
    enzi za real hiphop hakuna vikatuni vilivyojibanza/
    kigangsta napambana..bars zinapandana/
    metaphorz zinafanana..punch zinafuatana/
    mashairi na kinywa vinajamiiana.. ninacho ongea na ukweli vinashabihiana/
    bifu zinaongezeka na emceez wanachinjana.. live kwenye cypher wanauwana/
    hadi wakongwe hakuna wanaopatana.. kila mmoja anaspit kwa kina na mapana/
    mapresenter wanajaribu kubana.. lakini vichwa halisi vinaendelea kuchana/
    mahardcore wanamwaga vesi za kinabii kwenye cypher zinalundikana/
    batto zinaanzishwa emcee feki wanafichama.. wanajifanya makamanda kumbe watoto wa mama/
    naleta propaganda wote waliopo juu wanapigwa mitama/
    namwona zomba ameketi peponi akichekelea..
    nigga one ameketi pembeni hiphop inaongelewa..
    wanadiscuss jinsi kuleta unabii hiphop bongo ikapokelewa//
    nastuka duuh kumbe nilikuwa naota....................
    napanda kitandani na movie ya kuzimu ndio inaanza/ narudisha miaka nyuma kurudisha enzi za HBC na KWANZA/ enzi za real hiphop hakuna vikatuni vilivyojibanza/ kigangsta napambana..bars zinapandana/ metaphorz zinafanana..punch zinafuatana/ mashairi na kinywa vinajamiiana.. ninacho ongea na ukweli vinashabihiana/ bifu zinaongezeka na emceez wanachinjana.. live kwenye cypher wanauwana/ hadi wakongwe hakuna wanaopatana.. kila mmoja anaspit kwa kina na mapana/ mapresenter wanajaribu kubana.. lakini vichwa halisi vinaendelea kuchana/ mahardcore wanamwaga vesi za kinabii kwenye cypher zinalundikana/ batto zinaanzishwa emcee feki wanafichama.. wanajifanya makamanda kumbe watoto wa mama/ naleta propaganda wote waliopo juu wanapigwa mitama/ namwona zomba ameketi peponi akichekelea.. nigga one ameketi pembeni hiphop inaongelewa.. wanadiscuss jinsi kuleta unabii hiphop bongo ikapokelewa// nastuka duuh kumbe nilikuwa naota....................
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·1K Views

  • nazima majigambo ya maemcee wasio na uwezo,
    hawajui kushika mic halafu wanataka ushindi wa dezo,
    rapu kwangu ni fani na lyrics ndio nyenzo,
    mazee nipo serious..nikibattle nawe usilete mchezo,
    nikianza kuchinja namaliza sihitaji maelezo,
    naswing na vina..kwenye game nimezama kwa kina,
    namfesi yeyote siogopi jina..kwangu chelea pina,
    emcee najifunga kibwebwe huku nanata na biti,
    skillz zangu zinatendi to infiniti,
    Sibattle na emceez wasio fiti..nalinda yangu diginiti,
    nazima majigambo ya maemcee wasio na uwezo, hawajui kushika mic halafu wanataka ushindi wa dezo, rapu kwangu ni fani na lyrics ndio nyenzo, mazee nipo serious..nikibattle nawe usilete mchezo, nikianza kuchinja namaliza sihitaji maelezo, naswing na vina..kwenye game nimezama kwa kina, namfesi yeyote siogopi jina..kwangu chelea pina, emcee najifunga kibwebwe huku nanata na biti, skillz zangu zinatendi to infiniti, Sibattle na emceez wasio fiti..nalinda yangu diginiti,
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·863 Views
  • wakati huna kazi,iweje uwe na voda/
    vipochi havina mali,vipodozi mpaka poda/
    ukiwakuta kiwanja,wanakuzuga na soda/
    eti sinywi pombe nimekatazwa na dokta,
    kumbe ni gia yao,ukilewa wanakuteka,
    madada zetu,kwa nini mnavibweka,
    mnatuungisha matela,halafu mnatucheka,
    nasikia mnaogopa mimba,mkiipata tu mnaifyeka,
    mnapenda ngono,kuzaa hamtaki,
    mkaenda kwa mama,eti kudai haki,
    kwenye jamii tuwaone,kama mnataka haki,
    ben naondoka,mkiniitaji nitabaki,
    wakati huna kazi,iweje uwe na voda/ vipochi havina mali,vipodozi mpaka poda/ ukiwakuta kiwanja,wanakuzuga na soda/ eti sinywi pombe nimekatazwa na dokta, kumbe ni gia yao,ukilewa wanakuteka, madada zetu,kwa nini mnavibweka, mnatuungisha matela,halafu mnatucheka, nasikia mnaogopa mimba,mkiipata tu mnaifyeka, mnapenda ngono,kuzaa hamtaki, mkaenda kwa mama,eti kudai haki, kwenye jamii tuwaone,kama mnataka haki, ben naondoka,mkiniitaji nitabaki,
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·171 Views
  • peke yangu ndani ya ulingo/
    nani asogee maji ya shingo/
    kasome kwanza hisabati kisha njoo upime mzingo/
    wa eneo la upeo wa huu mviringo/
    naweka watu roho juu ka milioni kumi za bingo/
    wanasema ben mwenyewe mweusi kama mpingo/
    kelele nyingi lakini sina hata singo/
    peke yangu ndani ya ulingo/ nani asogee maji ya shingo/ kasome kwanza hisabati kisha njoo upime mzingo/ wa eneo la upeo wa huu mviringo/ naweka watu roho juu ka milioni kumi za bingo/ wanasema ben mwenyewe mweusi kama mpingo/ kelele nyingi lakini sina hata singo/
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·116 Views
  • siwekagi beef na wapuuzi, nna beef na yangu mikrofoni/
    ndo maana kila niendapo siiachi mwangu mkononi/
    nna-freestyle popote east zoo maskani hata iwe kigamboni/
    wengi huwa hawaamini, wanadhani wapo ndotoni/
    niliwapa walokole acapella wakahisi wapo peponi/
    mkitaka ku-beef na mimi, mtakaribisha watu kilioni/
    siwekagi beef na wapuuzi, nna beef na yangu mikrofoni/ ndo maana kila niendapo siiachi mwangu mkononi/ nna-freestyle popote east zoo maskani hata iwe kigamboni/ wengi huwa hawaamini, wanadhani wapo ndotoni/ niliwapa walokole acapella wakahisi wapo peponi/ mkitaka ku-beef na mimi, mtakaribisha watu kilioni/
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·65 Views
  • sichagui wa ku-battle nae awe m-dada ama m-kaka/
    nambeba mzogamzoga na kumtokomezea kwenye kichaka/
    namtua kwenye takataka na kumtenda navyotaka/
    kwa hiari yake mwenyewe akigoma na***ka/
    sichagui wa ku-battle nae awe m-dada ama m-kaka/ nambeba mzogamzoga na kumtokomezea kwenye kichaka/ namtua kwenye takataka na kumtenda navyotaka/ kwa hiari yake mwenyewe akigoma na***ka/
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·60 Views
  • nataka nikupe mistari we binadam/
    mpaka ushindwe kujitambua kama ni mkristo au Muislam/
    verse zangu zinatisha, tazama mpaka Mouse ime-jam/
    key-board inatingishika, yaelekea imeshajaa yote Ram/
    usicheze na ben ni kiumbe Mwana-haram/
    njoo na yako yote 'timu' , kwa mpigo ama zamu kwa zam/
    uone ntakavyo wamung'unya, ki-ulaini mithili ya Bubble-gum/
    'Vitonge-manyoya' wamekoma, hapa kwangu hawana ham/
    hii ngoma ni Advanced Mathematics, usifananishe na yako B.A.M/
    mashairi yanakuja natural, si mpaka nishike kalam/
    kawaulize wenye 'Majina', walivyokubali pale Blue-Parm/
    freestyle mwendo wa rhym, walipokutana na mimi last tym/
    we bado ni Muumini mchanga yapaswa ufaham/
    ni vyema upige salute kwa mimi wako imam/
    na pindi ntakapokuitwa, kwa heshima uitike Naam/
    hii ngoma ni pilipili hoho, si hizo insha zako tam/
    nataka nikupe mistari we binadam/ mpaka ushindwe kujitambua kama ni mkristo au Muislam/ verse zangu zinatisha, tazama mpaka Mouse ime-jam/ key-board inatingishika, yaelekea imeshajaa yote Ram/ usicheze na ben ni kiumbe Mwana-haram/ njoo na yako yote 'timu' , kwa mpigo ama zamu kwa zam/ uone ntakavyo wamung'unya, ki-ulaini mithili ya Bubble-gum/ 'Vitonge-manyoya' wamekoma, hapa kwangu hawana ham/ hii ngoma ni Advanced Mathematics, usifananishe na yako B.A.M/ mashairi yanakuja natural, si mpaka nishike kalam/ kawaulize wenye 'Majina', walivyokubali pale Blue-Parm/ freestyle mwendo wa rhym, walipokutana na mimi last tym/ we bado ni Muumini mchanga yapaswa ufaham/ ni vyema upige salute kwa mimi wako imam/ na pindi ntakapokuitwa, kwa heshima uitike Naam/ hii ngoma ni pilipili hoho, si hizo insha zako tam/
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·826 Views
  • sauti yangu inanguruma bila msaada wa spika/
    tambaa na hardcore upate sifika, na kuteka hisia za kila rika/
    au imba bongo flava kama shida yako ni albamu kuuzika/
    real emcii hapimwi kwa mara ngapi redioni husikika/
    nina rymez zimefurika ndani ya mishipa mithili ya gharika/
    nikiziachia ni tsunami wala si elnino au masika/
    ninapo chomoza social networks vichwa feki vinahuzunika/
    machozi ya damu ndani ya mboni za maemcii yanatiririka/
    vina vyangu infection yake kamwe haiwezitibika/
    sauti yangu inanguruma bila msaada wa spika/ tambaa na hardcore upate sifika, na kuteka hisia za kila rika/ au imba bongo flava kama shida yako ni albamu kuuzika/ real emcii hapimwi kwa mara ngapi redioni husikika/ nina rymez zimefurika ndani ya mishipa mithili ya gharika/ nikiziachia ni tsunami wala si elnino au masika/ ninapo chomoza social networks vichwa feki vinahuzunika/ machozi ya damu ndani ya mboni za maemcii yanatiririka/ vina vyangu infection yake kamwe haiwezitibika/
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·206 Views
  • kama basi dereva kesha ruka abiria maisha kitendawili/

    ben kesha kata kichwa umebaki kiwiliwili/

    kama samaki sasa nimekugeuza upande wa pili/

    unapenda kachumbari, lakini hupendi pilipili/

    unapenda mambo ya kileo, ndio maana nakufanya kitoweo/
    kama basi dereva kesha ruka abiria maisha kitendawili/ ben kesha kata kichwa umebaki kiwiliwili/ kama samaki sasa nimekugeuza upande wa pili/ unapenda kachumbari, lakini hupendi pilipili/ unapenda mambo ya kileo, ndio maana nakufanya kitoweo/
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·85 Views
  • usijidai unak*nya wakati ujui kujamba,

    usijidai baharia wakati mi ni mamba,

    usijidai una uwezo mpana na huku ni mwembamba kama kamba,

    usijidai unabishana kwani wanajeshi tunahitaji maelezo baada ya jeramba,

    naleta uhuru kwani non-shobo camp ni bad namba,

    kunazana kama sururu mtoto wa mama acha kutamba,
    usijidai unak*nya wakati ujui kujamba, usijidai baharia wakati mi ni mamba, usijidai una uwezo mpana na huku ni mwembamba kama kamba, usijidai unabishana kwani wanajeshi tunahitaji maelezo baada ya jeramba, naleta uhuru kwani non-shobo camp ni bad namba, kunazana kama sururu mtoto wa mama acha kutamba,
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·61 Views